Rais Magufuli unamuua mama yangu

Rais Magufuli unamuua mama yangu

Hivi ni makaburi gani yale alisema hayafukui!!
Haya mambo unaweza uyashangilie kama hayajakukuta au kumkuta mtu wako wa karibu, ila daaah!!!
 
Mie Mkuu wangu Wa kazi kafanya kazi huu mwaka Wa 18 nae pia ni jibu hana cheti afu anaongoza watu Wa degree zao
 
uyo mama yako ndo alikuwa anatulisha matango poli shenziiii ndo maana watu wengi nchi hii n vilaza sababu ya kufundishwa na mwalimu aina ya uyo Mama yako
 
Hapo kuna vitu viwili vinakinzana ubinaadam na sheria, kitakacho mshinda mwenzake ndio kitashinda.
 
..socrates anasema everyone always has reason for doing anything KILA mtu akiruhusiwa atoe sababu kwann asitumbuliwe hakika kila kitu hakitakuwa na maana!!!!
 
Back
Top Bottom