Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete apewe Ubaba wa Taifa

Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete apewe Ubaba wa Taifa

Napenda wazo lako ila tatizo ni pale mama Maria Nrerere anapokua ndio mama wa taifa sasa sijajua Mshua na Mama Maria wataitana VP?
 
 
Wana JF,

Muda umefika sasa tuwe na Baba wa Taifa. Na baba anayefaa kushika hii nafasi si Mwingine bali ni Mhe. saana Dr. JAKAYA MRISHO KIKWETE.

Ana Sifa na weledi wa kupewa hiyo nafasi. Tuanze sisi wengine wafuate

Nawasilisha
Apewe ubaba wa kambo au ubaba kabisa?
 
Back
Top Bottom