Kwa Mungu hakuna kazi ngumu. Yeye siyo mwanadamu!
Mgonjwa wa akili (huyu wa kwetu) huwa hajielewi sema ndio atazidi kuchizika akizeeka na nguo anaenda kutupaAaaah
Mzee amekuja kujielewa uzeeni
Ikifika miaka hiyo na mim Jiwe ntajielewa
Kwa sisi wasabato tunaamini ukidhihakiwa sana jua kuwa Mungu yupo pamoja na wewe na lazima aoneshe ukuu wake kwakoHili ni dongo kwa mh.pombe,raisi wetu anadharaulika sana,sijui aliwakosea nini!
Mafanikio ya Uganda katika maeneo mengine, kama uchumi nako hayako nyuma.Ukitaka kumwelewa m7 angalia graph yake ya corona inavyopendeza
Period uganda ina mafanikio makubwa sana juu ya vita dhidi ya corona
Atusamehe tu