Wananchi wa wapi wewe ?
sisi wazanzibar tutaulinda huu muungano kwa nguvu zote
Wewe sie
Wananchi wa wapi wewe ?
sisi wazanzibar tutaulinda huu muungano kwa nguvu zote
Hapo muungano uongeze kipengele kua ni lazima wanawake wa zanzibar waje kukaa bara ndio muungano utakua mzuri
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hiyo ni hiari ya mkaaji..Hapo muungano uongeze kipengele kua ni lazima wanawake wa zanzibar waje kukaa bara ndio muungano utakua mzuri
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mimi ndiyeWewe sie
Utanilipa ?Mkumbushe huyo!
Tanganyika ni babalaoWapo wazanzibari wanyamwezi, lkn sio watanganyika tena, asili tu , na wapo wazanzibari waarabu vile vile,
Hao wazanzibari wanyamwezi huwezi kuwavua utanganyika wao kamwe, uwepo wao ni uthibitisho tosha kuwa huu muungano ni muhimu kwa maslahi ya pande zote mbili yaani bara na visiwani.Wapo wazanzibari wanyamwezi, lkn sio watanganyika tena, asili tu , na wapo wazanzibari waarabu vile vile,
Tanganyika na zazibar ni nchi moja kama katiba inavyosema.Wakoloni walitaka kuzitenganisha.Mungu ubariki muungano wetu,wote wenye nia ovu uwaangamize na wasishinde kiti cha urais milele!
Angetaja kabila la kwako usingeongea hivo,ama kweli Chuki ni kidonda umeionesha pasipostahiliAnatembea, analala, anaongea...kitu pekee kilichoujaza Ubongo wake ni kabila lake la Kisukuma..
Kiongozi wa hovyo kweli huyu yan
Kuongea lugha ya wenyeji sehemu anazotembelea ni kuonesha umoja na hiyo jamii wala siyo jambo baya ni nzuri sana.Huyu takataka sijui kina Kikwete walimwokota wapi aisee.
Kina anapoenda huwa hana la kufanya, anachofanya ni kulazimisha wenyeji wa eneo husika kuwa yeye ni mtu wao ili apate upendeleo.
Akiwa Usukumani anaongea Kisukuma.
Akiwa Kagera anangea Kilugha na Kuwaambia Yeye Ni "Mzilankende Muyango"
Akienda Arusha na Moshi Anadai Mke Wake Ni Wa Huko.
Huwezi Kumsikia Akiongelea Namna Ya Kupunguza Umasikini, Kuongeza Kipato Cha Mtu Mmoja Mmoja au Kuongeza Ajira.
Hata Hizo Ziara Naona Huwa Anaishia Kugombana Na Kutukana Wananchi Majukwaani Tu.
Tushahesabu Hasara Akae Atulie Muda Wake Uishe Afe Kama Wengine. Basi !