Tulimumu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 14,395
- 13,272
Sasa hivi akili zetu zote kwanza ziko kwenye issue ya Escrow na ugonjwa wa rais wetu ambaye tunamsubiri kwa hamu apone ili arudi kuwafyeka mafisadi wote wa Escrow na EPA. Hatutaki kusikia tena kauli za "... watakaorudisha watasamehewa..." Akisema hivyo tu tunamcompaore. Yaani kwa jinsi tunavyopigwa humo ndani hata hilo ziwa hatuoni faida yake kama mambo yenyewe ndiyo hayo. Wanajifanya wanapambana kupata Ziwa halafu wanapiga pesa zetu kama za EPA na Escrow. Tutampiga maana sasa tumechoka! na apigwe tu, hakuna namna! Ukiambiwa usiibe pesa za umma wewe unaiba. kwakweli watakupiga, na mimi nasema kama husikii na upigwe tu!