Upinzani madhubuti unahitajika regardless kama CCM wataachia madaraka au laSiyo kweli, Ccm hawapo tayari kuachia madaraka hata Wapinzani wakishinda, hilo lipo wazi, wakiachia watakula wapi ilhali madaraka ndiyo shamba lao miaka yote.
Umeniacha hoiHakuna namna kwa mujibu wa katiba,ya kumtoa kabla hajaleta madhara makubwa?
[emoji37] [emoji37] [emoji37] [emoji37] [emoji37] [emoji37] [emoji37] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] shindwaaaaaaa
Unadhani wakioshapewa buku 7 zao wanawaza yote hayo basi? Wao ni kutetea na kumeza kila kinachotamkwa na serikali bila kufanya analysisUkiwa na mtazamo kama huu ni dhahiri unahitaji miaka kama sitini zaidi kufikia ilipo Uganda au miaka 70 kufikia ilipo Kenya na karne kama saba kufikia ilipo Singapore.
Hivi ni kweli kwamba 'DJ' ndiye alikuwa mwenyekiti au mjumbe wa baraza la mawaziri lililopitisha uamuzi wa kujenga nyumba za mawaziri Mikocheni pamoja na headquarters za mawizara yote!?
Je, ni 'dj' aliyesimamia ununuzi wa uniforms hewa na kulipa billion 60, wizi wa makontena na flow meter bandarini!?
Na ni 'dj' aliyeahidi 'kuwalinda' ...(wino wa kuandika umeniishia)
ktk maisha kuna uzuri na ubaya ila kazidi kidogoHivi ni mimi tu au na wengine mpo mnaoona kama vile mambo yashamshinda huyu Magufuli?
Kuna hali fulani hivi naiona ambapo jamaa ni kama anaamka tu kila asubuhi na kutoa maamuzi ya kukurupuka kurupuka.
Yaani yeye ni amri tu....fanya hivi....fukuza huyu....twende kule...nk.
Yapo baadhi ambayo ni mazuri ambapo mtu unaona kabisa hapa nia ni nzuri lakini kuna mengine yenye ukakasi sana hadi kunifanya nianze kuhoji hekima na busara za huyo bwana!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Nilishaonya tangu Mwaka jana.Misingi ya Urais sio kusakata rhumba au push ups majukwaani
utamtoaje sasa kwa mfanoHakuna namna kwa mujibu wa katiba,ya kumtoa kabla hajaleta madhara makubwa?
Ni mbuga ipi anayo ichanja?mlisema Kikwete hatamaliza mda wake wa urais lkn leo ni rais mstaafu tena kastafu kwa Heshima.
hizi kelele zenu tushazizoea. Magufuli anazidi kuchanja mbuga,
Mkuu sasa hivi wananchi hatujui kesho ataropoka nini, sasa nimeelewa ni kwa nini mzee kitwanga na mama Kilango malecela wapo kimya
Tizama kauli zako.unataka tuonngozwe na shetani? yes Mungu ndio anatuongoza kupitia Magufuli
Hujui ulisemaloRais ni Magufuli na ataendelea kuwa magufuli. huko anakopita ni shangwe na vigelegele. wananchi wanatamani aseme neno roho zao zifrahi. huku mko busy kutunga ngonjera na hadithi zisizo na vichwa wala miguu......
Sukari vp mumesahau?Bado siku aijaisha..anaweza kufukuza mtu..yaani hana dira ni shida tupu..yaani porojo za viwanda zimeisha..imekuja porojo mpya ya tunakwenda dodoma..
wewe ndio unalijuaHujui ulisemalo
Malafyale ,wewe hujui hata unachokisema waliofanya mkutano Tunduma jana mbona hawajazuiliwa,Tatizo unaongea bila kujitathimini,Rais ni mbunge wa Tanzania nzima,na kila mbunge anatakiwa kuhudumia watu wake..wewe Malafyale huwezi kutoka eneo lako la mbeya kufanya mikutano mwanza,utakuwa huwatendei watu wako haki.Kaa kituo chako cha kazi Fanya kazi na wananchi waliokuchagua,Tatizo la wabunge walikuwa wamebweteka hawaendi majimboni mwao kazi kula mishahara bila jasho ikikaribia uchaguzi hao...kama mvua,hataree...Kauli zake hizi Dr Rais Magufuli tumuiteje?
Usiogope wewe
Beleshi iitwe Beleshi wala sio Kijiko kikubwa
"Mikutano ya kisiasa hadi 2020"
Lkn yy anafanya mikutano
DIKTETA UCHWARA huyu
Umenena kweli ndugu,tuige.mifano ya wachina,wahindi na wazungu wao huwa wanafanya kazi kwa bidii.mtu anaetaka maendeleo hafikilii hata siku kuangalia mbowe na wenzake wataongea nini.Nimempongeza mbunge mwakanjoka jinsi alivyofanya jana wananchi wanaondoa nyumba zao kupisha barabara kwa hiayari hiyo ndio kazi anatakiwa kusimama mbunge.Uchumi haujengwi kwa majungu ...ukiwa unaipiga CCM majungu wao wanazidi kusonga mbele.Kitu kibaya kabisa ni kuendelea kutazama tu bila kujishughulisha.Hii ndiyo furusa ya kushamiri kwa kutekeleza yale yote uliyokuwa unataka kufanya kipindi cha nyuma kwa ajili ya maendeleo yako, familia yako na Taifa kwa ujumla . Ni kwa awamu hii kama unajambo jema kwa taifa linaloweza kuibua furusa za wananchi kujijengea uwezo wa kujitegemea unaweza kusikilizwa kwa urahisi.
Badala ya kuendelea kunakili tu maelekezo ya rais anayoyatoa, sasa tuyafanyie kazi kwa nia ile ile ya kuhakikisha Tanzania inakuwa ya viwanda na inayojitegemea kiuchumi na kijamii.
Nanyi juzi kwenye mkutano wenu wa kupeana kiti mlimwitaje? Malaika! Mlimtaja mara nyingi na mtaendelea kumtaja mara nyingi kuliko mnavyolitaja jina la Mungu wenu. Wakurupukaji wakubwa ninyi msiokuwa na ubunifu zaidi ya kuvisubiri vichwa vibuni ili ninyi vilasa mliopindukia m-cut na kupaste. Akili ya kasuku nyie.Hivi unaujua ukweli wewe ? mlivokaa mkamsema Lowasa ni Fisadi ule ulikuwa ukweli ama uwongo?
Mkuu nani aliyekupuuza?CHADEMA ingekuwa imara kama zamani huyu easily angeondoka 2020
Lkn kwa upinzani huu wa hovyo hovyo wa kutowasikiliza wanachama na kujiona viongozi kama Mungu watu
Wapinzani wanawatumia wanachama wao kwenye maadamano tu
Kwenye teuzi wanapuuzi kauli za wanachama wa kawaida
Wao na CCM hamna tofauti
Magufuli atashinda 2020 hata kukiwa na TUME HURU
Mark my words