MtazamoWangu
JF-Expert Member
- Apr 25, 2009
- 313
- 7
sijaelewa kama hoja ni KUZOMEWA obama au ni kusupport OTOAJI WA MIMBA...
Exaud, Hayo sio mawazo yangu mimi, ndio maana nimesema medically accepted. Ni mjadala mrefu wa kifalsafa, na kama unavyojua maswali ya kifalsafa huwa hayani jibu moja. The dominant school of thought ndio imefikia conclusion hiyo ambayo wanaisupport na fact kuwa maisha huisha pale ubongo unapoacha kufanya kazi so huanza pia pale ubongo unapoanza kufanya kazi. Kutokana na nature ya mjadala wenyewe hatuwezi kuwa na jibu moja la ndio/hapana.ZeMarcopolo,
Maelezo yako yanaleta utata mkubwa kwangu.
Eti uhai unaanzia wiki ya 12 ya mimba?
Sasa mimba ni nini?
Hizo wiki 11 za kwanza huwa ni nini?
Exaud, Hayo sio mawazo yangu mimi, ndio maana nimesema medically accepted. Ni mjadala mrefu wa kifalsafa, na kama unavyojua maswali ya kifalsafa huwa hayani jibu moja. The dominant school of thought ndio imefikia conclusion [/COLOR]hiyo ambayo wanaisupport na fact kuwa maisha huisha pale ubongo unapoacha kufanya kazi so huanza pia pale ubongo unapoanza kufanya kazi. Kutokana na nature ya mjadala wenyewe hatuwezi kuwa na jibu moja la ndio/hapana.
I have been watching this documentary "Obama Deception".. (sijamaliza actually..naenda nayo taratibu), lakini its very clear si wapiga kura waTz ndio huwa wanalack commonsense..even waamerika are not better than our gullible masses..
Hussein Obama ni kibaraka wa kawaida ambaye hatokaa aseme mawazo yake hata kama anaona mambo yanaenda kombo.. suala la utoaji mimba na same sex marriage ukiunganisha na nwo..what do you get?
If not important, why are you responding?
Leave the thread to those who feel that they have something to contribute.
Mbonafingi, Hili swala ni la kifalsafa zaidi na hapo nilipohighlight ndio kwenye kutokukubaliana. Medically acepted uhai unaanzia wiki ya 12 ya mimba ambapo ubongo huwa tayari umeshatengenezwa na hata kufa kwa mtu ni pale ubongo unapoacha kufanya kazi. Ndio maana nchi nyingine kutoa mimba huruhusiwa bila kikwazo mpaka wiki 12 baada ya hapo mpaka kuwe na sababu ya kiafya. Tatizo linalojitokeza ni pale utoaji mimba unapopigwa vita bila conditions, swala ambalo haliwezi kuwa sahihi. Kwa mfano, hivi sasa kuna uwezekano wa kudiagnose magonjwa mbalimbali ya mtoto kabla hata hajazaliwa, je ukikuta mtoto ana ugonjwa ambao utapelekea kuwa na mtindio wa ubongo wa IQ below 20 haitakuwa sahihi kuwapa fursa wazazi kuamua kama mimba hiyo waendelee kuielea au la? Kuna magonjwa mengine mtoto anazaliwa lakini hawezi kuishi zaidi ya miaka 5, na hata huo muda anaoishi anakuwa na tabu tu za kiafya. Sababu zinaweza kuwa nyingi, ila kukataza kitu kama abortion bila exceptions nadhani si sahihi, especially kwenye higher learning institution ambayo inatarajiwa kupalilia openmindedness.
You must be a devil worshiper.
sio wote wameingiza mimba kwa kujitakia wengine ni kubakwa wengine ni mapenzi ya kulazimishana katika ndoa au nje ya ndoa na mambo kama hayo kwahiyo mtu akiamua kutoa mimba tuheshimu uhuru na haki yake kama mwanadamu
SHY DARLING HATA WEWE???
Darling
Dunia inabadilika na jamii zinabadilika kwahiyo lazima tukubali hivyo lazima tukubali uhuru wa mtu anapoamua kuchukuwa uamuzi wowote hata dhidi yake mwenyewe kama havunji sheria za sehemu husika basi yuko huru kutenda hilo atendalo hata kutoa mimba kama anachokifanya kinafaida kwake na kwa wengine bila kuadhiri wengine pia yuko huru kufanya hivyo
Sasa unapenda hawa watoto wamitaani ? labda mimba zingetolewa tusingeona kadhaa hizi mitaani ( ni wazazi wamekimbia watoto wao , wameshindw akuwalea wengi wao ) je wangetoa mimba ingekuwaje ??
Rais Barack Obama amezomewa alipokuwa akitoa hotuba katika chuo Kikuu cha Notre Dame
?
Unadhani kutenda dhambi ya kuua ndio suluhisho! Au basi unavyosema ni sawa na kusema watoto wa mitaani nao watokomezwe! Tusiende huko jamani! Mimba tayari ni kiumbe kukitoa ni sawasawa na kuuwa mtu aliye hai. Zuia isiingie kuliko ikiingie uiuwe!
Ni haki yao ya msingi kumzomea raisi wao (Obama) kwani ni sehemu ya democrasia yao iitwayo ya kweli! by Daluga DalugaRais Barack Obama amezomewa alipokuwa akitoa hotuba katika chuo Kikuu cha Notre Dame huko Marekani.
Rais Obama ambaye alitunukiwa Digrii ya heshima, alizomewa pale alipotoa mwito kwamba mjadala kuhusu utoaji mimba usisitishwe bali uendelezwe kwa nidhamu, huku watu wakiheshimiana.
Kimsingi, Rais Obama hapingi utoaji wa mimba kama ulivyo msimamo wa kanisa Katoliki.
US President Barack Obama waves as he arrives on the stage to attend the commencement ceremony in the Joyce Center of Notre Dame University in South Bend.
Nini mawazo yenu wana JF?
Nadhani Notre Dame wameonyesha kiwango cha chini. Kama scholars walichotakiwa kufanya ni kuencourage debate, sio kuwa rigid na kile wanachoamini wao. Ikiwa kila mtu asipopenda kitu basi anafanya kama walivyofanya Notre Dame basi sidhani kama mabunge yangeweza kufanya kazi.
......................................, kama uliangalia vizuri na nafikiri hata mtoa mada huenda hakuangali ile shughuli live ni kwamba, heckler mmoja tena si mwanafunzi ...............................................
............
Na sherehe yote ukiangalia iliwenda kama ilivyopangwa ........................................sasa hivi Obama kawa mwiba kwao kwa jinsi anavyokubalika