Rais Magufuli: Watanzania kuamini kila kitu cha kwenye mtandao ni kutokana na sisi kutoi-control mitandao

Maendeleo gani? Unajua km Magufuli alifuta ajira za walimu wa arts, NIDA, Za madakitari, hakuna nyongeza ya mshahara, na hakuna fao la kujitoa?
Unajua kabla ya kuanza biashara unatakiwa ulipe kodi ya mwaka mzima. Je, kodi inalipwa kutoka kweny mtaji au faida?
Unajua ktk hii sheria ya kuwalipisha blogger kuna wengine ndiyo ajira zao?
N.B
Hiyo serikali yako ndiyo chanzo cha unemployment rate kuwa kubwa. Umefuta ajira za walimu arts unategemea wafanye kazi gani km ulikuwa una mpango wa watz wafanye kazi? Mm huwa sikubaliani na raisi kbsa. Watu wafanye kazi huku ulifuta ajira za wakimu arts. Huu ni ujinga kbsa nyie kuchapa kazi mnataka vijana wote wawe wapiga debe, wauza chips, mama ntilie n.k
Kwanza hapo mwisho ndo umeaharibu kabsaa,,inaonyesha jinsi gani usvyo na akili timamu.
 
Faida
Huoni kama kutakuwa na faida ya kuicontrol mitandao ya kijamii??
faida hamna zaidi serikali itapata hasara zaidi itakosa information nyingi sana hata hivyo itaongeza ujinga badala ya kuupunguza
 
Ww kwa akili yako ilivyo mbovu unafikiri mitandao ndiyo inafanya kazi? Unaishi mwaka 2018 lkn akili yako ni ya mwaka 1823. Kwan kipindi kile hakuna internet watu walikuwa wana maendeleo? Mbona ulaya wana tumia mitandao ya kijamii kila siku lkn wana maendeleo. Tatizo hamtaki mitandao ya kijamii ili muibe unafikiri bila mitandao hii ningejua km fisadi kaiba trilion 1.5? Kwan watz wanakula ugali wa raisi wako mpaka mitandao izimwe?
 
Hii ni hoja ya kejeli inayoongozwa na siasa za kipuuzi. Unadhani watu ni wajinga hawajui kutofautisha mambo mpaka Zito, Lissu nk wawaambie? Umeongea kama mtu unayejua mambo kumbe ni mpuuzi fulani unayetegemea ajira na ukiikosa hata kwa miezi sita tu watu wanatembea na mkeo na watoto wako wa kike ili uweze kuishi. Nyie ni wale wapuuzi mnaojifanya wasomi wa kuongea kiswahili na kuchanganya ni maneno ya kiingereza ili kuwakoga ma limbukeni kama anavyofanya mkulu.

Huku kwenye mitandao watu wanaongea kwa uhuru na hakuna lugha za kujipendekeza ili watoto waende choo. Kama huna uwezo wa kuchambua yasemwayo mitandaoni hilo ni tatizo la ushamba wako.

Na haya maandamano anayo hamasisha Mange si ni ya mtandaoni au? Yeye mwenyewe haji kuandamana ila anakushawishi wewe na wapuuzi wengine muandamane huku yeye akiwacheki na kuwacheka mnavyokamatwa na mapolisi through Instagram.
 
Matumizi stahiki ni kama haya kuwatambua mijizi
Kwani wanaposema social media wewe unaelewa nini?
Trump ana tweet kila siku yahusuyo serikali yake sasa cha ajabu nini Waafrica kufanya haya
Trillion zinawatoa ufahamu kutetea majizi
Mitandao si swala geni linakwenda sambasamba ulimwenguni kote acheni kuwabeza WaTz

Hii mitandao kwani inamkera sana huyu jamaa kuliko kutokutuambia ziko wapi fedha zetu?
 
Ww utakuwa ni muuza uchi unataka kunilazimisha kuniuzia kinguvu. Kama mabasha wamekuchoka huko mtaani kwenu pls mm sinunui hiyo njia ya tope chafu hapo uani. Kaa mbali na mm ww shoga wa Lindi.
 
Ww utakuwa ni muuza uchi unataka kunilazimisha kuniuzia kinguvu. Kama mabasha wamekuchoka huko mtaani kwenu pls mm sinunui hiyo njia ya tope chafu hapo uani. Kaa mbali na mm ww shoga wa Lindi.
Acha ujinga wewe kafiran*** na mama yako mzazi,na bibi yako,shangazi yako na dada yako,na kaka zako,wadogo zako.
Na pia baba yako anafirw*****
 
Acha ujinga wewe kafiran*** na mama yako mzazi,na bibi yako,shangazi yako na dada yako,na kaka zako,wadogo zako.
Na pia baba yako anafirw*****

Sasa akili itakukaa vizuri, nimekuwekea kidole kidogo tu umejaa upepo ile mbaya. Angalia utakula ban ww peasant, umekuja mjini ukubwani usijichanganye na mm nitakutoa nishai dingi.
 
Sasa akili itakukaa vizuri, nimekuwekea kidole kidogo tu umejaa upepo ile mbaya. Angalia utakula ban ww peasant, umekuja mjini ukubwani usijichanganye na mm nitakutoa nishai dingi.
Siwez pata ban mimi,,
Kwanza na matusi yenyewe nimeyaweka kiustadi kabisaa sijayaweka wazi kwahyo kosa hapo halipo nakuhakikishia hilo siwezi pata ban hata kidogo.
 
