Rais obama azomewa.

Exaud J. Makyao

JF-Expert Member
Nov 30, 2008
1,518
22
Rais Barack Obama amezomewa alipokuwa akitoa hotuba katika chuo Kikuu cha Notre Dame huko Marekani.

Rais Obama ambaye alitunukiwa Digrii ya heshima, alizomewa pale alipotoa mwito kwamba mjadala kuhusu utoaji mimba usisitishwe bali uendelezwe kwa nidhamu, huku watu wakiheshimiana.

Kimsingi, Rais Obama hapingi utoaji wa mimba kama ulivyo msimamo wa kanisa Katoliki.

capt.photo_1242589251586-5-0.jpg
US President Barack Obama waves as he arrives on the stage to attend the commencement ceremony in the Joyce Center of Notre Dame University in South Bend.

Nini mawazo yenu wana JF?
 
is this important for us?
 
Well mimi nafikiri watu watoe mimba tu kama wanafikiri kufanya hivyo italeta ahueni katika maisha yao ya kila siku , mtu atumie mwili wake kwa uhuru wote anaoona yeye utamfaa
 
Utoe mimba why? Uliingiza ya nini?.....why not struggle kuzuia isiingie....una struggle itoke?
 
sio wote wameingiza mimba kwa kujitakia wengine ni kubakwa wengine ni mapenzi ya kulazimishana katika ndoa au nje ya ndoa na mambo kama hayo kwahiyo mtu akiamua kutoa mimba tuheshimu uhuru na haki yake kama mwanadamu
 
Well mimi nafikiri watu watoe mimba tu kama wanafikiri kufanya hivyo italeta ahueni katika maisha yao ya kila siku , mtu atumie mwili wake kwa uhuru wote anaoona yeye utamfaa

Wewe mama yako angekutoa sijui leo ungekuwa wapi! jalalani au umeliwa na fisi? You liberals you are screwing this world, yes including Obama!
 
it is not the baby's fault. it deserves life, your mistake shouldnt cost it its life. that is murder
 
Nadhani Notre Dame wameonyesha kiwango cha chini. Kama scholars walichotakiwa kufanya ni kuencourage debate, sio kuwa rigid na kile wanachoamini wao. Ikiwa kila mtu asipopenda kitu basi anafanya kama walivyofanya Notre Dame basi sidhani kama mabunge yangeweza kufanya kazi.
 
Well mimi nafikiri watu watoe mimba tu kama wanafikiri kufanya hivyo italeta ahueni katika maisha yao ya kila siku , mtu atumie mwili wake kwa uhuru wote anaoona yeye utamfaa

You must be a devil worshiper.
 
Jamani inashangaza tunapokuwa na sheria zinazokinzana, utoaji mimba ni uuaji kwanini iruhusiwe mtu akiona mimba inamkera atoe basi turuhusu hata mauaji ya mengine mtu akikukera ua na usichukuliwe hatua. Uhai wa mtu huanza pale mimba inapotungwa. Wamefanya vyema kumzomea!!!
 
Wewe mama yako angekutoa sijui leo ungekuwa wapi! jalalani au umeliwa na fisi? You liberals you are screwing this world, yes including Obama!

In general chama cha Democrat ni chama cha kuruhusu kila aina ya maovu nchini Marekani. Hata makamu wa rais bwana Joe Biden ni mfuasi wa Mammoth (dini ya waabudu shetani) ingawa anajitambulisha kama mkatoliki. Hovyo kabisa.
 
Last edited:
In general chama cha Democtrat ni chama cha kuruhusu kila aina ya maovu nchini Marekani. Hata makamu wa rais bwana Joe Biden ni mfuasi wa Mammoth (dini ya waabudu shetani) ingawa anajitambulisha kama mkatoliki. Hovyo kabisa.

huyu SHY nae alikua kwenye post ya freemasons akifagilia fagilia kule.
 
Jamani inashangaza tunapokuwa na sheria zinazokinzana, utoaji mimba ni uuaji kwanini iruhusiwe mtu akiona mimba inamkera atoe basi turuhusu hata mauaji ya mengine mtu akikukera ua na usichukuliwe hatua. Uhai wa mtu huanza pale mimba inapotungwa. Wamefanya vyema kumzomea!!!

Mbonafingi, Hili swala ni la kifalsafa zaidi na hapo nilipohighlight ndio kwenye kutokukubaliana. Medically acepted uhai unaanzia wiki ya 12 ya mimba ambapo ubongo huwa tayari umeshatengenezwa na hata kufa kwa mtu ni pale ubongo unapoacha kufanya kazi. Ndio maana nchi nyingine kutoa mimba huruhusiwa bila kikwazo mpaka wiki 12 baada ya hapo mpaka kuwe na sababu ya kiafya. Tatizo linalojitokeza ni pale utoaji mimba unapopigwa vita bila conditions, swala ambalo haliwezi kuwa sahihi. Kwa mfano, hivi sasa kuna uwezekano wa kudiagnose magonjwa mbalimbali ya mtoto kabla hata hajazaliwa, je ukikuta mtoto ana ugonjwa ambao utapelekea kuwa na mtindio wa ubongo wa IQ below 20 haitakuwa sahihi kuwapa fursa wazazi kuamua kama mimba hiyo waendelee kuielea au la? Kuna magonjwa mengine mtoto anazaliwa lakini hawezi kuishi zaidi ya miaka 5, na hata huo muda anaoishi anakuwa na tabu tu za kiafya. Sababu zinaweza kuwa nyingi, ila kukataza kitu kama abortion bila exceptions nadhani si sahihi, especially kwenye higher learning institution ambayo inatarajiwa kupalilia openmindedness.
 
huyu SHY nae alikua kwenye post ya freemasons akifagilia fagilia kule.

Posts zake zinaonyesha ni namna gani alivyojitoa kumtumikia ibilisi. Ni hatari sana. Yampasa sasa a-make-up his/her mind na kumrudia MUNGU wa kweli kwa faida yake angali hapa duniani na kwa maisha yake ya milele. Asimudanganye mtu, akumbuke kuwa kuna maisha baada ya kufa. Huu ni ushauri wangu wa bure kwake.
 
Jamani inashangaza tunapokuwa na sheria zinazokinzana, utoaji mimba ni uuaji kwanini iruhusiwe mtu akiona mimba inamkera atoe basi turuhusu hata mauaji ya mengine mtu akikukera ua na usichukuliwe hatua. Uhai wa mtu huanza pale mimba inapotungwa. Wamefanya vyema kumzomea!!!

MBONAFINGI,
Nimeyapenda sana mawazo yako.
Yanafikirisha na kutia huruma ndani ya moyo wa mtu.
KWELI : Uhai huanza pale mimba inapotungwa.
 
Mbonafingi,....,,,,,,,,,,,,, Medically acepted uhai unaanzia wiki ya 12 ya mimba ambapo ubongo huwa tayari umeshatengenezwa na hata kufa kwa mtu ni pale ubongo unapoacha kufanya kazi...........................
.

ZeMarcopolo,
Maelezo yako yanaleta utata mkubwa kwangu.

Eti uhai unaanzia wiki ya 12 ya mimba?

Sasa mimba ni nini?

Hizo wiki 11 za kwanza huwa ni nini?
 
MBONAFINGI,
Nimeyapenda sana mawazo yako.
Yanafikirisha na kutia huruma ndani ya moyo wa mtu.
KWELI : Uhai huanza pale mimba inapotungwa.

Exaud,
nakubaliana na mawazo yako.Mada hii inapaswa kuweka msingi wote wa debate katika ukweli huu,
Uhai huanzia pale mimba inapotungwa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom