Rais Mwinyi umetudhalilisha Wazanzibari. Waziri wa Michezo angetosha mazungumzo na Mamadou Sakho

Wewe mtoa hoja una matatizo ya kichuki pls pata msaada wa Doctor, na next time try to think outside of the box, alichokifanya hapa President ni kufikiria future ya nchi sio kama unavyofikiri wewe wakati huwezi kutuletea even one tourist hapa nchini.

Tulia na fikiria maisha yako na familia yako maana ndio kiini cha Taifa bora na uache kutuletea chuki na wivu usio na maana.
 
mwinyi.jpg
 
Naona mkuu wewe ndio unajidhalilisha
Kwa Zanzibar ni aibu nasema kwa kinywa kipana ametudhalilisha Wazanzibar, inakuwaje mna tatizo la kutokujielewa na ndio maana CCM inawaburuza. Raisi? Aloo hivi hamna waziri? Mkitaka msitake ni kujidhalilisha.

lakini sio kosa lenu sababu ni umasikini ulioletwa na CCM.
 
kuna ubaya gan? kama anataka sposi academy.mbona wako jako alipokrlewa.hakuna ubaya usimpabgie
 
Kwa Zanzibar ni aibu nasema kwa kinywa kipana ametudhalilisha Wazanzibar, inakuwaje mna tatizo la kutokujielewa na ndio maana CCM inawaburuza. Raisi? Aloo hivi hamna waziri? Mkitaka msitake ni kujidhalilisha.

lakini sio kosa lenu sababu ni umasikini ulioletwa na CCM.

Sasa Amii ukitaka mawaziri ndo wafanye kazi kama hizo huyo raisi atakua na kazi gani Ami mbona uko hvo weyeee ??!
 
Nimeona aibu sana na niliondoka kimya kimya huku nikisononeka inakuwaje Rais wa Nchi anajidhalilisha kwa mcheza mpira? Au ndio ukisikia itifaki imezingatiwa ndio huku?

Tena kwa Red carpet kesho na kesho kutwa mchezaji anakunya mbovu inakuwaje hapo? Au kuna mtonyo wa 10%

Kusema kweli ni aibu ya mwaka hata kama angekuwa trilioneya bado Rais wa nchi asingejidhalilisha kiasi kile, inakuwaje yaani sijaelewa kabisa kabisa, wazee walisema akili ni nywele tatizo la sisi wenye vipara ni mtihani.

Wadau wa protokoli hili jambo mnalionaje?

Mkuu unaishi dunia ipi? Katika dunia ya leo celebrities wanaweza kukupa msaada mkubwa hata kuliko Wold Bank.
Unajua aliyetoa hela ya kuanzisha mradi wa odoa malaria Tanzania?
 
Tangu lini mwinyi kawa rais wa nchi, kumbe ukiwa rais wa zanzibar tayari umekuwa rais wa nchi.......ndo maana bashite naye alijiita rais wa nchi ya dalisalamu..
 
Huyo Sakho ni Brand kubwa,unatambua hilo? hayo makaribisho na heshima aliyoipata kutoka kwa rais wa Zanzibar unajua ni watu wangapi wataona? unajua outcome yake?

Acha kuishi maisha ya kukariri,Dunia inaenda kasi sana na inabidi na wewe uongeze speed ili Dunia isizidi kukuacha nyuma.
 
Mtoa mada umedhihirisha ujinga na ushamba wako . Bora ungeuliza kwanza watu wakueleweshe .
Kim wa Korea Kaskazini alimkaribisha Rodman mchezaji wa kikapu wa NBA .
Hapo Mh.Mwinyi anaua ndege wengi kwa jiwe moja . Tunatangaza utalii , tunahamasisha michezo , tunaitangaza Zanzibar na Tz , tunajenga mahusiano ya kimataifa kumitia michezo na mambo mengine kama hayo . Pamoja na mikakati mingine , Rais anaonesha kuwa Serikali anayoiongoza inakaribisha wageni na iko Serious ktk hilo .
 
Ndio tumejaaliwa kuburuzwa, kama hamjaelewa ni lipi cha kueleweshwa?

Nimeuliza Raisi wa nchi kumpokea mcheza mpira kisa tu anakuja na ahadi kedekede, halafu ni juzi tu Rais huyo huyo amelalamika kwenye vyombo vya habari kuwa, yeye awe ndio mtu wa mwisho kutatua au kushughulika na jambo, kama yeye atakuwa wa mwanzo haina haja ya kuwa na Mawaziri wala wasaidizi.

Kwa alivyofanya amechukua kazi ya Waziri husika anaeshughulikia Michezo na kujitwisha yeye.

Tuchukulie Mchezaji wa Real Madridi anakuja TZB, Rais Samia awe kiguu na njia kuzungumza na mchezaji huyo kisa anakuja au anataka kuekeza. Inaelekea? Raisi wa nchi voo! Lakini sishangai ndivyo CCM inavyotupeleka ujingani.
Zanzibar ni kama Mkoa, Rais wa Zanzibar na Mkuu wa mkoa wa Ntwara hawana tofauti.Mengine yote ni mbwembwe tu.
 
Huyo thamani ya utajiri wake ni dola milioni 89 sasa zigeuze Hizo kwa hela za bongo utamjua vizuri huyo mfaransa mweusi.
 
Back
Top Bottom