MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,185
- 24,055
- Thread starter
- #121
Tatizo lako huwa huchoki ku-quote comment za wachangiaji lakini unachochangia huwa ni pumba tupu.Zile 46 tayari zimeshapata watu sasa wewe sijui unapigania zile za watendaji wa tarafa?
Nadhani hufahamu kama una fikra finyu kwa sababu kama ungekuwa unafahamu basi ungefanya juhudi za kujielimisha kabla ya kuanza kutoa fikra za kitoto au pumba katika jukwaa la siasa lenye umuhimu sana katika maisha endelevu ya taifa letu.
Jielimishe kwanza!
Ni ushauri tu. Take it or leave it!