Tunachochea kuni tu😅😅Hahahaa kumbe nawewe akilizako ni sawa na za ndugai.
Tunachochea kuni tu😅😅Hahahaa kumbe nawewe akilizako ni sawa na za ndugai.
Hakuna cha moto wala nini. Rais ni Samia tu.Kumuandama kassim ndio mpango wao wahuni. Kuna watu wamewalenga ila wakiendelea moto utawaka.
Kwahiyo Magufuli anakuwa excused kwa sababu sio "mlezi"?Mwanamke ni mlezi mambo yakienda kombo anapaswa kusawazisha siyo kwa kuwa magufuli alimdharau na yeye amdharau.
Wanajuana hao wote lao moja ni waongo waongo mno. Wasikuchoshe.Kauli ya " kwa akina Kassim' siyo nzuri hayati nae aliwahi mwambia ataanza na shangazi yake, mama nae amefanya tuone jinsi mwanamke hafai kupewa wadhifa mkubwa hapa Tanzania.
Mchonga alikuwa akimu address Kawawa kwa jina la Rashid na Malecela kwa jina la Samuel, hakuna cha kushangaza hapo.Ni kawaida watu wenye rika linalofanana kuitana majina hvyo especial kama mtu kakuzidi cheo,Nyerere alikuwa anamuita rais Mwinyi "Ali",na aliendelea kumuita hvyo hata baada ya Mwinyi kuwa Rais.Mkapa alikuwa anamuita Rais Magufuli "John" refer Magufuli alivyohadithia wakati anamtembelea hospital na hata alishamuita hvyo mbele za watu.So mkishazoeana sana na mnafanya kazi wote kila cku sometimes kuna possibility ya kuweka vyeo pembeni na ubinadam ukachukua nafasi yake.
Mpaka sasa ujaona madhara ya kumdharau waziri mkuu? Ujaona alivyochanganyikiwa kutokana na madharau? Ujasikia tupo siku ya 40 tangu mwaka uanze?Kwahiyo Magufuli anakuwa excused kwa sababu sio "mlezi"?
Kama alimdharau na bado akafaa kuwa Rais basi na mama anafaa. Kazi iendelee...
Umejibiwa kuhusu Samia unaleta habari Dr Mpango, mbona HUNA AKILI wewe mtiti wa zinaaNa huyu makamu wa sasa nae alipigiwa na nani
Umenikosea sana,Umejibiwa kuhusu Samia unaleta habari Dr Mpango, mbona HUNA AKILI wewe mtiti wa zinaa
Kilichomchanganya waziri mkuu juzi ni nini Kama siyo kuchanganyikiwa na dharau anazopewa?Tatizo la ufahamu finyu ,Raisi Mzanzibari mkaazi yupo sahihi kabisa,na mwenye akili timamu anajua Raisi amekusudia sehemu gani.
waTz wanashindwa kufahamu hata kitu kinachoitwa mfano,sasa mlitaka awataje wabunge wote mmoja baada ya mwingine,ndio maana CCM inawapiga na kuwagaragiza mnaona mwisho wa kivuli tu,
Halafu hua hasemi mheshimiwa rais . utaskia mama ameagiza.Itakuwa yeye mwenyewe hajiheshimu ndio maana haheshimiki. Kwanza alipita bila kupingwa. Waziri Mkuu unapitaje kwenye jimbo lako kwa kutegemea mbeleko?
Nyerere alikuwa aki-address watu kwa first name zao badala ya surname. Rashidi, Ali, Amiri, Chadiel, Oscar, Alfred, Job, Samuel, Cleopa, Edwin, Al Noor, Ahmed, Abel, Pius, Paul, Kighoma, Abdul, Joseph, Moses, Augustine, Timothy nk nk.Mchonga alikuwa akimu address Kawawa kwa jina la Rashid na Malecela kwa jina la Samuel, hakuna cha kushangaza hapo.
👍Au ndio kwa maana alisema rais ni mzima wa afya na anapiga kazi?
Ilikua ni kula time ili kusuka mipango?