Rais Mutharika: Ziwa Nyasa lote ni mali ya Malawi

Rais Mutharika: Ziwa Nyasa lote ni mali ya Malawi

Jk ana jeshi kwaajili ya kuuwa raia tu siku za maandamano lakini si kwa kupambana na Malawi wale jamaa hatuwawezi, Chukueni ziwa Nyasa Mr.Mutharika sisi mlima wa Kilimanjaro unatutosha kupiga na mtu usiyemuweza ni kutaka

Wewe muongo, lengo lako ni kututoa kwenye reli (pesa za Escrow). Unajifanya eti unatujaza upepo hili tuwake!, hiloooooooooo...!!!.
 
MZOZO ZIWA NYASA: Rais Mutharika wa Malawi awaambia wasuluhishi Alhamisi msimamo kuhusu Ziwa Nyasa uko palepale, Ziwa lote ni la Malawi, hakuna haja kuzungumza.

Chanzo: nyasatime

Nyie mwacheni huyu Muadhirika aendelee kuchezea dushelele sisi saizi tunacheck na ESCROW kwanza tukimalizana na mafisadi dushelele litakuwa limesha simama vyakutosha kwahiyo tukienda Malawi tunawekatuuu.
 
ok Mr Mutharika. kama maji ya moto huchoma nyumba, basi Malawi yote ni mali ya Tanzania. sema sasa!!
 
Vita ni vita tu mura.. Lkn kwanza hawa majangiri wa ESCROW kwanza washughulikiwe ili tupate pesa ya mafuta ya vifaru.
 
Wamalawi wabwabwajaji tu, hawa ni ndege mbili tu wanafyata mkia, siku zote watabaki kama chura wakidhani maji yote yao na watu wanajichotea na hawafanyi lolote!
 
Labda CCM wanakatumia kanchi ka Malawi kutuondoa kwenye pointi ya Msingi.
Escrow kwanza, inshu ya lake Nyasa ni kama kelele za Mlango tu hazituzuii kudai mabilion yetu
 
Nyie mwacheni huyu Muadhirika aendelee kuchezea dushelele sisi saizi tunacheck na ESCROW kwanza tukimalizana na mafisadi dushelele litakuwa limesha simama vyakutosha kwahiyo tukienda Malawi tunawekatuuu.

Mr. President Dr. Mutharika either you like or you don't like, either it is a day or night you will never,never and ever take any piece of land from lake Nyasa. We Tanzanians have power to protect our land in any cost. Stay tuned..............!
 
Labda CCM wanakatumia kanchi ka Malawi kutuondoa kwenye pointi ya Msingi.
Escrow kwanza, inshu ya lake Nyasa ni kama kelele za Mlango tu hazituzuii kudai mabilion yetu

Na ndivyo ilivyo
 
Mr. President Dr. Mutharika either you like or you don't like, either it is a day or night you will never,never and ever take any piece of land from lake Nyasa. We Tanzanians have power to protect our land in any cost. Stay tuned..............!

I think he's really coward!!! Anasema ziwa lote nilake sasa mbona sisitunaendelea na shughulizetu kama kawa hadi katikati ya ziwa ajaribu kutuma misukule yake ziwaniijeituzuie kuvua dagaawetu watamu ndoatajua chenye kilimtoa nyoka mushimo lakini kama anaongelea chooni tu anawezakuendelea. Bring back our escrow money!!! Ndo habari ya inchi kwa sasa.
 
Nyie mwacheni huyu Muadhirika aendelee kuchezea dushelele sisi saizi tunacheck na ESCROW kwanza tukimalizana na mafisadi dushelele litakuwa limesha simama vyakutosha kwahiyo tukienda Malawi tunawekatuuu.

Mwache tu aone tumfanye kitu mbaya, huyu anatufahamu sana, si tumemlipa mshahara wetu pale UDSM
 
Mipaka ya mkoloni iheshimiwe kama ilivyopendekezwa na OAU(African Union).Mahakama ya kimataifa Malawi inashinda kesi bila shaka yeyote. Ubabe tuelekeze kwa wanyonge wetu wa Unguja na Pemba.
 
