Anza kutumia jina lako kuanzia sasaKutokana na kuzidi kwa umbea na porojo za hapa na pale kwa viongozi wetu wakubwa na TAASISI KUBWA YA RAIS naunga hoja ya mitandao ya kijamii kusitishwa kwa kila mida ya Asubuhi mpaka jioni.
Na watu wafanye kazi kuliko kushinda mitandaoni facebook,whatsapp,jamiiforums. N.k
Na pia jamiiforums members wake woteee kutumia majina yao halisi na sio fake id.
Nakaa siti ya mbele kabisaa kusaidia juhudi hizi endapo litafanikiwa na kupitishwa.
Hayo ni maoni yangu tu mkuuLUMUMBA street
Buku 7 kwa siku
Mambo ni
mtu kama wewe unatakiwa kufutwa hata huju jf, kama unaomba ifungiwe unafanya nini humu sasa, huo ujumbe wako kwamba ifungiwe ungeutoa kupitia nini kama jf isingekuwepo? kolomije weeeKutokana na kuzidi kwa umbea na porojo za hapa na pale kwa viongozi wetu wakubwa na TAASISI KUBWA YA RAIS naunga hoja ya mitandao ya kijamii kusitishwa kwa kila mida ya Asubuhi mpaka jioni.
Na watu wafanye kazi kuliko kushinda mitandaoni facebook,whatsapp,jamiiforums. N.k
Na pia jamiiforums members wake woteee kutumia majina yao halisi na sio fake id.
Nakaa siti ya mbele kabisaa kusaidia juhudi hizi endapo litafanikiwa na kupitishwa.
Ukiona watu wengi wanashinda mitandaoni ujue hawana kazi. Mitandao ifungwe kwan huyo mwenyekiti wako anatoa hela ya chakula kwa wananchi wake?Kutokana na kuzidi kwa umbea na porojo za hapa na pale kwa viongozi wetu wakubwa na TAASISI KUBWA YA RAIS naunga hoja ya mitandao ya kijamii kusitishwa kwa kila mida ya Asubuhi mpaka jioni.
Na watu wafanye kazi kuliko kushinda mitandaoni facebook,whatsapp,jamiiforums. N.k
Na pia jamiiforums members wake woteee kutumia majina yao halisi na sio fake id.
Nakaa siti ya mbele kabisaa kusaidia juhudi hizi endapo litafanikiwa na kupitishwa.
Wengi wanaoshnda kwenye mitandao ya jamiiforums ni full umbea tu wachache sanaaa wanaofanya kwa maendeleo na isitoshe si hata jioni waweza ingia kwenye mitandao ya kijamii itakapofunguliwa.Wewe ni tahaila isipokuwa una smartphone
Ni ujinga na upunguani eti kuamini watu wanaoshinda mitandaoni hawana shughuli za kufanya, haya ni mawazo ya watu wa jamii maskini.
Na wewe pia una uhuru wa kukubali maoni haya kwa maendeleo ya Taifa letu na Rais wetu mpendwa Dr. John Joseph pombe magufuli.Ni mawazo yako pia, sababu una Uhuru wa kuongea we ongea tuu
Na hao wanaoishi na kukipa kodi za serikali kwa kutegemea mitandao ya kijamii wakale wapi ndg?Kutokana na kuzidi kwa umbea na porojo za hapa na pale kwa viongozi wetu wakubwa na TAASISI KUBWA YA RAIS naunga hoja ya mitandao ya kijamii kusitishwa kwa kila mida ya Asubuhi mpaka jioni.
Na watu wafanye kazi kuliko kushinda mitandaoni facebook,whatsapp,jamiiforums. N.k
Na pia jamiiforums members wake woteee kutumia majina yao halisi na sio fake id.
Nakaa siti ya mbele kabisaa kusaidia juhudi hizi endapo litafanikiwa na kupitishwa.
Sasa mkuu kwani itafungwa siku nzma ni kwa masaa kadhaa tu ..Na hao wanaoishi na kukipa kodi za serikali kwa kutegemea mitandao ya kijamii wakale wapi ndg?
Acha kutuletea thread ambazo hazina kichwa wala miguu. Kwan wanajf wanakula kwa magufuli? Mtu afanye au asifanye kaz wala haikuhusu ww na Magufuli wako. Angejua km kuna kufanya kazi angefuta ajira za walimu wa arts na NIDA?Hayo ni maoni yangu tu mkuu
Wazime ili iweje? Watanzania wanakula kwa Magufuli mpaka mitandao izimwe?Sasa mkuu kwani itafungwa siku nzma ni kwa masaa kadhaa tu ..
Kama biashara zitafanyika tu wala hakuna tatizo tena matangazo ya biashara mida ya jioni ndo yanatazamwa na watu wengi sababu mida ya jioni wengi wame relax.
Kwahyo ni vizuri mitandao ya kijamii ikazimwa tu mida ya asubuhi.
Suggestion yako ni cross-cutting. Kampuni za simu wanauza muda wa hewani muda wote na wanalipa kodi kwa serikali. Ukisema wazime data kuna mambo yatakwama jumla jumla. Tunategemeana ktk sekta mbalimbali. Ni ngumu hio kutekelezekaSasa mkuu kwani itafungwa siku nzma ni kwa masaa kadhaa tu ..
Kama biashara zitafanyika tu wala hakuna tatizo tena matangazo ya biashara mida ya jioni ndo yanatazamwa na watu wengi sababu mida ya jioni wengi wame relax.
Kwahyo ni vizuri mitandao ya kijamii ikazimwa tu mida ya asubuhi.
Nielekeze njinsi ya Ku downloadNshadownload VPN PROXY
Anamtetea mjomba ake yeye c ndo aliotoa zile 1.5trMijitu mingine bhana
Nenda playstore search VPN zipo nyingiNielekeze njinsi ya Ku download
Mimi siungi mkonoKutokana na kuzidi kwa umbea na porojo za hapa na pale kwa viongozi wetu wakubwa na TAASISI KUBWA YA RAIS naunga hoja ya mitandao ya kijamii kusitishwa kwa kila mida ya Asubuhi mpaka jioni.
Na watu wafanye kazi kuliko kushinda mitandaoni facebook,whatsapp,jamiiforums. N.k
Na pia jamiiforums members wake woteee kutumia majina yao halisi na sio fake id.
Nakaa siti ya mbele kabisaa kusaidia juhudi hizi endapo litafanikiwa na kupitishwa.
Thank youNenda playstore search VPN zipo nyingi