Hivi kweli eeh ??? Hata ile sukari ilisemwa imefichwa mbagala tani elf tano ilikua ni kweliiii eeh? ambayo wananchi waliambiwa watagaiwa bure.. Komaaaeni tuone mwisho wa tzNyani Ngabu urais ni taasisi ukimuona rais anatoa maamuzi ujue information zote anazo
Kaaa kimya boss au utafute supportive doc za multiplier effect... zinaongelewa effects na syo unavyodhani.Kwa kiasi gani wafanya biashara wana hiyo "multiplier effect"?
2005-2010 Dr Slaa akiwa HANA RUZUKU kubwa aliongeza wabunge kutoka 11 hadi 24,ongezeko la wabunge 13
2010-2015 RUZUKU ya Milion 206 kwa mwezi,Bilion 2.5 kwa mwaka tukaongeza wabunge 11 tu,pungufu wabunge wawili
Ukichora graph utaona inakuwa negative
Kwa ruzuku hii kubwa,kwa nguvu ile ya Dr Slaa na wenzake kabla hawa wageni hawajaja kutuvuruga ilipaswa tupate at least wabunge wapya 50 + hata kama tusingeshinda Presidency
Mbowe na wenzake wametuchezea sana!
Kwa nn basi wanachama wa CUF nao wasiichague CHADEMA ktk majimbo ambayo CUF hakuwa na wagombea?Sio hoja iliyo mezani hapa ila hoja yako haitokuwa na ukamilifu sababu umesahau Cuf imeongeza idadi ya Wabunge ambao walichaguliwa na wanachama wa Chadema hasa kutokana na umoja wao wa Ukawa...
Sasa hizo jazba na mihemko yatokea wapi? Alipo Mungu hayo majambo hayapo. Amenunataka tuonngozwe na shetani? yes Mungu ndio anatuongoza kupitia Magufuli
mkuu..ungeenda na mifano, source au reference za uhakika post ingekua na rangi za kupendeza kweli kweli.Hivi ni mimi tu au na wengine mpo mnaoona kama vile mambo yashamshinda huyu Magufuli?
Kuna hali fulani hivi naiona ambapo jamaa ni kama anaamka tu kila asubuhi na kutoa maamuzi ya kukurupuka kurupuka.
Yaani yeye ni amri tu....fanya hivi....fukuza huyu....twende kule...nk.
Yapo baadhi ambayo ni mazuri ambapo mtu unaona kabisa hapa nia ni nzuri lakini mengine yana ukakasi kidogo.
Nyani Ngabu ,
..mimi huyu nilishamshtukia tangu zamani.
..nilishaonya hapa JF kwamba Magu haamini ktk demokrasia ya vyama vingi na uhuru wa kutoa mawazo.
..nilishaonya kwamba ana dalili za ukatili. Kwamba akitekeleza sheria anafanya hivyo huku akikomoa.
..tulizungumzia tabia yake ya kutopima madhara ya kauli zake ktk majukwaa.
..tukio la mwisho lilikuwa lile la kuvaa KOMBAT za JWTZ. Binafsi tukio lile confirmed my suspicions kuhusu namna ambavyo atatawala.
..Ni kweli tulihitaji kiongozi who is very ASSERTIVE. lakini tumefanya makosa kutokuchagua wabunge wengi wa upinzani ambao wangeweza kumrudisha ktk mstari pale anapovuka mipaka ya madaraka yake.
NB.
..kuna tatizo ktk process ya kumpata Raisi kuanzia kwenye vyama vyetu vya siasa.
..mchakato ungekuwa wa wazi tungeweza kutambua tabia na mwelekeo wa wagombea Uraisi mapema.
..DEBATES pia zingetusaidia kuchuja wagombea na kupata mtu sahihi.
Kama Kikwete aliweza kutawala Tanzania kwa miaka kumi, narudia tena kama.. aliweza kutawala kwa miaka kumi basi hata umweke ''prof'' Maji Marefu ataweza kutawala.... tena uongeze na mitano juu! Sasa kama Kikwete aliweza sembuse iwe Magufuli! Magufuli is million times better than Kikwete!Hivi ni mimi tu au na wengine mpo mnaoona kama vile mambo yashamshinda huyu Magufuli?
Kuna hali fulani hivi naiona ambapo jamaa ni kama anaamka tu kila asubuhi na kutoa maamuzi ya kukurupuka kurupuka.
Yaani yeye ni amri tu....fanya hivi....fukuza huyu....twende kule...nk.
Yapo baadhi ambayo ni mazuri ambapo mtu unaona kabisa hapa nia ni nzuri lakini mengine yana ukakasi kidogo.
mkuu..ungeenda na mifano, source au reference za uhakika post ingekua na rangi za kupendeza kweli kweli.
Hahaha sitii neno m 7noumerHivi ni mimi tu au na wengine mpo mnaoona kama vile mambo yashamshinda huyu Magufuli?
Kuna hali fulani hivi naiona ambapo jamaa ni kama anaamka tu kila asubuhi na kutoa maamuzi ya kukurupuka kurupuka.
Yaani yeye ni amri tu....fanya hivi....fukuza huyu....twende kule...nk.
Yapo baadhi ambayo ni mazuri ambapo mtu unaona kabisa hapa nia ni nzuri lakini mengine yana ukakasi kidogo.
Ukisema rais fulani ni bora kuliko rais fulani bila kuainisha unaongelea uwanja gani, tayari ushanioesha kwamba huna umakini.Kama Kikwete aliweza kutawala Tanzania kwa miaka kumi, narudia tena kama.. aliweza kutawala kwa miaka kumi basi hata umweke ''prof'' Maji Marefu ataweza kutawala.... tena uongeze na mitano juu! Sasa kama Kikwete aliweza sembuse iwe Magufuli! Magufuli is million times better than Kikwete!