dottoz
JF-Expert Member
- Jan 29, 2012
- 1,510
- 868
Kwanza hapo mwisho ndo umeaharibu kabsaa,,inaonyesha jinsi gani usvyo na akili timamu.Maendeleo gani? Unajua km Magufuli alifuta ajira za walimu wa arts, NIDA, Za madakitari, hakuna nyongeza ya mshahara, na hakuna fao la kujitoa?
Unajua kabla ya kuanza biashara unatakiwa ulipe kodi ya mwaka mzima. Je, kodi inalipwa kutoka kweny mtaji au faida?
Unajua ktk hii sheria ya kuwalipisha blogger kuna wengine ndiyo ajira zao?
N.B
Hiyo serikali yako ndiyo chanzo cha unemployment rate kuwa kubwa. Umefuta ajira za walimu arts unategemea wafanye kazi gani km ulikuwa una mpango wa watz wafanye kazi? Mm huwa sikubaliani na raisi kbsa. Watu wafanye kazi huku ulifuta ajira za wakimu arts. Huu ni ujinga kbsa nyie kuchapa kazi mnataka vijana wote wawe wapiga debe, wauza chips, mama ntilie n.k