Unafikiri kwa sababu sikubaliani na wewe ndio nasubiria cheo, huo ndio ujinga wenu ambao mnaaminishwa na hao viongozi wenuHongera kwa kuhitimu. Unategemea cheo gani kutoka kwa dikteta uchwara?
Acha uongo lowassa hajawai kukimbia mdaharoMbona lowassa alikimbia mdaharo
aiseeRais ni Magufuli na ataendelea kuwa magufuli. huko anakopita ni shangwe na vigelegele. wananchi wanatamani aseme neno roho zao zifrahi. huku mko busy kutunga ngonjera na hadithi zisizo na vichwa wala miguu......
Unafikiri kwa sababu sikubaliani na wewe ndio nasubiria cheo, huo ndio ujinga wenu ambao mnaaminishwa na hao wanaotaka kuwashikisha UKUTA
Ngosha haoni matuta yeye anayavaa tu..Gari inayumba lakini bado mbishi anakomaa tufike kwa speed 320.759ccm jk kaiua hilo halikwepeki ngosha nae spidi mia ishirini shimoni
Rais ataliwahi Bunge kulivunja na WOTE WATARUDI kwenye uchaguzi MkuuUsisahau pia kuwa Rais ana uwezo wa kulivunja bunge. Hii ndio sheria yetu. Inaonekana hapo atakayemuwahi mwenzie ndiye atakayefanikiwa.
Anayapeleka mambo kibabeHivi ni mimi tu au na wengine mpo mnaoona kama vile mambo yashamshinda huyu Magufuli?
Kuna hali fulani hivi naiona ambapo jamaa ni kama anaamka tu kila asubuhi na kutoa maamuzi ya kukurupuka kurupuka.
Yaani yeye ni amri tu....fanya hivi....fukuza huyu....twende kule...nk.
Yapo baadhi ambayo ni mazuri ambapo mtu unaona kabisa hapa nia ni nzuri lakini mengine yana ukakasi kidogo.
Si ndio hapo maana hata Magufuli alizungusha mikono, sijui alikuwa anamaanisha nini?Ila ? misingi ya Urais ni kuzungusha mikono si ndio ...
Imani ni kitu muhimu sana hasa kipindi hiki!Ukipita mitaani watu washachoka na story zake...
biashara haziendi.....mood iliyopo ni kusubiri labda mambo yatanyooka soon...
sasa sijui yasiponyooka itakuaje....
Kukua kwa chama ni idadi ya wabungeKukua ni kuimarika pia. Chadema ime undergo certain growth in terms of population, votes and constituencies. Meli imeelea na kusonga mbele katika mawimbi mazito. mashambulizi ni mengi hasa kutoka Kwa watu ambao hawaamini katika demokrasia bayana. kani makabala has beeen too strong everywhere. Kilichobaki si mikakati pekee bali ni uelewa wa watu wote kuhusu demokrasia ya kweli. Pale tutakapoelewa wote na kukubali kuwa tanzania ni ya vyama vingi and any party ca lead basi kila kitu kitakuwa sawa.
Wanaopinga Chadema hawakosi la kusema hata kabla ua ujio wa hao wanaotajwa mafisadi Slaa aliwahi kupewa kila aina ya kashfa Mbowe hivohivo. Si mwanachama wa CDM lakini sipendi chama kimoja kudominate maisha ya watu na siasa za nchi katu!
umenivunja mbavu mkuuLabda tumuombe Mungu amchukue malaika wake mapema maana huku tumezoea kuishi mashetani peke yetu

Na kwanza tuliosema huyu ni One term president inawezekana hata asikamilishe One Term
Ofcourse sio lazima akae madarakani miaka 5.
heshima kwako ni ipi? mlisema hatamaliza mda wake akamaliza tena na kuwaadhibu na dubwasha lenu.
ata ww katka familia yako huwez walidhisha wote, wapo watakao hoji baadh ya maamuz yako kwa kukashfu au kupongeza. najua n kipind cha mpito wa uongozaj ila utafaham mantik, ila kumbuka uongoz wa "mchakato na bado tunayafanyia kaz " ndo umetufikisha hapa. kiongoz bora n yule anayefanya maamuz magumu katika kipind kigum akijua wapo walio wengi watanufaika na walio wachache wataathirika na uamuz huo.Hivi ni mimi tu au na wengine mpo mnaoona kama vile mambo yashamshinda huyu Magufuli?
Kuna hali fulani hivi naiona ambapo jamaa ni kama anaamka tu kila asubuhi na kutoa maamuzi ya kukurupuka kurupuka.
Yaani yeye ni amri tu....fanya hivi....fukuza huyu....twende kule...nk.
Yapo baadhi ambayo ni mazuri ambapo mtu unaona kabisa hapa nia ni nzuri lakini kuna mengine yenye ukakasi sana hadi kunifanya nianze kuhoji hekima na busara za huyo bwana!
Ndoto yako na wenzako inaweza kukamilika endapo nchi za magharibi zitakubali kuunga mkono. Wananchi wengi bado wapo nyuma kifikra na maamuzi.Na kwanza tuliosema huyu ni One term president inawezekana hata asikamilishe One Term
Ofcourse sio lazima akae madarakani miaka 5.
Hizi akili peleka kwenye mipasho yenu huko,hapa zinahitajika Akili zinazojuwa kufikiri nje ya Box. Huwezi,na hutakaa uweze kuwaelewa hawa GTs wa JF, sio size ya nyie mnaookota mbilimbi kwa ajili ya chakula!Rais ni Magufuli na ataendelea kuwa magufuli. huko anakopita ni shangwe na vigelegele. wananchi wanatamani aseme neno roho zao zifrahi. huku mko busy kutunga ngonjera na hadithi zisizo na vichwa wala miguu......