Rais Samia aache kumdharau Waziri Mkuu

Rais Samia aache kumdharau Waziri Mkuu

wote ni wateuliwa wa hayati lakini majaliwa kachaguliwa kwa kura jimboni kwake nakisha kuteuliwa mama hajachaguliwa kwa kura
Huna akili wewe nadhani hujawahi piga kura hebu rejea karatasi ya kura ilivyo halafu urud huku utuambie mama hajapigiwa kura

Kuchaguliwa kwa kura sio tiketi ya kuanza kampeni kabla ya wakati
 
Kauli ya " kwa akina Kassim' siyo nzuri hayati nae aliwahi mwambia ataanza na shangazi yake, mama nae amefanya tuone jinsi mwanamke hafai kupewa wadhifa mkubwa hapa Tanzania.
Kila upande uliodhurika na kauli ya rais apeleke mwasada bungeni wa kutokuwa na imani naye kisha wamng'oe wakichelewa mwenzenu tayari ameshapangwa kuwang'oa kwa koleo

Bunge lijalo litachimbika kwa dharau zilizojidhihirisha hadharani bila aibu kwa mihimili miwili kupondana hadharani.......balaa linakuja.....ama kifo au kupona
 
Yule ni waziri mkuu anastahili heshima, Kwanza Samia hajamteua wote waliteuliwa na hayati hamna haja kumdharau.
Kipindi hicho sasa mama ni rais, mama alisema kwenye hutuba zake za mapema "ukimzingua atakuzingua"
Ukivunja heshima kwanini usivunjiwe., wewe endelea kumpigia magoti kasim na wenzake watanzania wanataka maendeleo
 
wote ni wateuliwa wa hayati lakini majaliwa kachaguliwa kwa kura jimboni kwake nakisha kuteuliwa mama hajachaguliwa kwa kura
Hujawahi kupiga kura? Kwenye karatasi ya kupiga kura picha zote mbili za mgombea urais na mgombea mwenza zinakuwepo. Kwa hiyo ukitia tick kwenye kibox maana yake ni kwamba umewachagua wote wawili. Hivyo SSH alipigiwa kura pia
 
Kauli ya " kwa akina Kassim' siyo nzuri hayati nae aliwahi mwambia ataanza na shangazi yake, mama nae amefanya tuone jinsi mwanamke hafai kupewa wadhifa mkubwa hapa Tanzania.
Ndiyo maana tunamuona mama bila uwepo wa mumewe katika picha
Mbona Janet tulikuwa tunamuona na Jiwe kila sehemu
Huyu Maza ni shidaaa!! Tutajuta
 
Usitusemee bwashee,
utajuta mwenyewe
Sie wengine hatujuti na hatutajuta
Mama piga kazi
 
Hujawahi kupiga kura? Kwenye karatasi ya kupiga kura picha zote mbili za mgombea urais na mgombea mwenza zinakuwepo. Kwa hiyo ukitia tick kwenye kibox maana yake ni kwamba umewachagua wote wawili. Hivyo SSH alipigiwa kura pia
Na huyu makamu wa sasa nae alipigiwa na nani
 
wote ni wateuliwa wa hayati lakini majaliwa kachaguliwa kwa kura jimboni kwake nakisha kuteuliwa mama hajachaguliwa kwa kura
Hata majaliwa hakupigiwa kura bali alipita bila ya kupingwa,
Wapinani wote walikua disqualified kwa sababu mbalimbali
 
Ni kawaida watu wenye rika linalofanana kuitana majina hvyo especial kama mtu kakuzidi cheo,Nyerere alikuwa anamuita rais Mwinyi "Ali",na aliendelea kumuita hvyo hata baada ya Mwinyi kuwa Rais.Mkapa alikuwa anamuita Rais Magufuli "John" refer Magufuli alivyohadithia wakati anamtembelea hospital na hata alishamuita hvyo mbele za watu.So mkishazoeana sana na mnafanya kazi wote kila cku sometimes kuna possibility ya kuweka vyeo pembeni na ubinadam ukachukua nafasi yake.
Pia Nyerere alikuwa akimwita KAWAWA, RASHIDI na haikuwa nongwa.
 
Tatizo PM mwenyewe amezidi mno kujikomba kwake wala hajiamni ndiyo maana anampigia kampeni kana kwamba yeye hana uwezo qa kushika nafasi hiyo

Mh Majaliwa wa sasa si yule wa mwezi mmoja ama miwili baada ya JPM kutwaliwa. Kabadilika misimamo yake ambayo Watanzania wengi walimuelewa anayo. Na alitufanya wengine tuwe na matumaini JPM kaondoka lakini katuachia Watu. Huku kubadilika kwake kutamgharimu si kidogo sana tu siku zijazo pamoja na kuwa bado ni PM.
 
Amwondoe arudi kwenye kazi yake ya ualimu, cheo siyo milele
Si kwamba atabaki kama mbunge wa Ruangwa? Yeye ni mbunge wa jimbo la Ruangwa, alipita bila kupingwa baada ya mgombea nadhani wa CUF kufanyiwa figisu na kuwekwa ndani ili ashindwe kurudisha form, lengo ni kumfanya mzee baba asisumbuke kufanya kampeni. Siyo kwamba hakuwa na uwezo wa kushinda, ni ile tu kumuepusha na "usumbufu" wa kampeni. Kipindi cha kampeni yeye alikua anapiga jalamba kwenye majimbo mengine ya nchi, kuweka mambo sawa kule kuliko kuwa na wasiwasi kidogo, kama Kaskazini.
 
wote ni wateuliwa wa hayati lakini majaliwa kachaguliwa kwa kura jimboni kwake nakisha kuteuliwa mama hajachaguliwa kwa kura
Kassim hakuchaguliwa kwa kura, vuta kumbukumbu vizuri.

Kura za maoni za chama chake hakupata mpinzani na Uchaguzi mkuu wapinzani wake walitekwa akapita bila kupingwa.
 
Laana ya JPM haita waacha bure stay online

Waamuzi 14:4
Wazazi wake hawakujua kwamba huo ulikuwa mpango wa Mwenyezi-Mungu ambaye alikuwa anatafuta kisa cha kuchukua hatua dhidi ya Wafilisti. Wakati huo, Wafilisti waliwatawala Waisraeli.
 
Back
Top Bottom