kaka ndivyo atakavyo famya wakati wa kuridi atapanda mdege. overAcha kusifia Ujinga. Kuna msemo unasema " Kama Elimu ni gharama, Jaribu Ujinga"
Kumbuka Usalama ni gharama. Ili uweze kuwa Salama ni lazima uwe stable, reliable and trustworthy. Ni lazima usome Mazingira na nyakati hata kama unawalinzi wa namna gani...,
Unadhani "Commando Mamadou Toure" hakuwa na walinzi pale Beni wakati anauwawa? Uliza aliuliwa na watu gani? Na kifaa gani kilimuua?
Hakuna watu wanafki kama warwanda. Nimekaa Congo na jirani ya maeneo ya Rwanda; I understand these people very well.
Kuna vitu vya kupunguza gharama , na vitu vingine sio vya kupunguza gharama.
Anachofanya Rais ni kutafuta sifa kwa kujifanya baharia ( kurisk maisha) ; kuishi kwa mazoea wakati ulimwengu umebadilika.
Waovu wa sasa wanatafuta headlines na si kitu kingine. Safari kama hizo hapaswi kuzitangaza , ; atangeze zile anazokwenda na ndege.
Mnawapa Magaidi opportunity na hamu ya kuwekeza TANZANIA...,
Ushauri; Afanye kama Rais wa Cameron, yeye huwa anasafiri , mfano ;- kutoka Mwanza hadi dodoma hupanda gari huku akiwa na wanajeshi wakutosha then wakati wa kurudi hupanda ndege; safari zake za gari huwa hazitangazwi
MAGUFULI aache kutafuta sifa mpaka kwenye mambo ya Usalama. Ukibana gharama mpaka kwenye Usalama maana yake nini?
Mkuu nenda kajaribu kujificha kichakani na propela lako kesho uje utupe mrejesho! kama kabla ya kutoka nyumban kwako ushakalishwa chini ya ulinzi
Walinzi ndio washauri wake wa hayo mambo wanaoshauri hivyo kuwa asafirije.Fani za watu hizo achana nazo.
Usafiri hata wa anga kabla ya kusafiri wanausalama lazima wakwambie tumia.Hata angani si salama hujasikia maraisi ndege zao kutunguliwa.
Walinzi wanajua cha kufanya waachie kazi yao.Si watu wa kuchoka hovyo.Walinzi wa RAISI UNAFIKIRI ni sawa na walinzi wa CHADEMA wale wanaovaa miwani ya kuchomea magrill?
CHEKI WALINZI WA CHADEMA NA MIWANI YAO YA KUCHOMEA VYUMA
Wabongo bana ni sheeedah!!!Acha kusifia Ujinga. Kuna msemo unasema " Kama Elimu ni gharama, Jaribu Ujinga"
Kumbuka Usalama ni gharama. Ili uweze kuwa Salama ni lazima uwe stable, reliable and trustworthy. Ni lazima usome Mazingira na nyakati hata kama unawalinzi wa namna gani...,
Unadhani "Commando Mamadou Toure" hakuwa na walinzi pale Beni wakati anauwawa? Uliza aliuliwa na watu gani? Na kifaa gani kilimuua?
Hakuna watu wanafki kama warwanda. Nimekaa Congo na jirani ya maeneo ya Rwanda; I understand these people very well.
Kuna vitu vya kupunguza gharama , na vitu vingine sio vya kupunguza gharama.
Anachofanya Rais ni kutafuta sifa kwa kujifanya baharia ( kurisk maisha) ; kuishi kwa mazoea wakati ulimwengu umebadilika.
Waovu wa sasa wanatafuta headlines na si kitu kingine. Safari kama hizo hapaswi kuzitangaza , ; atangeze zile anazokwenda na ndege.
Mnawapa Magaidi opportunity na hamu ya kuwekeza TANZANIA...,
Ushauri; Afanye kama Rais wa Cameron, yeye huwa anasafiri , mfano ;- kutoka Mwanza hadi dodoma hupanda gari huku akiwa na wanajeshi wakutosha then wakati wa kurudi hupanda ndege; safari zake za gari huwa hazitangazwi
MAGUFULI aache kutafuta sifa mpaka kwenye mambo ya Usalama. Ukibana gharama mpaka kwenye Usalama maana yake nini?
