Rais wa kwanza wa Tanzania mwenye asili ya Zanzibar ni Samia Suluhu Hassan

FaizaFoxy

Platinum Member
Apr 13, 2011
94,999
113,149
Mzee Ali Hasssan Mwinyi hakuwa na asili ya Zanzibar, si kwa mama wala kwa baba. Kwao ni Mkuranga na alipelekwa Unguja kusoma tu.

Mama Samia Suluhu Hassan ana asili ya kuzaliwa Zanzibar na wazazi wake wote kuzaliwa Zanzibar.

Ma shaa Allah, ukiisoma historia yake utaona kuwa kila sehemu ya kazi aliyopitia aliifanya kwa uadilifu, uaminifu na weledi mkubwa na kuwa anapanda tu vyeo, mpaka akafikia kuwa Makamu wa Rais na hatimaye sasa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Alitia fora na alionesha umahiri mkubwa alipokuwa Naibu Spika kwenye bunge la Katiba mpya ambalo lilikuwa kivutio kikubwa cha malumbano kwa wakati ule wa Kikwete. Hapo ndipo mama Samia Suluhu Hassan akapata kujulikana.

Naam, hakuna ambae alikuwepo wakati huo na hakumuona umahiri wake. Wengi wakawa wanajiuliza, nani huyu mwanamke?

Leo hakuna asiyemjua Tanzania hii na duniani kuwa ni Rais wa kwanza Mwanamke Mzanzibari anayeiongoza Tanzania kwa umahiri mkubwa sana.

R zake nne anaziishi na hatetereki.

Mwenyezi Mungu amzidishie hekima na weledi atuongoze daima, akiwepo kwenye Uris na atapomaliza muda wake aendelee kutuongoza kwa hekima zake, kama afanyavyo Kikwete hivi sasa.

Mama Samia tunakuomba mapema uchaguzi mkuu utakapokwisha na panapo majaaliwa basi uhakikishe katiba inabadilishwa na Zaznzibar inajitawala yenye ili tusiwe kama mazayuni.

Watanganyika hatuna sababu ya kuitawala Zanzibar bali tuna kila sababu ya Zanzibar kurudisha utawala wake ulioondoshwa na wakoloni wa Kijerumani ili wapate kuiba vozuri mali za ardhi ya Zenjbar kihistoria.
 
Zanzibar siada ni kama dini, ukoo wa Suluhu na CCM kuama chama kwao ni kama kusaliti familia.

Uwajui tu na wala uelewi siasa za Zanzibar, ukoo wa Suluhu unajitambua kama watanzania.

Pengine ndio sababu zilizombemba huyo mama kufika hapo halipo kupitia ukoo wake.
 
Please kama una connection yoyote na bi mkubwa tunaomba utufikishie ujumbe na umwambie, tunamshukuru kwa uongozi wake kwa miaka hii aliyokua madarakani, ila mwakani tunaomba asigombee kwani tunataka mtu seriously ili tuijenge nchi yetu
Bado tunamtaka na tunampenda sana.

Uongozi wake ni wa ubora wa hali ya juu, hana kujimwambafai.

Au ni kwepa kodi wewe?
 
Kwahiyo ndugu Mjumbe, zile Hoja za Tundu Lissu kusema Mzanzibar huyu anauza Rasilimali za Tanganyika Kwa kofia ya Uzanzibari wake Zina Mashiko eeh??
 
Kiufupi Samia atakumbukwa Kwa kutuharibia Tanganyika yetu.Tusiruhusu Tena kurithisha majitu ambayo hayaelewekieleweki.katiba ya kurithisha ibadilishwe.
SGR umepanda?

Umeme wa Steigler unautumia?

Umemaliza sekondari au unasoma shule za mama samia?
 
Mzee Ali Hasssan Mwinyi hakuwa na asili ya Zanzibar, si kwa mama wala kwa baba. Kwao ni Mkuranga na alipelekwa Unguja kusoma tu.

Mama Samia Suluhu Hassa ana asili ya kuzaliwa Zanzibar na wazazi wake wote kuzaliwa Zanzibar.

Ma shaa Allah, ukiisoma historia yake utaona kuwa kila sehemu ya kazi aliyopitia aliifanya kwa uadilifu, uaminifu na welesi mkubwa na kuwa anapanda tu vyeo, mpaka akafikia kuwa Makamo wa Rais na ahatimae sasa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Alitia fora na alionesha umahiri mkubwa alipokuwa naibu Spika kwenye bunge la Katiba mpya ambalo lilikuwa kivutio kikubwa cha malumbano kwa wakati ule wa Kikwete. Hapo ndipo mama Samia Suluhu Hassan akapata kujulikana.

Naam, hakuna amabae alikuwepo wakati huo na hakumuona umahiri wake. Wengi wakawa wanajiuliza, nani huyu mwanamke?

Leo hakuna asiyemjuwa Tanzania hii na duniani kuwa ni Rais wakwanza Mwanamke Mzanzibari anaeiongoza Tanzania kwa umahiri mkubwa sana.

R zake nne anaziishi na hatetereki.

Mwenyezi Mungu amzidishie hekima na weledi atuongoze daima, akiwepo kwenye Uris na atapomaliza muda wake aendelee kutuongoza kwa hekima zake, kama afanyavyo Kikwete hivi sasa.

Mama Samia tunakuomba mapema uchaguzi mkuu utakapokwisha na panapo majaaliwa basi uhakikishe katiba inabadilishwa na Zaznzibar inajitawala yenye ili tusiwe kama mazayuni.

Watanganyika hatuna sababu ya kuitawala Zanzibar bali tuna kila sababu ya Zanzibar kurudisha utawala wake ulioondoshwa na wakoloni wa Kijerumani ili wapate kuiba vozuri mali za ardhi ya Zenjbar kihistoria.
Kumbuka Zanzibar ni koloni letu tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom