Ni vizuri kuchagiza, majibu ya maswali yako yatapatkana tu hata km n wiki ijayo pia sio rahisi kutudanganya, we have asuper watchdog ever, strategic, intelligent, curious & genius, hakipiti kitu kibov.
Kama anaweza kuupumulia mgongoni mkataba wa IPTL na yawezekana ukafutwa, itakuwa kiLUGUMI? Mbona hata wao wanajua wako nae (kihisia ingawa si kiuhalisia) so hawapindishi.
Usimchanganye akajikuta badala ya kujenga uhusiano mzuri akajikuta anahujumiwa,hawa polisi rais anawahitaji sana acha utaratibu wa kawaida ufanye kazi, kutakuwa na muda muafaka wa kuuliza na kupata majibu ya maswali kama haya hasa bungeni na vyombo vya habari