kajifunze kuandika kwanzaShangwe zakununuliza izo nazo niza kujisifia?
Nyani Ngabu urais ni taasisi ukimuona rais anatoa maamuzi ujue information zote anazo
Siyo kweli na siyo mara zote mkuu na acha kujidanganyaNyani Ngabu urais ni taasisi ukimuona rais anatoa maamuzi ujue information zote anazo
!
!
Hehehehehee..... Maono ni ishuu. Jiulize wewe au watu kumi wanaokuzunguka tangu anko afike hapo, ni nini kimekugusa moja kwa moja positively? Mara hikiii mara kileee daaah focus haipo kabisa.
Hawana misimamo inayoeleweka. Kikwete walisema ni dhaifu anachelewa kutoa maamuzi, huyu wanasema anakurupuka. Mambo yale yale ya mwanamama mjamzito, asubuhi anamwambia mumewe leo nataka kula makande. Mchana akiwekewa sahani ya makande anasema sitaki makande nataka ugali na maharage. Anaomba awekewe maji ya kuoga ya uvuguvugu, yakiwekwa bafuni anaanza kulalamika kwanini ya baridi sana.mlisema Kikwete hatamaliza mda wake wa urais lkn leo ni rais mstaafu tena kastafu kwa Heshima.
hizi kelele zenu tushazizoea. Magufuli anazidi kuchanja mbuga,
Hilo unalolitaka liwe haliwezi kufanikiwa kutokea. Itabidi muwe wavumilivu, zile mentalities za wakati wa JK bado zipo vichwani mwenu.Bunge linaweza mfukuza kazi Rais
Lkn Bunge hili la TZ ambalo Rais anaogopwa hata kuhojiwa kwa kauli zake za hovyo kama hizi?
Huyu wa sasa anaharibu sana na Mahakama ya kiharifu the Hague naona inamuitaHilo unalolitaka liwe haliwezi kufanikiwa kutokea. Itabidi muwe wavumilivu, zile mentalities za wakati wa JK bado zipo vichwani mwenu.
Upinzani bado sio imara japokuwa idadi yao ya wabunge imeongezeka sana baada ya uchaguzi wa mwaka jana. Kama DJ anasema wazo la kuhamia Dodoma ni la kukurupuka wakati ni wazo la tangu miaka ya 70, basi ujue upinzani ni dhaifu. Wakati Mwalimu Nyerere anatoa maagizo ya kuhamia Dodoma, DJ alikuwa mtoto wa shule ya msingi, leo hii anasema ni wazo la kukurupuka, na huyu ni mtu very influential kwenye upinzani, lakini upeo wake wa kujadili mambo muhimu ya kitaifa ndio kama huu. Upinzani bado haujawa na ushawishi wa ziada kwenye jamii, na hawajifunzi. Wanaishi kwa kudhani kwamba mtu wa kawaida kabisa hana hekima wala busara za kuweza kupima mienendo ya viongozi wa upinzani.CHADEMA ingekuwa imara kama zamani huyu easily angeondoka 2020
Lkn kwa upinzani huu wa hovyo hovyo wa kutowasikiliza wanachama na kujiona viongozi kama Mungu watu
Wapinzani wanawatumia wanachama wao kwenye maadamano tu
Kwenye teuzi wanapuuzi kauli za wanachama wa kawaida
Wao na CCM hamna tofauti
Magufuli atashinda 2020 hata kukiwa na TUME HURU
Mark my words
Pole sana. Maumivu ya mioyo yatawasumbua sana katika awamu hii. Hakuna tena breathing space mliyoizoea wakati wa JK. Mzee wa Msoga alikuwa anawasikiliza halafu anatabasamu bila ya kumjibu mtu. Huyu Ngosha hana hulka hiyo, kazi mnayo.Huyu wa sasa anaharibu sana na Mahakama ya kiharifu the Hague naona inamuita
Haiwezekani yy na akina Kigwangallah wawe wanafanya mikutano kama kawaisa lkn wapinzani wanazuiawa
Utawala wa aina yake ulikuwepo Afrika miaka ya 70-90!Dunia ya sasa ya wastaarab haina nafasi ya mabavuPole sana. Maumivu ya mioyo yatawasumbua sana katika awamu hii. Hakuna tena breathing space mliyoizoea wakati wa JK. Mzee wa Msoga alikuwa anawasikiliza halafu anatabasamu bila ya kumjibu mtu. Huyu Ngosha hana hulka hiyo, kazi mnayo.
na ndicho rais anafanya, hizi kelele ni za mda hawakuzoea. acha rais wetu kipenzi chetu afanye kazi,,Hawana misimamo inayoeleweka. Kikwete walisema ni dhaifu anachelewa kutoa maamuzi, huyu wanasema anakurupuka. Mambo yale yale ya mwanamama mjamzito, asubuhi anamwambia mumewe leo nataka kula makande. Mchana akiwekewa sahani ya makande anasema sitaki makande nataka ugali na maharage. Anaomba awekewe maji ya kuoga ya uvuguvugu, yakiwekwa bafuni anaanza kulalamika kwanini ya baridi sana.
