Dhana ya urais ni taasisi inajitokeza pale rais anapoonekana kuwa dhaifu. Ili kumuondolea aibu ndio dhana hiyo inajitokeza. Kama rais ni imara kama sasa dhana hiyo inakuwa haina mashiko maana wasaidizi wake ni washauri tu.Nyani Ngabu urais ni taasisi ukimuona rais anatoa maamuzi ujue information zote anazo
Hiyo siyo ishu; ishu ni kiasi gani hayo maamuzi yataigharim sirikali kifedha na kiutendaji.Mzee hafikirii kama kuna watu wameshawekeza maisha yao Dar sasa hafla anataka wahamie dodoma. Sijui wangapi watawacha kazi na wangapi watakwenda dodoma
Katibu Mkuu ndiyo huyu yupo very dormant..thanks.
..cdm inahitaji katibu mkuu mwenye ambition na mkakati wa kujenga
chama.
..tulikosea kumwachia Dr.Slaa afanye kila kitu na wengine wakabaki kama cheer leaders tu.
..katibu mkuu aunde TIMU ya kukipeleka chama mbele.
..pia cdm isijielekeze kwenye uraisi peke yake. Tupeleke nguvu kwenye serikali za mitaa na ubunge.
Mbavu zangu.. hats hivyo umaarufu umeporomokaSubiri Jingalao na MOTOCHINI waisome post yako utakoga matusi.
Huko kunatakiwa kusifu na kuabudu tu
Ila huyu kazidi jamani; kha!Wengi kina nani?
Mimi nimepiga kelele tangu Enzi za Mkapa.
Rais yeyote aliye madarakani atapigiwa kelele tu. Urais una mengi, na rais hawezi kupatia yote hata siku moja.
Kila siku inayopita kutakuwa cha kukosoa kuhusu serikali. Sasa watu wakimpigia kelele utasemaje kwamba walikuwa kimya wakati wa Kikwete?
Hao wengi kina nani? Unaweza kuwataja majina?
Na kwa nini huangalii hoja zao wanazomkosoa Magufuli tuzichambue kama zina msingi au hazina msingi unaanza kuangalia nani kasema nini?
Inawezekana kuna ukweli kwenye hili la ukimya wa Katibu mkuu..lkn inapasa pia tukumbuke.... wakati Dr..SLAA anafanya Siasa Chadema kulikuwa na Uwanja mpana tofauti na sasa kila siku Magufuli anafoka hataki MTU mwingine yoyote asikike isipokuwa yy tu manake ameigeuza Nchi kama Familia yake..natukumbuke ndio kipindi huyu Katibu Mkuu ameteuliwa sasa kwa style hii hata kama angekuwa Slàa leo hii angeweza kufanya kama zamani? Tukubali zama zimebadilikaKatibu Mkuu ndiyo huyu yupo very dormant
TUFANYEJE?
Sababu kukutana ni haki ya kikatiba angekuwa Dr Slaa angeitisha mikutano zamaniiiInawezekana kuna ukweli kwenye hili la ukimya wa Katibu mkuu..lkn inapasa pia tukumbuke.... wakati Dr..SLAA anafanya Siasa Chadema kulikuwa na Uwanja mpana tofauti na sasa kila siku Magufuli anafoka hataki MTU mwingine yoyote asikike isipokuwa yy tu manake ameigeuza Nchi kama Familia yake..natukumbuke ndio kipindi huyu Katibu Mkuu ameteuliwa sasa kwa style hii hata kama angekuwa Slàa leo hii angeweza kufanya kama zamani? Tukubali zama zimebadilika
Nafoleni tukapanga utadhani nchi nzima ilikuwa kwenye time traveling ya miaka ya baba wa ...Kwa kiasi kilichofanya nchi nzima tukaanza kununua sukari kilo moja kwa zaidi ya shs 3000 nchi nzima badala ya bei elekezi ya 1800/=!
Baba j hapendi mawazo kinzani yeye anajiona correct, ana create situation ambayo ikija kubuma itakua hatari. Na anaweza sema kweli ifungwe mana hulka ya wasiotaka kukosolewa huwa kuwanyamazisha opponents wao.
Mkuu huoni kama unadhihirisha msemo wa Ng'ombe aliekatwa Mkia...mpendazoe....kwamba ili uonekane unafanyakazi zinahesabika idadi ya Kesi ulizonazo Polis na MahakamaniSababu kukutana ni haki ya kikatiba angekuwa Dr Slaa angeitisha mikutano zamaniii
Angekamatwa na kudharirika lkn Mahakamani angeshinda na angepata go ahead ya mikutano kwa kibali cha court
Huyu hana kitu;muoga sana
Katibu Mkuu ndiyo huyu yupo very dormant
TUFANYEJE?
Usipo play your role as citizen, utataka serikali isafishe mpaka Choo chako
tunaisoma kote koteUkipita mitaani watu washachoka na story zake...
biashara haziendi.....mood iliyopo ni kusubiri labda mambo yatanyooka soon...
sasa sijui yasiponyooka itakuaje....
Uko ughaibuni unatudanganya Nyani Ngabu hutupendi?
mlisema Kikwete hatamaliza mda wake wa urais lkn leo ni rais mstaafu tena kastafu kwa Heshima.
hizi kelele zenu tushazizoea. Magufuli anazidi kuchanja mbuga,[/QUOTMbua