Rais Mutharika: Ziwa Nyasa lote ni mali ya Malawi

Eee, Labda maji tuyaTransfer kwenye account za Nje huko Swiss !! na IPTL/Escrow tuitransfer Malawi !! Changa la macho hilo!!
 
mkuu sisi ndio wachokozi lileziwa ni mali ya nyasaland (malawi), mikataba ipo wazi mkuu! Ila inabidi tuwashukuru kwa kutupa tulitumie kwa muda sasa naona watz wameanza na kuleta ubabe utadhan ni mali yao.

Nguo ya kuazima haistili ------.

sehemu ya ziwa ni yetu na ndiyo maana tunaendelea na tutaendelea kulitumia bila hofu.wole wenu mnaopiga makelele mkiwa mmelala!
 
mbona watanzania mnaongea sn! Hebu zipitie hizo nyaraka alizozitaja 'helgoland treaty 1896 na OAU RESOLUTION 1985. Kwa hili suala wabongo ndo mnabwabwaja. Mnamuangalia malawi kwa jicho moja bila kujua kuna nani nyuma yake!

Tanzania tukilianzisha tu lazima ile kwetu, kwanza sasa hivi hatuna rafiki wa kutusaidia. Nyie malizeni la ESCROW halafu mtamkuta mutharika anawasubiri.

saivi hatuna rafiki ila tuna ndugu tunae share nae pembe zetu za ndovu na gasi
 
Sasa kaka, kama mke ni wako, iweje utangaze kwa watu wakati wanamjua, wao kama ziwa la kwao mbona huo utafiti wa hiyo gesi walisitisha? wao ndio wanabwabwaja tu, kuhusu marafiki wapo kibao!

kaka walisitisha utafiti kwa sababu tu za kidiplomasia kwani watanzania walianza ku2nisha misuli na jamaa wakajua kuwa tz hawataki kutumia akili na wao wakaepusha mapigano yasiyo ya lazima ili wapate muda wa kuwakumbusha mipaka sahihi ya nchi yenu!

Lkn pamoja na watz kugundua kuwa papo wrong ila bado wanajitoa akili coz wanaona aibu kukubali kushindwa. Lkn ukweli jamaa ziwa ni lao wala haihitaji mjadala km mutharika alivyosema!

Hata membe alitambua hili kwan ktk helgoland treaty kinachotupa jeuri ni kipengele kidogo sn ambacho pia kinahitaji ridhaa ya wamalawi. Lkn helgoland treaty imemaliza kila ki2 kuwa lake nyasa ni mali ya nyasa land na OAU RESOLUTION ndio imepigilia msumali wa mwisho kuwa lazima tuheshimu mipaka iliyowekwa na wakoloni. Sasa tz mnajeuri gani?

Kuhusu marafiki wakati wa vita, mkuu kumbuka kuna suala la mafuta na gesi hapa kwahiyo mataifa yenye nguvu yataisaidia weak state kumpiga strong state ila wakishashinda basi inakuwa ni rahisi kuwatawala hawa weak na kujitwalia mafuta kiulaini.

Kwahili watz tusiingie kichwakichwa itakula kwetu. Usimuone JK yupo kimya anajua kuwa hatuna haki ila wananchi mnajiaminisha sn.

SUBIRINI MTAKIONA CHA MOTO
 
Nimewapenda mkenda nje Tanzania kwanza Mkirudi ukawa/ccm kama kawa shauri yako malawi
 
Usiogope, kwenye hili hatutashindwa
 
Usiogope, kwenye hili hatutashindwa

yangu macho, ngoja tumalizane hawa vibaka wa ESCROW halafu ndo tuone na hili la mutharika limekaaje, ila haitakuwa kazi nyepes coz naikumbuka 1978 huko mtukura.
 
Pinda na wenzako rudisheni hela zetu mlizoiba acheni kuanzisha mijadala mingine kutuzuga
 
kaka walisitisha utafiti kwa sababu tu za kidiplomasia kwani watanzania walianza ku2nisha misuli na jamaa wakajua kuwa tz hawataki kutumia akili na wao wakaepusha mapigano yasiyo ya lazima ili wapate muda wa kuwakumbusha mipaka sahihi ya nchi yenu!