Haijui tanzania vizuri huyu, akamuulize kagame kilichompata baada ya kutishia kumhit mkulo wetu! Sasa kimya kama fisi aliyenyeshewa mvua!
 
Hivi hawa majirani zetu wanatuona powa sana kwa vile hatujawahi kutoa displine kwa muda mrefu tangu ile iliyomkimbiza idd amini kampala bila kugeuka?
 
Anajua ukicheza na mipaka ya nchi unatangaza vita so muache acheze na moto

Ni kweli mkuu, ila inategemea na nani yuko madarakani, unamkumbuka mzee huyu mzee alieyasema haya maneno? "..uwezo tunao, nia tunayo na sababu za kumpiga tunazo...." Huyo ndio angeweza kusema chochote katika hali kama hii na watu wakamwelewa anasema kitu gani. Kwa sababu ukimwangalia hata muonekano wake unashabihiana na kile anachokisema.
 
Wamalawi wabwabwajaji tu, hawa ni ndege mbili tu wanafyata mkia, siku zote watabaki kama chura wakidhani maji yote yao na watu wanajichotea na hawafanyi lolote!

mbona watanzania mnaongea sn! Hebu zipitie hizo nyaraka alizozitaja 'helgoland treaty 1896 na OAU RESOLUTION 1985. Kwa hili suala wabongo ndo mnabwabwaja. Mnamuangalia malawi kwa jicho moja bila kujua kuna nani nyuma yake!

Tanzania tukilianzisha tu lazima ile kwetu, kwanza sasa hivi hatuna rafiki wa kutusaidia. Nyie malizeni la ESCROW halafu mtamkuta mutharika anawasubiri.
 
Hivi hawa majirani zetu wanatuona powa sana kwa vile hatujawahi kutoa displine kwa muda mrefu tangu ile iliyomkimbiza idd amini kampala bila kugeuka?

mkuu sisi ndio wachokozi lileziwa ni mali ya nyasaland (malawi), mikataba ipo wazi mkuu! Ila inabidi tuwashukuru kwa kutupa tulitumie kwa muda sasa naona watz wameanza na kuleta ubabe utadhan ni mali yao.

NGUO YA KUAZIMA HAISTILI ------.
 
What goes around comes around!
Flash 1964 Cairo Egypt.
The conservatives’ first success in
obstructing the move towards
continental unity was achieved at the
OAU Cairo summit in 1964. It was at
this crucial conference that Nyerere,
the then President of Tanzania,
cunningly pushed through a
resolution which urged the OAU to
accept the colonial borders as the
permanent, recognized frontiers of
OAU member states. This move was in
collaboration with Emperor Haile
Selasie of Ethiopia who one year
earlier had annexed Eritrea, forcefully
including it within his brutal “empire”.
He was now seeking legitimize this
barbaric act through the OAU. The
underlying motive of the resolution
was to frustrate Nkrumah and his
radical Pan-Africanist ideals though
Nyerere claimed that that the
intention was to minimize border
conflicts in Africa. The resolution was
carried by a simple majority and
became a key binding of the OAU
Charter. Ironically, instead of
abolishing Africa’s primary malady of
disunity, the OAU encouraged it.
 
mbona watanzania mnaongea sn! Hebu zipitie hizo nyaraka alizozitaja 'helgoland treaty 1896 na OAU RESOLUTION 1985. Kwa hili suala wabongo ndo mnabwabwaja. Mnamuangalia malawi kwa jicho moja bila kujua kuna nani nyuma yake!

Tanzania tukilianzisha tu lazima ile kwetu, kwanza sasa hivi hatuna rafiki wa kutusaidia. Nyie malizeni la ESCROW halafu mtamkuta mutharika anawasubiri.

Sasa kaka, kama mke ni wako, iweje utangaze kwa watu wakati wanamjua, wao kama ziwa la kwao mbona huo utafiti wa hiyo gesi walisitisha? wao ndio wanabwabwaja tu, kuhusu marafiki wapo kibao!
 
Back
Top Bottom