data
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 26,944
- 23,893
Licha ya magumu yote tunayopitia awamu hii...Wana JF,
Muda umefika sasa tuwe na Baba wa Taifa. Na baba anayefaa kushika hii nafasi si Mwingine bali ni Mhe. saana Dr. JAKAYA MRISHO KIKWETE.
Ana Sifa na weledi wa kupewa hiyo nafasi. Tuanze sisi wengine wafuate
Nawasilisha
Kwa huyu Kikwete hapanaa... Tumuache aende tu.