MPHINGU
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 518
- 613
Rais mpya wa SOMALIA Mahamed Farmajo amemteuwa mwanamke mweye asili ya KITANZANIA Mbunge Maryan Aweys kuwa Waziri wa FORODHA NA USAFIRI WA BAHARINI
.
Ndugu Mariamo Aweso Njama Msami(maryan aweys jama) asili yake ni watanzania kabila Wazigua ambaye ni wahanga wa bishara ya utumwa kwenye karne ya 18 walio pelekewa na SAID BARKHASH(waarabu) huko somalia.