Inaelekea mleta mada ana nia njema japo heading ingefaa iwe...safari ya saa 6 si salama kwa rais kwa kutumia barabara...badala ya kusema anatesa walinziNi hatari kwa umbali huo kusafiri kwa njia ya barabara hasa ukanda huo ambao una matukio ya utekaji wa Mara kwa Mara
Makumbusho wanaume kweli hasa waleeee ......Tena Kwa TAARIFA Yako Presidential Protection TEAM Yake Inafurahi Mno Kutembea Kwa Barabara Na Mkubwa Wao Ili Wamwonyeshe Kuwa SERIKALI Yake Kamwe Haikupoteza Pesa Zake Kuwapekeleka Kusoma au Kufanya Hayo MAFUNZO Yao Ya KIULINZI. Sitaki Niende Deep Kwani Watakuja Humu Wenyewe WABOBEZI Wa Hii Kitu Ila Kwa UPEO Wangu Mdogo au Haba Wa Masuala Ya ULINZI Wa Marais Ni Kwamba KIITIFAKI Kila Kitu Chake HURATIBIWA Mapema Sana Na Kwa UANGALIFU Mkubwa Wa Madhara au Faida Na Ukiona Mpaka Rais Anapita Mahala Fulani Basi Jua WANAMUME Walishajiridhisha KIUSALA Kwa Mapana Yake. Na Usisahau Pia Kuwa Hata Anapokuwa Anasafiri Kwa Barabara AMINI USIAMINI Humo Njiani Kote Hasa Yale Maeneo HATARISHI ( Kijajusi Huita POTENTIAL TARGETS ) Zote WANAMUME Huwa Hapo Huku Maeneno Mengine Na Hata Katika MSAFARA Wake Wakiwemo WANAMUME Kadhaa Wa Njia Panda Na Mdaula au Bwawani Ambao WAKIAMUA Dar es Salaam Wote TULALE Saa 12 Jioni Inakuwa Hivyo Kutokana Na Shughuli Yao Ya KUTUKUKA Ambayo Hata WAASI Wa M23 Kule Congo Kinshasa WANAIJUA Na KUITAMBUA. Mwisho Usisahau Mkuu Kuwa Hakuna Watu LOYAL Na Patriotic Kwa Nchi Yao au AMIRI JESHI MKUU Wao Kama Hao ( WANAMUME ) Wa Makumbusho Na Makao Makuu Upanga Na Amini Kuwa Rais Wako Yupo 100% Safe Na Hakuna TAKATAKA Yoyote Awe Yupo Tanzania au Nje Ya Tanzania Anaweza KUMDHURU Kwa Njia Yoyote Ile. INTELLIGENCE Ya TANZANIA Ni Very Extraordinary Hasa Katika VIP PROTECTION. Sisi Wenyewe Huku Kwetu Nchini Rwanda Nilipo Sasa Tunawaonea WIVU!
Asilimia zaidi ya 95 ya watu wa Usalama Tanzania wanaishi chini ya Hisia zao. Wengi sana wana amini katika Elimu ya vitu vinavyoonekana, ; hawana Elimu ya vitu visivyoonekana; Wengi hawana Visions ( Sense Knowledge Truth + Revelation Truth) . Wengi sana ni wajuaji, walevi, Malaya, wabishi, wala Rushwa,
Hayo ndiyo yanaendelea kuwafanya akili zao kuwa tegemezi; I mean , kila kitu kutegemea kufundishwa na Adui au kuiga kutoka kwa watu wengine. Sio wabunifu !!!
Magufuli anawatesa kila mtu kwa moja kwa moja au indirect..... mambo mtaani magumu .... biashara haziend... mzigo hautoki kama zamani dukani... ni miez sita tu kashika hatamu na mambo yashaanza kuzingua.
wadhamini wetu washaanza kusepa, bandarini shughuli za kibiashara zinashuka kwa asilimia kubwa tu....
niko nje ya mada lakini Rais wangu inabidi aangalie vizuri kuhusu kupunguza government expenditure kuna athali gani kwa sekta binafsi
Ya kawaida Haya kaka. Sio uongo! Maisha ya kubahatisha.Duu huu uzi nilitaka nipite kimya ila huku unakoelekea sasa sijui
Haya mkuu wacha mimi niendelee kuchoma senene haya mambo sina ujuvi nayoYa kawaida Haya kaka. Sio uongo! Maisha ya kubahatisha.
Umeonaeee!Kupanda ndege sio anasa wala ufujaji wa pesa.Si anataka sifa hili watu waone anabana matumizi? Ila yote yanawezekana mchana kula ugari na nyanya chungu, (si wote tunaona?) usiku (tukilala) ukala wali kuku! Hapa kazi tu!
Rais Magufuli akiwa njiani kuelekea Rwanda atakuwa akisalimiana na wananchi kwa kushutukiza.