Ww utakuwa ni muuza uchi unataka kunilazimisha kuniuzia kinguvu. Kama mabasha wamekuchoka huko mtaani kwenu pls mm sinunui hiyo njia ya tope chafu hapo uani. Kaa mbali na mm ww shoga wa Lindi.

Ah kumbe na Lindi kuna mashoga? Unatoka sehemu gani huko?
 
Kwa nini umetolea mfano wa marehemu na sio mfano wa hili lililopo mbele yetu
Hii ni pesa ingemtiba baba yako bibi yako mke wako watoto wako tungeweza kuwa na shule bora (zifundishe hiyo elimu uliyotaja)Tunapozungumzia upotevu wa pesa ya Mtz maskini mkulima mvuja jasho wakati wengine wanazifuja kwa kujenga nyumba za kifahari Mwanza Chattle na kwingineko wakati vijijini watu wanateseka please msije hapa kuwabeza WaTz eti hawajui matumizi ya mitandao.
Trump ni mfano tu nimekupa sasa wewe utakuwa unajua social media kuliko mzungu mwenyewe aliyeileta
Wewe kazana kusoma Uhuru na Mzalendo tupishe sisi na social media zetu
Mnawaziba watu midomo kwa maovu yenu
Hii dhambi mtailipa even 50 years down the road kama hutailipa wewe atalipa mwanao au mjukuu wako au kitu kuu chako

umempa za uso,hihii
 
Watanzania wenzangu,

Kwenye ripoti yake, CAG hajasema popote kuwa TZS 1.5trn zimeibiwa. Alichosema leo Ikulu ndio msimamo wake uliopo kwenye Taarifa yake ukurasa wa 34. Fedha hizo HAZIONEKANI kwenye matumizi ya Serikali ya mwaka 2016/17.

Ndio maana tunahoji zipo wapi. Tunataka Ukaguzi Maalumu ili kuhakiki majibu ya Serikali na kujua hela zetu zipo wapi. Hilo tu, hakuna lingine.

Vitisho vya hatua za kisheria ni tambo tu za watawala, hazina maana yeyote. Kumsimamisha CAG Ikulu na kumhoji mbele ya Wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama ni kumtisha CAG, ni kinyume na misingi ya Katiba yetu. Ripoti ya CAG ikishakuwa mbele ya Bunge sio Ripoti ya Executive tena. Ni mali ya Bunge. Kama Rais ana majibu aende akayaseme Bungeni mbele ya PAC.

Rais sio wa kumchekea chekea anapovunja misingi ya nchi yetu. Ni lazima ADHIBITIWE na Taasisi za Kikatiba ikiwemo Bunge. Rais leo amekosea. CAG naye amekosea kwenda Ikulu.

Watanzania sikilizeni, mimi nimekuwa Mwenyekiti wa PAC/POAC miaka 8, ninajua kusoma, kuchambua na kutafsiri Taarifa ya CAG. TZS 1.5trn hazina maelezo, hazipo Benki Kuu na Maelezo ya Naibu Waziri Fedha leo ni kujikosha tu.

Nikiwa Mwenyekiti wa PAC, Mwaka 2013 Waziri wa Ujenzi John Pombe Magufuli alikutwa na Hoja ya ukaguzi ya TZS 252 bilioni ya ujenzi wa barabara hewa ambayo mpaka sasa haijajibiwa na utaikuta kwenye Hoja za CAG za mwaka 2016/17. Hivyo ni Kawaida yake kutoheshimu sheria za Fedha na kutojibu Hoja za Ukaguzi.

Kama Serikali ina uhakika kabisa hii hoja ya TZS 1.5trn haipo inipeleke mahakamani hata leo. Nitawashinda hata Jaji akiwa mmoja wa majaji wapya walioapishwa leo.

Mimi siogopi. Nitasema UKWELI daima fitina kwangu mwiko.

Zipo wapi TZS 1.5trn?

Cite the authority. Haya maneno siyo YAKO.
Ahaaa haaa haaa
CC: crocodile
 
Ww kwa akili yako ilivyo mbovu unafikiri mitandao ndiyo inafanya kazi? Unaishi mwaka 2018 lkn akili yako ni ya mwaka 1823. Kwan kipindi kile hakuna internet watu walikuwa wana maendeleo? Mbona ulaya wana tumia mitandao ya kijamii kila siku lkn wana maendeleo. Tatizo hamtaki mitandao ya kijamii ili muibe unafikiri bila mitandao hii ningejua km fisadi kaiba trilion 1.5? Kwan watz wanakula ugali wa raisi wako mpaka mitandao izimwe?

Hiyo 1.5trio iko kwenye report ya cag au kwenye mitandao ya kijamii?
Msipende kupotosha CAG ndiye aliyefanya KAZI yote ile. Na si Insta.
Ahaaa haaa haaa
 
Hakuna uongo kuhusu udikteta wake, ukwapuzi wa nyumba za Serikali, ukwapuzi wa bilioni 16 za wahanga wa tetemeko, ununuzi wa kivuko uozo, kuchota trillions hazina bila idhini ya Bunge, ubaguzi wake wa kutisha etc.
Aisee lumumba lazima wakudunge vyuma vya ncha kali. Kiongozi wa malaika una mtuhumu hadharani hivi hivi
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom