Rais Magufuli, vunja vunja Wizara hii katika uchapakazi wako Ikulu

Itakuwa kichekesho, na vile una makalio makubwa mji wote utazizima kwa kicheko, doh tumuombee JPM aibuke kwa lengo moja tu la kuyaona makalio yako jombaa
Jiwe akizinduka natembea uchi siku tatu mfululizo halafu najiua. Kutakuwa hamna haja ya kuendelea kuishi tena.
 
Baada ya ukimya na kutoonekana kwa JPM kama ilivyo kawaida yake, Waziri Mkuu Kasima Majaliwa amewatoa hofu Watanzania, "Rais ni mzima bukheei wa afya na anachapa kazi Ikulu".

Naye Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akasema, "nchi iko salama, tushikamane kuliko wakati wowote."

Kwa kauli hizi ninaamini Mkulu yuko bize Ikulu akipiga kazi kama ilivyo slogan yake "hapa kazi tu".

Kama mwananchi wake namshauri katika hizo kazi anazochapa basi aivunje Wizara ya Afya, Jinsia, Wazee na Watoto. Hii wizara ni kubwa mno.

Napendekeza, kutokana na unyeti wa suala la Afya, Afya ibaki peke yake na Waziri wake. Hayo mengine yabaki kama Wizara ya Jamii.

Popote duniani wizara ya Afya ni sekta nyeti mno. Vita hii ya Covid-19 imethibitisha unyeti wa wizara hii. Ni vigumu yule mama kujigawa kushughulika na afya na hapo hapo ashughulike ni wazee, kina mama na watoto. Tunaweza kuona alivyofeli kuongoza wizara hii lakini kimsingi ni ukubwa na upana wake.

Hizo kazi unazochapa Ikulu, chapa na hili. Ahsante.

Au nasema uongo ndugu zangu!
Mpuuzi wewe wananchi unataka kuwaongezea mzigo? Waziri anafanya kazi peke yake hakuna wakurugenzi wa wizara na staff wengine? kwanza ilitakiwa wizara zisiwe zaidi ya 7
 
Wasameheni wooote maana hakuna ajuae alipo mwana wa adam mpaka saa hii wa nje na wa ndani
 
Baada ya ukimya na kutoonekana kwa JPM kama ilivyo kawaida yake, Waziri Mkuu Kasima Majaliwa amewatoa hofu Watanzania, "Rais ni mzima bukheei wa afya na anachapa kazi Ikulu".

Naye Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akasema, "nchi iko salama, tushikamane kuliko wakati wowote."

Kwa kauli hizi ninaamini Mkulu yuko bize Ikulu akipiga kazi kama ilivyo slogan yake "hapa kazi tu".

Kama mwananchi wake namshauri katika hizo kazi anazochapa basi aivunje Wizara ya Afya, Jinsia, Wazee na Watoto. Hii wizara ni kubwa mno.

Napendekeza, kutokana na unyeti wa suala la Afya, Afya ibaki peke yake na Waziri wake. Hayo mengine yabaki kama Wizara ya Jamii.

Popote duniani wizara ya Afya ni sekta nyeti mno. Vita hii ya Covid-19 imethibitisha unyeti wa wizara hii. Ni vigumu yule mama kujigawa kushughulika na afya na hapo hapo ashughulike ni wazee, kina mama na watoto. Tunaweza kuona alivyofeli kuongoza wizara hii lakini kimsingi ni ukubwa na upana wake.

Hizo kazi unazochapa Ikulu, chapa na hili. Ahsante.

Au nasema uongo ndugu zangu!
Aivunje hiyo Wizara yee akiwa wapi??
Tuanzie hapo kwanza.
 
Wacha yeye avunjwe kwanza.
 
Mmmmm, subiri kidogo! Unataka hayo yafanyike lini? Mimi sipo, subiri wenyewe warudi, watakupa jibu.
 
anashuhulikaje na wazee jinsia na watoto ukiacha afya.wewe mzee wako kashawahi kushuhulika nae??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom