Rais Samia aache kumdharau Waziri Mkuu

Rais Samia aache kumdharau Waziri Mkuu

Kauli ya " kwa akina Kassim' siyo nzuri hayati nae aliwahi mwambia ataanza na shangazi yake, mama nae amefanya tuone jinsi mwanamke hafai kupewa wadhifa mkubwa hapa Tanzania.

Wanaume 2021-2025 mtasaga meno.

Kuongozwa na mwanamke kunawachoma mioyo. Yaani hapo sijaelewa umetudrag wanawake wote ili iweje.

Kama Magufuli aliwahi kumdharau Kassim, na Samia naye kamdharau Kassim basi tuongozwe na wanyama maana wanawake na wanaume washafeli!
 
Kwa namna zetu mtoto wa nyumbani Yuko juu anatuwakilisha why not. We ndo mjinga. Tena lazima uwe na chama Lakini tofauti na Alicho MKM. He is a good man. Siasa zenu chafu na midomo michafu isiwafanye mdharau watu wema wachache waliobaki taifani.
Unalalamika bure. Aliyemtaja ni Rais
 
Kweli anye bata kaharisha...mkapa,kikwete,mwinyi,nyerere,magufuli.....Samia badala ya Suluhu....Kaita kasimu mmeshapata bawasiri.Acheni hizo
 
Kauli ya " kwa akina Kassim' siyo nzuri hayati nae aliwahi mwambia ataanza na shangazi yake, mama nae amefanya tuone jinsi mwanamke hafai kupewa wadhifa mkubwa hapa Tanzania.
Mwanamke ameingiaje wakati ktk hoja yako umemtaja Rais mwengine mwanaume na aliwahi kutoa kauli kwa PM. Halafu Mhe. Rais kamdharau vipi PM kwa kusema hivyo? Acha maneno madogo madogo ndugu.
 
Kauli ya " kwa akina Kassim' siyo nzuri hayati nae aliwahi mwambia ataanza na shangazi yake, mama nae amefanya tuone jinsi mwanamke hafai kupewa wadhifa mkubwa hapa Tanzania.
samia bado,( mwanamke bado????) , alipewa Umakamu kusolicit kura za wanawake........ Sky Eclat is it true kuwa mwanamke bado kwa rais?
 
Wanaume 2021-2025 mtasaga meno.

Kuongozwa na mwanamke kunawachoma mioyo. Yaani hapo sijaelewa umetudrag wanawake wote ili iweje.

Kama Magufuli aliwahi kumdharau Kassim, na Samia naye kamdharau Kassim basi tuongozwe na wanyama maana wanawake na wanaume washafeli!
Mwanamke ni mlezi mambo yakienda kombo anapaswa kusawazisha siyo kwa kuwa magufuli alimdharau na yeye amdharau.
 
Kama huyo Waziri anashindwa kujisimamia kweli ndio ataweza kusimimia miradi na utendaji wa wizara mbalimbali....

Hayo mambo yao hata wakipigana makofi shauri lao ili mradi mimi nione value for money ya kodi zetu (Jambo ambalo mpaka sasa naona kama wanachezea tu pesa zetu kwa nonsensical issues)
 
Kauli ya " kwa akina Kassim' siyo nzuri hayati nae aliwahi mwambia ataanza na shangazi yake, mama nae amefanya tuone jinsi mwanamke hafai kupewa wadhifa mkubwa hapa Tanzania.
akina Kasimu naye ndio walewale jamii ya kiroboto., hakuna namna nyengine jina lake ni kasimu tu ndivyo lilivyoandikwa kwenye cheti chake.,
Nyinyi wabongo mnapenda vyeo na ubwanyenye mama anataka maendeleo
 
Kauli ya " kwa akina Kassim' siyo nzuri hayati nae aliwahi mwambia ataanza na shangazi yake, mama nae amefanya tuone jinsi mwanamke hafai kupewa wadhifa mkubwa hapa Tanzania.
Kwahiyo hayati nae ni mwanamke au ndio mmevurugwa!
 
Ni kawaida watu wenye rika linalofanana kuitana majina hvyo especial kama mtu kakuzidi cheo,Nyerere alikuwa anamuita rais Mwinyi "Ali",na aliendelea kumuita hvyo hata baada ya Mwinyi kuwa Rais.Mkapa alikuwa anamuita Rais Magufuli "John" refer Magufuli alivyohadithia wakati anamtembelea hospital na hata alishamuita hvyo mbele za watu.So mkishazoeana sana na mnafanya kazi wote kila cku sometimes kuna possibility ya kuweka vyeo pembeni na ubinadam ukachukua nafasi yake.
Kuna kuitwa kwa uzuri siyo kwa kuitwa kuonyeshea mfano mbaya, Hiyo ni dharau mbaya sana.
 
Back
Top Bottom