Hapa naungana na JPM kwa 101%,hali ilikua mbaya sanaduh sasa jaman hata kama ni kusukuma mashambiulizi ila hapa jpm mnamuonea...aaaaaaaah nmeboreka maana mtafanya hata wanaokosoa baadhi ya mambo kwa nia njema waonekane hawana maana
Hayajawahi kukuta utanywea na hautathubutu siku nyingine kukejeli wahanga. Ushabiki mpaka kwenye maisha ya watu.
Mtu amefanya kazi karibu miaka 30 unamuitaje mfanyakazi hewa ?! Kweli awamu hii WaTz wamepatikana! !
No yeye siyo mtumishi hewa, bali ni kutumia cheti ambacho siyo chake. Mtumishi hewa mara nyingi hukosekana kituo cha kaziNo... zoezi ni kuhakiki watumishi hewa na wala siyo Zoezi la kuangalia utendaji kazi wa Watumishi HEWA. Tofautisha vitu hivyo kwanza Mkuu.
Suala la kusoma kwa kutumia cheti cha mtu mwingine ni kosa kisheria. Kwa hiyo Haki hupatikana japo kuwa huchelewa .
Bhebe mami, Mimi nasema si sawa kwa mtu uliyetumikia nchi miaka 30 au zaidi ukaambiwa wewe ni hewa. Haya mambo yalikuwepo kwa sababu na system iliruhusu labda na udhaifu wa uhakiki uliokuwepo kipindi hicho.Yes. nadiriki kusema kwamba waTanzania tutaumizwa na unafiki wetu na kupenda shortcut za maisha. Huyo mama yako alishindwa nini kurudia mtihani afaulu? kuliko kuomba lift ya cheti cha ndugu yake? eti wanaukoo walikaa wakaamua..shame on you! Nyinyi ndo mnawafundisha kizazi cha leo waone maisha hata kwa shortcut yanawezekana.
Yes. As human being, mama yako mdogo tunamuonea huruma lakini taifa letu limeumia kwa matendo ya maelfu ya wananchi kama hawa ambao walipenda mkato mkato. Otherwise hatuna haja ya kuwa na sheria. It is very sad, lakini ukitaka ujanja ujanja katika maisha basi tambua kwamba iko siku utakamatika tuu. Hata kama siyo Magufuli...atakuja mwingine atakukamata.
Tujifunze: Maisha hayana shortcut. Si kwako wala si kwangu. Hata ungefanya nini..at long last you have to do what you are supposed to do. Obey the law.
Mambo mengine ni kutumia ubinadamu tu haiihitaji sheria sana. Miaka yote hiyo aliyokuwa anafanya kazi hamkujua ni hewa?Nimebaki mdomo wazi sababu alikuwa anaanza kutumia akijua sio cheti chake, na alidanganya tangu mwanzo akijua analofanya.
Kama ndugu mnampenda kweli, basi mumchangie pesa aishi maisha anayotaka na mtakayopendezwa nayo.
Special school ndio nini? Tanzania hakuna special school labda private special school.Positive thinking
Chuki na ushabiki unafunga FIKRA za wengi
Mbona watu hawataki kufikiria madhara ya kuwa na mtumishi wa aina hiyo?
Kama ameweza kudanganya kwenye cheti na jina basi ni rahisi kudanganya kwenye ufaulu na kupata AJIRA
Ukiwa na Mwalimu kihiyo unajua madhara yake? Wangapi wameathirika?
Leo najiuliza kule kwetu kijijini shule ya msingi ilikaa zaidi ya miaka 20 kabla haijafaulisha mwanafunzi wa kwanza....!!!!
