Rais Mutharika: Ziwa Nyasa lote ni mali ya Malawi

Rais Mutharika: Ziwa Nyasa lote ni mali ya Malawi

Wanaotaka 'kunyonya' endeleeni kudai 'ziwa' lenu. Sisi tuko busy tunadai vijisenti vya Tegeta ili tununue 'maziwa'.
 
rais wetu si alishapona tezi dume kwa nini asimtatue malinda huyu mjinga mpenda sifa za kike?
 
Kwa kuwa Ziwa Haliwezi Kubwebwa wala ku move, kwa sasa wacha tujikite na wezi wetu wa ESCROW ambao tukiwaachia kidogo tu wanaweza kukimbia
 
Tumalize kwanza escrow halafu kila watanzania 10 wapewe kazi ya kumuuwa mmalawi 1
 
kama tulivyopora mke wa mtu na kumuita mchumba

Kama tulivoiba Tshs bilioni 321 kutoka akaunti ya Escrow na wagonjwa wakakosa dawa muhimbili.........Kidumu chama cha mapinduzi.....
 
Kama tulivoiba Tshs bilioni 321 kutoka akaunti ya Escrow na wagonjwa wakakosa dawa muhimbili.........Kidumu chama cha mapinduzi.....
inaelekea unafurahia sana ajira yako mpya ya kupost hapa jf
 
mutharika usituchanganye kabisa..hebu tuache kwanza tuko bize tunataka kumkamua jipu Werema na Pinda wameshaelekea kibla..tuache kwanza tutarudi baadaye
 
images.jpg

we mazafanta stroke unaona wagonjwa wanavopata shida muhimbili alafu nyie mnauza pembe za ndovu ? mnaiba pesa zetu
 
Last edited by a moderator:
edward lowasa ndiye anayemtosha huyu la porofeseli. ngoja lowasa awe rais halafu tusikie kama bado anatoa hayo mapovu yake.
 
Jk ana jeshi kwaajili ya kuuwa raia tu siku za maandamano lakini si kwa kupambana na Malawi wale jamaa hatuwawezi, Chukueni ziwa Nyasa Mr.Mutharika sisi mlima wa Kilimanjaro unatutosha kupiga na mtu usiyemuweza ni kutaka
 
MZOZO ZIWA NYASA: Rais Mutharika wa Malawi awaambia wasuluhishi Alhamisi msimamo kuhusu Ziwa Nyasa uko palepale, Ziwa lote ni la Malawi, hakuna haja kuzungumza.


Chanzo: nyasatime
Mheshimiwa MJITA HALISI 176........Samahani hii ilikuwa Alhamisi ipi hasa? :tonguez:
 
Hilo ziwa halisumbui. Lowasa akiwa rais ni kufumba na kufumbua tu limerudi.
 
images (1).jpg
mugabe.jpg
obama2.jpg
romney-kiss--z.jpg

stroke kissing a wife sio kitu cha siri....nampongeza sana mbowe kumkiss mke wake Dr Lilian kuonesha kwamba ndoa yake iko imara kuliko wanavodhani kina laki si pesa huo ni mfano bora hasa kwa wale Wagonjwa wa MABUSHA
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom