Rais Magufuli: Watanzania kuamini kila kitu cha kwenye mtandao ni kutokana na sisi kutoi-control mitandao

Uongo
Mitandao ni swala geni hapa kwetu na nchi nyingine, laiti kama kungekuwa na elimu kama ilivyo elimu ya hesabu na sayansi mashuleni, watu wangejuwa matimizi stahiki ya mitandao.
 
Mimi sikatai umuhinu wa mitandao ya kijamii, lakini je ni wangapi wanajuwa kupanga na kupanguwa kilicho kwenye hiyo mitandao? hata huyo Trump mwenyewe, mara ngapi anadika vya uwongo na baadhi ya watu wanaamini. Kuna kijana mmarekani alianika mwili wa mjapani aliye jingonga bila kujali madhara ya hizo picha kwa wanadugu wa marehemu, Je kwako wewe huo ndio matumizi stahiki ya mitandao. Hata kama watu wanataka kuibuwa wizi Je aliye andika kama kadanganya na nchi ikavurugika kwenu hili ni jambo jema?
Freedom of expression is an inborn human right.
 
Rais ameelezea tabia ya kuamini mijadala ya mitandaoni kama ugonjwa ambao hafahamu umetoka wapi. Ameeleza kuwa siku moja alikua akisoma mtandaoni kuhusu serikali kuiba Trilioni 1.5 ikabidi ampigie CAG kuuliza kuhusu wizi huo
Raisi wetu anafurahisha.
Kwa hiyo na yeye akiamini pia😀😀😀😀😀.

Sasa sio mitandao tu. Yapo Mengi yanasemwa ya kweli na ya uongo.
Na wanaoongoza kwa kusema ya uongo so wqnajulikana. Sasa mitandao imekosea nini.😀😀😀. Ts just funny.
 
Huyu ndugu yetu hataki uhuru wa watu kupashana habari wala mawazo mbadala na yake. Kazi tunayo.
Tukisema huyu mtu siyo Mtanzania Kibayolojia hawezi kuwa na uchungu kwa Watz Wazalendo. Huwa hatutanii.

Kwanini atenganishe Nchi yetu na Dunia?? Kwanini aiweke Nchi yetu gizani? Nini anataka kufanya gizani asichotaka kijulikane Duniani??
 
Kwa hili lililofanyika la kuzima mitanadao endapo litapita bila kupigiwa kelele tujiandae kwa makubwa zaidi. JPM atanogewa na itakuwa ndio sheria kwake katika kipindi chake chote kilichobakia. BELIEVE ME!!
If he ballot box fails to throw him out of power, should we can what we can't or wait for natural attrition?
 
Back
Top Bottom