Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete apewe Ubaba wa Taifa

Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete apewe Ubaba wa Taifa

Wana JF,

Muda umefika sasa tuwe na Baba wa Taifa. Na baba anayefaa kushika hii nafasi si Mwingine bali ni Mhe. saana Dr. JAKAYA MRISHO KIKWETE.

Ana Sifa na weledi wa kupewa hiyo nafasi. Tuanze sisi wengine wafuate

Nawasilisha
Kuna mtu ana Baba Wawili?
 
Taifa lolote lile huwa na baba wa taifa mmoja tu.

Sasa yeye atakuja kuwa baba wa taifa kwa lipi? Na unajua sababu za kiongozi kuitwa baba wa taifa?
ata taifa la msoga tu
 
Wana JF,

Muda umefika sasa tuwe na Baba wa Taifa. Na baba anayefaa kushika hii nafasi si Mwingine bali ni Mhe. saana Dr. JAKAYA MRISHO KIKWETE.Ana Sifa na weledi wa kupewa hiyo nafasi. Tuanze sisi wengine wafuate Nawasilisha.
Unatisha Mkuu. Kwani wewe uliambiwa una baba wangapi? Au ukifiwa na baba anaacha kuwa baba yako? Tuanzie hapo kwanza.
 
Wana JF,

Muda umefika sasa tuwe na Baba wa Taifa. Na baba anayefaa kushika hii nafasi si Mwingine bali ni Mhe. saana Dr. JAKAYA MRISHO KIKWETE.Ana Sifa na weledi wa kupewa hiyo nafasi. Tuanze sisi wengine wafuate Nawasilisha.
Unatisha Mkuu. Kwani wewe uliambiwa una baba wangapi? Tuanzie hapo kwanza.
 
Tunataka baba wa taifa mwamba sio dhaifu
 
Mnatuchanganya tutakuwa na wababa wangapi..? Hlf ifike kipindi urais ufahamike kama ni ajira sio umewekwa pale ili tuje tukunyenyekee kwamba unayotenda hukupaswa hivyo unatenda kwa wema!, Bali unatakiwa utende kwani umeajiliwa.
 
Mnaweza kukubaliana familia yenu ili awe baba Wa familia yenu.

Back
Top Bottom