Rais Samia aache kumdharau Waziri Mkuu

Rais Samia aache kumdharau Waziri Mkuu

2024 Tukutane hapa Tubadili katiba Rais Samia atawale milele atake asitake. Hakuna kama Rais Samia.
Au siyo! Sasa upande mwingine wa shilingi ni kuwa: Atake asitake, iwe jua iwe mvua, iwe joto iwe baridi; kuanzia Novemba 2025 raisi hatakuwa yeye (no more room for she president and chairperson)
 
Amejidharaulisha yeye mwenyewe huyo. Mwongo na mwoga sana. Ni bendera fuata upepo
 
Itakuwa yeye mwenyewe hajiheshimu ndio maana haheshimiki. Kwanza alipita bila kupingwa. Waziri Mkuu unapitaje kwenye jimbo lako kwa kutegemea mbeleko?

Kwa namna zetu mtoto wa nyumbani Yuko juu anatuwakilisha why not. We ndo mjinga. Tena lazima uwe na chama Lakini tofauti na Alicho MKM. He is a good man. Siasa zenu chafu na midomo michafu isiwafanye mdharau watu wema wachache waliobaki taifani.
 
Kauli ya " kwa akina Kassim' siyo nzuri hayati nae aliwahi mwambia ataanza na shangazi yake, mama nae amefanya tuone jinsi mwanamke hafai kupewa wadhifa mkubwa hapa Tanzania.
Wanawake wa pwani kutawala ni mistake kubwa, kama waume zao wawili awamu ya pili na ya nne wamevurunda hao kinamama wa pwani ndio wataweza?
 
Ni kawaida watu wenye rika linalofanana kuitana majina hvyo especial kama mtu kakuzidi cheo,Nyerere alikuwa anamuita rais Mwinyi "Ali",na aliendelea kumuita hvyo hata baada ya Mwinyi kuwa Rais.Mkapa alikuwa anamuita Rais Magufuli "John" refer Magufuli alivyohadithia wakati anamtembelea hospital na hata alishamuita hvyo mbele za watu.So mkishazoeana sana na mnafanya kazi wote kila cku sometimes kuna possibility ya kuweka vyeo pembeni na ubinadam ukachukua nafasi yake.
 
Bad signals. Ni kama mtu asiyetakiwa. Hata hivyo hii sio nzuri kwa mshikamano na inaweza kuleta mnyukano na kusalitiana maana tayari inaonyesha watu hawaaminiani.
 
Ni kawaida watu wenye rika linalofanana kuitana majina hvyo especial kama mtu kakuzidi cheo,Nyerere alikuwa anamuita rais Mwinyi "Ali",na aliendelea kumuita hvyo hata baada ya Mwinyi kuwa Rais.Mkapa alikuwa anamuita Rais Magufuli "John" refer Magufuli alivyohadithia wakati anamtembelea hospital na hata alishamuita hvyo mbele za watu.So mkishazoeana sana na mnafanya kazi wote kila cku sometimes kuna possibility ya kuweka vyeo pembeni na ubinadam ukachukua nafasi yake.
Hasa kwa waislam ni kawaida sana kuitana first names na inapendeza sana
 
Back
Top Bottom