Rais Magufuli unamuua mama yangu

Rais Magufuli unamuua mama yangu

Kuna vitu vingine unashindwa hata ukoment vipi. Huruma kwasababu amekifanyia kazi kwa zaidi ya mika 20 ingawaje hatujui weredi wake ulikuwaje kazini hapo hapo ni kosa kisheria kutumia
cheti ambacho si chako.
Ngoja tuone wizara aitumikiayo itaamuaje
 
Yule hanaga mshipa wa huruma,
poleni kwa majanga yaliyowapata,hiyo imekula kwake
 
Hii ni kweli jamani ni story imemkuta mama mdogo

Mamdogo ni mwalimu wa msingi na anatarajia kustaafu mwakani hivyo kwenye akili yake alishajiandaa kustaafu

Kitu ambacho hatukujua ni kuwa muda wote aliofanya kazi hakuwa akitumia cheti chake halisi( shangazi alifariki zaman sana hivyo ukoo ukakubaliana kumpa mama mdogo cheti cha shangazi akaingilia chuo cha ualimu miaka hiyo ya sabini na..
Mpk akaajiriwa)

Sasa kwa hesabu ya haraka mwakani anapaswa astaafu!! Ila ukaguzi huu wa Magufuli umemkumba

Mama anateseka presure inapanda asubuhi na jioni, vyeti vimehangaikiwa mpaka viapo vya kubadilisha jina ila wapi? Baraza wamekaba kooo!

Tunajua yawezekana ni kweli amekosea kutumia cheti cha mtu kazini lakini tutumie ubinadamu mama huyu kafanya kazi miaka zaidi ya 25 na alikuwa anategemea mafao yake karibia million 100 mwakani halaf leo hii ziyeyuke kirahisi hivi??

Rais Magufuli watu wa aina hii ya mama waonee huruma jamani mama atakufa hivi hivi tunamuona!
Ukoo umeshirikiana kufanya uhalifu. Ukoo unabidi umsaidie.
 
Suala la Marais waliopita ni la kikatiba sitaliongelea;

Ila kama kuna viongozi wengine au wafanyakazi wengine wa juu serikalini ambayo wanatumia vyeti bandia/majina ambayo sio yao na ushaidi ipo usiokuwa na shaka, kuna njia nyingi ambazo zitafanya nao panga hili liwapitie.

1; Kusanya ushahidi wako peleka mahakamani(unayohaki ya kumfungulia mashitaka mana analipwa mshahara kwa kodi yako)

2; Tumia vyombo vya habari ila uwe tayari kutoa ushahidi pindi itakavyohitajika

3; Tumia mitandao ya kijamii,ila ijiweke wazi ili upatikane pindi ushahidi utakapohitajika.

Ukifanya hayo hao watu unaowahisi watachunguzwa na vyombo husika na kuchukuliwa hatua
Hayo ndio mambo yasiotakiwa kuwa mwenye ushahidi aende mahakamani! We umepewa taarifa fwatilia upate huo ukweli. MF, Juzi Mheshimiwa Mwiguru nchemba amekiri yeye kutumia jina lisilo lake ila akatoa vijisababu vingi visivyokua na mashiko. Je jiulize amefanywa nn na mamlaka husika? Halafu mm unaniambia niende mahakamani wakati wao wanajua, hii ni akili kweli?
Haya ndio yanayotokea kwa lowassa wanasema ni fisadi nae anajibu mwenye ushahidi aende mahakamani, kwani serikali haijui? Tusipende kuhamishia mpira kwa wanyonge!
 
Bila shaka huu sio uchochezi ila inamuma sana ....Mungu anaona....na tena tusi wa drive wahusika...ila katika kila damu isiyo na hatia hukaamo juu ya vichwa vyao.
 
Hii ni kweli jamani ni story imemkuta mama mdogo

Mamdogo ni mwalimu wa msingi na anatarajia kustaafu mwakani hivyo kwenye akili yake alishajiandaa kustaafu

Kitu ambacho hatukujua ni kuwa muda wote aliofanya kazi hakuwa akitumia cheti chake halisi( shangazi alifariki zaman sana hivyo ukoo ukakubaliana kumpa mama mdogo cheti cha shangazi akaingilia chuo cha ualimu miaka hiyo ya sabini na..
Mpk akaajiriwa)

Sasa kwa hesabu ya haraka mwakani anapaswa astaafu!! Ila ukaguzi huu wa Magufuli umemkumba

Mama anateseka presure inapanda asubuhi na jioni, vyeti vimehangaikiwa mpaka viapo vya kubadilisha jina ila wapi? Baraza wamekaba kooo!

Tunajua yawezekana ni kweli amekosea kutumia cheti cha mtu kazini lakini tutumie ubinadamu mama huyu kafanya kazi miaka zaidi ya 25 na alikuwa anategemea mafao yake karibia million 100 mwakani halaf leo hii ziyeyuke kirahisi hivi??