Lkn pamoja na watz kugundua kuwa papo wrong ila bado wanajitoa akili coz wanaona aibu kukubali kushindwa. Lkn ukweli jamaa ziwa ni lao wala haihitaji mjadala km mutharika alivyosema!

Hata membe alitambua hili kwan ktk helgoland treaty kinachotupa jeuri ni kipengele kidogo sn ambacho pia kinahitaji ridhaa ya wamalawi. Lkn helgoland treaty imemaliza kila ki2 kuwa lake nyasa ni mali ya nyasa land na OAU RESOLUTION ndio imepigilia msumali wa mwisho kuwa lazima tuheshimu mipaka iliyowekwa na wakoloni. Sasa tz mnajeuri gani?

Kuhusu marafiki wakati wa vita, mkuu kumbuka kuna suala la mafuta na gesi hapa kwahiyo mataifa yenye nguvu yataisaidia weak state kumpiga strong state ila wakishashinda basi inakuwa ni rahisi kuwatawala hawa weak na kujitwalia mafuta kiulaini.

Kwahili watz tusiingie kichwakichwa itakula kwetu. Usimuone JK yupo kimya anajua kuwa hatuna haki ila wananchi mnajiaminisha sn.

SUBIRINI MTAKIONA CHA MOTO

Wewe ni mgeni na ufahamu wako haujitosherezi,chatuhitaji OAU Resolution, wa German Resolution, ziwa Nyasa litabakia Tanzania hata wewe na huyo Mutharika hamtataka. Either you like or you don't like lake Nyasa will remain ours.
 
Escrow escrow kwanza mengine baadae
...........hahahaaaaaaaaaa; nimeipenda hiii, asubiri tumalize hili, moja moja ndio mpango, teh teh teh!!!!!!

Haya maji tuyaache kwanza...Sie na ESCROW tu kwa sasa
...........hahahaaaaaaaaaa; nimeipenda hiii, asubiri tumalize hili, moja moja ndio mpango, teh teh teh!!!!!!

Atuache kwanza turudishe pesa zetu za Escrow ndo tuanze vita, Vita ni pesa, Kwa sasa ameona/amesikia kuwa Tanzania hatuna pesa ndo anaanza kusema hivyo? Asubiri kwanza, Mizengo pinda, Werema, Maswi, Tibaijuika, Muhongo, Chenge, Ngeleja, Majaji...rudisheni pesa zetu ikiwa Malawi itaanza Vita tuwe na pesa.
...........hahahaaaaaaaaaa; nimeipenda hiii, asubiri tumalize hili, moja moja ndio mpango, teh teh teh!!!!!!

IPTl kwanza
...........hahahaaaaaaaaaa; nimeipenda hiii, asubiri tumalize hili, moja moja ndio mpango, teh teh teh!!!!!!

Escroooooo kwanzaaa,
...........hahahaaaaaaaaaa; nimeipenda hiii, asubiri tumalize hili, moja moja ndio mpango, teh teh teh!!!!!!

Kwakuwa hawezi kulibeba na kulihamisha lilipo Ziwa Nyasa, hatuna haraka naye. Escrow ndio habari ya mujini.
...........hahahaaaaaaaaaa; nimeipenda hiii, asubiri tumalize hili, moja moja ndio mpango, teh teh teh!!!!!!

old fashion way of diverging matters
...........hahahaaaaaaaaaa; nimeipenda hiii, asubiri tumalize hili, moja moja ndio mpango, teh teh teh!!!!!!

Pesa zetu za E-scrow kwanza!
Mambo ya ziwa Nyasa baadae!
...........hahahaaaaaaaaaa; nimeipenda hiii, asubiri tumalize hili, moja moja ndio mpango, teh teh teh!!!!!!

Usitutoe kwenye reli!
...........hahahaaaaaaaaaa; nimeipenda hiii, asubiri tumalize hili, moja moja ndio mpango, teh teh teh!!!!!!
 
mkuu sisi ndio wachokozi lileziwa ni mali ya nyasaland (malawi), mikataba ipo wazi mkuu! Ila inabidi tuwashukuru kwa kutupa tulitumie kwa muda sasa naona watz wameanza na kuleta ubabe utadhan ni mali yao.

NGUO YA KUAZIMA HAISTILI ------.

Sasa kama ziwa lote ni lakwao si watukataze tusilitumie.....au waje upande wa TZ kuendelea na uo utafiti wao.
 
Back
Top Bottom