Sasa naanza kuamini pale shule kulikuwepo mama zetu watoto wasiopungua watatu hivi
USHUHUDA:
Nilihama shule hiyo nilipofika darasa la 3. kwa Terminals 5 pale sebuleni nilikuwa nashika namba 2, nikitanguliwa na MWAMBA mmoja
Nilkohamia nilishika namba 1 tu mpaka nikaenda special School. Ajabu yule mwamba wa kule kijijini KWETU aliangukia pua naamini ulikuwa mkono wa mama yetu mdogo ndio maana ndoto zake yule MWAMBA wangu zimekufa na Leo hii ni mkulima asiye na tija akiishi maisha ya dhalili.
kosa ni kosa.....hapo mwenye makosa ni nani? Raisi kufata sheria au Mamadogo kutumia jina fake? sawa na makosa mengineHii ni kweli jamani ni story imemkuta mama mdogo
Mamdogo ni mwalimu wa msingi na anatarajia kustaafu mwakani hivyo kwenye akili yake alishajiandaa kustaafu
Kitu ambacho hatukujua ni kuwa muda wote aliofanya kazi hakuwa akitumia cheti chake halisi( shangazi alifariki zaman sana hivyo ukoo ukakubaliana kumpa mama mdogo cheti cha shangazi akaingilia chuo cha ualimu miaka hiyo ya sabini na..
Mpk akaajiriwa)
Sasa kwa hesabu ya haraka mwakani anapaswa astaafu!! Ila ukaguzi huu wa Magufuli umemkumba
Mama anateseka presure inapanda asubuhi na jioni, vyeti vimehangaikiwa mpaka viapo vya kubadilisha jina ila wapi? Baraza wamekaba kooo!
Tunajua yawezekana ni kweli amekosea kutumia cheti cha mtu kazini lakini tutumie ubinadamu mama huyu kafanya kazi miaka zaidi ya 25 na alikuwa anategemea mafao yake karibia million 100 mwakani halaf leo hii ziyeyuke kirahisi hivi??
Rais Magufuli watu wa aina hii ya mama waonee huruma jamani mama atakufa hivi hivi tunamuona!
We unajisumbua unasema Tanzania yetu inaumia. Unajua hao wakubwa mambo wanayoyafanya kuiumiza nchi hii?. Hili suala la mwalimu wangeweza kuwastaafisha bila kuwaumiza wafanyakazi hawa wa zamani. Kuanza upya si ujinga. Nyie mnafurahia serikali kuumiza wananchi wake?Yes. nadiriki kusema kwamba waTanzania tutaumizwa na unafiki wetu na kupenda shortcut za maisha. Huyo mama yako alishindwa nini kurudia mtihani afaulu? kuliko kuomba lift ya cheti cha ndugu yake? eti wanaukoo walikaa wakaamua..shame on you! Nyinyi ndo mnawafundisha kizazi cha leo waone maisha hata kwa shortcut yanawezekana.
Yes. As human being, mama yako mdogo tunamuonea huruma lakini taifa letu limeumia kwa matendo ya maelfu ya wananchi kama hawa ambao walipenda mkato mkato. Otherwise hatuna haja ya kuwa na sheria. It is very sad, lakini ukitaka ujanja ujanja katika maisha basi tambua kwamba iko siku utakamatika tuu. Hata kama siyo Magufuli...atakuja mwingine atakukamata.
Tujifunze: Maisha hayana shortcut. Si kwako wala si kwangu. Hata ungefanya nini..at long last you have to do what you are supposed to do. Obey the law.
Mnapozungumzia kufuata sheria basi na kweingine huko mfuate sheria. Au sheria zinachagua ?Pole sana mtu na mama yake mdogo; ila kama kweli tunataka utawala na sheria tunapotaka sheria ifuate mkondo tusipindishe mambo wala kuoneana huruma.
Wewe unayetegemea mama mdogo aonewe huruma je huyo mama mdogo angelikuwa na mtoto wa kigogo tena kwa cheti cha mtu leo hii angelikuwa na cheo kikubwa tu serikalini ungesemaje kama sio kulalamika kuwa amebana nafasi halali za mtoto wa mkulima.
Leo hii tunalalamika ajira kwa watoto wa wakulima lakini kuna wale walitumia njia za mkato kupata ajira,ingelikuwa sio wao wewe ungelipata ajira.
Ili liwe fundisho kwa wote na nchi inyooke ni lazima waathirika kama mama mdogo wakumbwe na hiki kimbunga tena wawekwe wazi mifano yao iwe mifano ya kufundishia.