Rais Magufuli watu wa aina hii ya mama waonee huruma jamani mama atakufa hivi hivi tunamuona!
Sheria huwa haina huruma
Mwambie tu ajiandae kula fao lake la kujitoa
 
Mbona mweshimiwa nchemba alinyoosha maelezo akaeleweka? Au raia hawasikilizwi?
 
No... zoezi ni kuhakiki watumishi hewa na wala siyo Zoezi la kuangalia utendaji kazi wa Watumishi HEWA. Tofautisha vitu hivyo kwanza Mkuu.
Suala la kusoma kwa kutumia cheti cha mtu mwingine ni kosa kisheria. Kwa hiyo Haki hupatikana japo kuwa huchelewa .
Mbona mh nchemba siyo hewa?
 
Sidhani kama kuna ukweli wo wote kwenye hii thread. Miaka hiyo hakukua na NECTA wala NACTE. Hakukuwa na mambo ya kufoji vyeti. System ilikuwa madhubuti na mtu alikuwa hawezi kuripoti chuoni kwa cheti cha mwingine. Kwanza vyeti vilipelekwa kwenye hivyo vyuo muda mrefu baada ya wanafunzi kuanza masomo.

Halafu system ya sasa haina uwezo wa kuhakiki hivyo vyeti vya zamani vya Cambridge University East African Examination Council, incoporating GCE. Acha kudanganya watu wewe mtoto.
 
Hii ni kweli jamani ni story imemkuta mama mdogo

Mamdogo ni mwalimu wa msingi na anatarajia kustaafu mwakani hivyo kwenye akili yake alishajiandaa kustaafu

Kitu ambacho hatukujua ni kuwa muda wote aliofanya kazi hakuwa akitumia cheti chake halisi( shangazi alifariki zaman sana hivyo ukoo ukakubaliana kumpa mama mdogo cheti cha shangazi akaingilia chuo cha ualimu miaka hiyo ya sabini na..
Mpk akaajiriwa)

Sasa kwa hesabu ya haraka mwakani anapaswa astaafu!! Ila ukaguzi huu wa Magufuli umemkumba

Mama anateseka presure inapanda asubuhi na jioni, vyeti vimehangaikiwa mpaka viapo vya kubadilisha jina ila wapi? Baraza wamekaba kooo!

Tunajua yawezekana ni kweli amekosea kutumia cheti cha mtu kazini lakini tutumie ubinadamu mama huyu kafanya kazi miaka zaidi ya 25 na alikuwa anategemea mafao yake karibia million 100 mwakani halaf leo hii ziyeyuke kirahisi hivi??

Rais Magufuli watu wa aina hii ya mama waonee huruma jamani mama atakufa hivi hivi tunamuona!
Uharamu wa kutumia cheti bandia ni uthibitisho kuwa alikuwepo kwenye ajira kinyume na sheria na hata hilo jina lililokuwepo kwenye rekodi za serikali siyo lake. Sasa Magufuli unataka afanye nini??? ahalalishe??? akifanya hivyo itabidi ahalalishe kwa wafanyakazi wote ambao wana vyeti vya kugushi. Kwa kufanya hivyo basi zoezi zima litakuwa halina maana.
 
WATU WANAVUNJA SHERIA...YES, MNAFUATA SHERIA...YES, MNATAKA KUINYOOSHA NCHI...YES. PLZ PLZ DO IT WITH HUMAN FACE.
 
Kuna waziri mmoja ana tuhuma ya kutumia jina la mtu aliyeshindwa kuendelea na shule kutokana na ukata wa kifamilia na huyu naye ni miongoni mwa watumishi hewa?.
 
Sawa unachosema lkn je na wale waliopass kwa kupitia kwa huyu mama unawaweka kundi gani?
Mkuu daktari feki akisababisha kifo kimoja lakini akaokoa maisha ya watu sita bado tutamwacha aendelee kutibu watu hadi astahafu apate mafao ya kustaafu kwa vile tunamuonea huruma na aliokoa maisha ya mtu?
Kwanza mkae mkijua huyo mama amefanya kosa la jinai, kwa sheria zetu kosa la jinai halina kikomo cha muda kwamba ikipita miaka kadhaa hawezi kushitakiwa kwa kosa hilo. Mwambieni tena akimbie asirudi kazini asijefungwa.
 
Walimu wanamna hiyo kama mama yako wako wengi ambao wamefungiwa mafao sasa akimsaidia mama yako itabidi awasaidie wote walio foji ,itakuwa haina faida mwambie mama akazane maombi tu mungu atamliwaza
 
kijana anatetea anajua kwenye hiyo m 100 yeye kama mwanafamilia lazima atapata pesa ya kununua hata kabodaboda na yeye akawakoge mtaani kwao.
 
Back
Top Bottom