Cha muhimu ni rais kusimamia katika kile anachokiamini.
Unapigana na rushwa na ufisadi wakati hospitali hazina madawa na hakuna fedha za miradi ya maendeleo zinazopelekwa vijijini au unaishi kwenye jiji na unatibiwa private? Juzi MSD wamegoma kutoa dawa mpaka serikali iwalipe maana wamepoteza uwezo wa kuagiza dawa wizara ya kilimo inadaiwa fedha za pembejeo za ruzuku kwa miaka 2 sasa na hakuna dalili ya kulipa Tanroads inadaiwa more than 2 trilion hizo hela zilizookolewa zipo wapi? Na kama anapambana na ufisadi si awaache wapinzani wafanye mikutano na wananchi wawakatae huko field hofu ya nini kama anakubalika... kwa taarifa yako huku vijijini hali ni mbaya na kibaya zaidi wanatakiwa kuanza kulipa property tax yaani hata kajumba mbavu za mbwa kanalipiwa na kupewa hati mashamba ya mazao ya biashara yote yanasajiliwa na kupimwa kwa kulipiwa...jiulize tunazo taasisi za fedha zitakazoweza kuwapa wananchi wote mikopo? Subiri tar 1 September ndipo utakapojua kama wananchi wamewachoka wapinzani au laHata hivyo CDM haiwezi tena kuwa tishio kwa CCM...
Naona wakiambulia 20 percent...
Maana piga ua hakuna kitu ambacho watanzania kilikuwa kinatuumiza kama rushwa na ufisadi...
Sasa CDM wana uwezo au nia ya kupambana na rushwa au ufisadi???!!!
Bora JPM aangalii usoni...anania (at least) ya kupambana na rushwa hadi kwenye chama chake...
Huko CDM kuna uwazi wa matumizi ya pesa na demokrasia?!
si unajua maumivu ya kichwa huanza taratibuuu,mwisho hukolea. nawashauri wanywe panadol wajipange upya.Pole sana. Maumivu ya mioyo yatawasumbua sana katika awamu hii. Hakuna tena breathing space mliyoizoea wakati wa JK. Mzee wa Msoga alikuwa anawasikiliza halafu anatabasamu bila ya kumjibu mtu. Huyu Ngosha hana hulka hiyo, kazi mnayo.
Umwinyi na kujifanya wastaarabu kupita kiasi ndio matatizo yenu mawili yanayowasumbua. This time you better get used to JPM, hakuna namna nyingine ambayo uzembe na siasa nyingi za midomoni, vitakuwa ni vitu vya kuvumiliwa.Utawala wa aina yake ulikuwepo Afrika miaka ya 70-90!Dunia ya sasa ya wastaarab haina nafasi ya mabavu
Abadili kwanza KATIBAUmwinyi na kujifanya wastaarabu kupita kiasi ndio matatizo yenu mawili yanayowasumbua. This time you better get used to JPM, hakuna namna nyingine ambayo uzembe na siasa nyingi za midomoni, vitakuwa ni vitu vya kuvumiliwa.
Nyinyi andamaneni kama mlivyopanga. Hilo suala la kijana wako kwenye sheria kama anaweza kushinda au hawezi, tutalijua baada ya kichapo kizito kuwa kimeshatembezwa. Ni suala la muda tu, tarehe moja mwezi wa tisa sio mbali kutoka leo hii.Abadili kwanza KATIBA
Hata kijana wangu kwenye sheria anashinda kesi hizo za Sept 1
Hamna sheria hata moja inayozuia vyama vya siasa kufanya shughuli zao hapa TZ
Taarifa zote angekuwa nazo basi kusingekuwepo na kuteua watu leo halafu kesho uteuzi unatenguliwa.
Ukiwa na mtazamo kama huu ni dhahiri unahitaji miaka kama sitini zaidi kufikia ilipo Uganda au miaka 70 kufikia ilipo Kenya na karne kama saba kufikia ilipo Singapore.Upinzani bado sio imara japokuwa idadi yao ya wabunge imeongezeka sana baada ya uchaguzi wa mwaka jana. Kama DJ anasema wazo la kuhamia Dodoma ni la kukurupuka wakati ni wazo la tangu miaka ya 70, basi ujue upinzani ni dhaifu. Wakati Mwalimu Nyerere anatoa maagizo ya kuhamia Dodoma, DJ alikuwa mtoto wa shule ya msingi, leo hii anasema ni wazo la kukurupuka, na huyu ni mtu very influential kwenye upinzani, lakini upeo wake wa kujadili mambo muhimu ya kitaifa ndio kama huu. Upinzani bado haujawa na ushawishi wa ziada kwenye jamii, na hawajifunzi. Wanaishi kwa kudhani kwamba mtu wa kawaida kabisa hana hekima wala busara za kuweza kupima mienendo ya viongozi wa upinzani.