Rais Magufuli unamuua mama yangu

Rais Magufuli unamuua mama yangu

Hii ni kweli jamani ni story imemkuta mama mdogo

Mamdogo ni mwalimu wa msingi na anatarajia kustaafu mwakani hivyo kwenye akili yake alishajiandaa kustaafu

Kitu ambacho hatukujua ni kuwa muda wote aliofanya kazi hakuwa akitumia cheti chake halisi( shangazi alifariki zaman sana hivyo ukoo ukakubaliana kumpa mama mdogo cheti cha shangazi akaingilia chuo cha ualimu miaka hiyo ya sabini na..
Mpk akaajiriwa)

Sasa kwa hesabu ya haraka mwakani anapaswa astaafu!! Ila ukaguzi huu wa Magufuli umemkumba

Mama anateseka presure inapanda asubuhi na jioni, vyeti vimehangaikiwa mpaka viapo vya kubadilisha jina ila wapi? Baraza wamekaba kooo!

Tunajua yawezekana ni kweli amekosea kutumia cheti cha mtu kazini lakini tutumie ubinadamu mama huyu kafanya kazi miaka zaidi ya 25 na alikuwa anategemea mafao yake karibia million 100 mwakani halaf leo hii ziyeyuke kirahisi hivi??

Rais Magufuli watu wa aina hii ya mama waonee huruma jamani mama atakufa hivi hivi tunamuona!

inauma ila kwanini atumie cheti cha mwenzie?? cha kwake kwanini asingeendea nacho ualimu hadi achukue cha mwenzie?
Hapo mama yako hana budi kukubali tuu yaishe...msaidieni, mbembelezeni, mpeni faraja asahau...hakuna jinsi...hapo anakosa la kutumia cheti feki ambacho sio chake..
 
Hii ni kweli jamani ni story imemkuta mama mdogo

Mamdogo ni mwalimu wa msingi na anatarajia kustaafu mwakani hivyo kwenye akili yake alishajiandaa kustaafu

Kitu ambacho hatukujua ni kuwa muda wote aliofanya kazi hakuwa akitumia cheti chake halisi( shangazi alifariki zaman sana hivyo ukoo ukakubaliana kumpa mama mdogo cheti cha shangazi akaingilia chuo cha ualimu miaka hiyo ya sabini na..
Mpk akaajiriwa)

Sasa kwa hesabu ya haraka mwakani anapaswa astaafu!! Ila ukaguzi huu wa Magufuli umemkumba

Mama anateseka presure inapanda asubuhi na jioni, vyeti vimehangaikiwa mpaka viapo vya kubadilisha jina ila wapi? Baraza wamekaba kooo!

Tunajua yawezekana ni kweli amekosea kutumia cheti cha mtu kazini lakini tutumie ubinadamu mama huyu kafanya kazi miaka zaidi ya 25 na alikuwa anategemea mafao yake karibia million 100 mwakani halaf leo hii ziyeyuke kirahisi hivi??

Rais Magufuli watu wa aina hii ya mama waonee huruma jamani mama atakufa hivi hivi tunamuona!

Kwa walimu wa aina hii kama mtu kafundisha vizuri na hakuwa na shida anahaki ya kulipwa.Vyeti siyo akili vyeti vinatusaidia tu.Na miaka 25 ni mingi,kumpa adhabu mtu kama huyu ni kosa.Jamani kuna zaidi ya hapa duniani,tunapita tu,Madaraka yanaukomo.
 
Wabongo wajinga sana yaani unaiba then unasema asamehewe kweli? Can you imagine.

Ameiba nini??Hebu jiulize walimu wa aina hii hawajafundisha?Kama wlaikuwa wanafundisha wametumikia Taifa ,hivi cheti ndiyi iwe shida??Cha msingi amefundisha apewe stahiki zake period.Usifurahie msiba wa mwenzako,kwani wa kwako uko nyuma yako
 
Hii ni kweli jamani ni story imemkuta mama mdogo

Mamdogo ni mwalimu wa msingi na anatarajia kustaafu mwakani hivyo kwenye akili yake alishajiandaa kustaafu

Kitu ambacho hatukujua ni kuwa muda wote aliofanya kazi hakuwa akitumia cheti chake halisi( shangazi alifariki zaman sana hivyo ukoo ukakubaliana kumpa mama mdogo cheti cha shangazi akaingilia chuo cha ualimu miaka hiyo ya sabini na..
Mpk akaajiriwa)

Sasa kwa hesabu ya haraka mwakani anapaswa astaafu!! Ila ukaguzi huu wa Magufuli umemkumba

Mama anateseka presure inapanda asubuhi na jioni, vyeti vimehangaikiwa mpaka viapo vya kubadilisha jina ila wapi? Baraza wamekaba kooo!

Tunajua yawezekana ni kweli amekosea kutumia cheti cha mtu kazini lakini tutumie ubinadamu mama huyu kafanya kazi miaka zaidi ya 25 na alikuwa anategemea mafao yake karibia million 100 mwakani halaf leo hii ziyeyuke kirahisi hivi??

Rais Magufuli watu wa aina hii ya mama waonee huruma jamani mama atakufa hivi hivi tunamuona!
Ondoa shaka , hakuna yeyote mwenye vyeti feki atayeguswa , Bandarini wote wenye vyeti feki na wengine waliopeleka vya kizushi wamerejeshwa tena bila masharti yoyote .
 
Yeye atulie si nyaraka zote za marehemu alizichukua zikawa zake? Kama ndivyo hakuna haja ya kupata presha.
Kwa nini pia mkaanza kwenda kuapa Mahakamani wakati kila kitu na kila nyaraka alikuwa nayo ni sahihi na ye ndo alisoma huo Ualimu? Anyway.........
 
Msiba
Ameiba nini??Hebu jiulize walimu wa aina hii hawajafundisha?Kama wlaikuwa wanafundisha wametumikia Taifa ,hivi cheti ndiyi iwe shida??Cha msingi amefundisha apewe stahiki zake period.Usifurahie msiba wa mwenzako,kwani wa kwako uko nyuma yako

Msiba utengeze mwenyewe halafu ulie,nchi ilikuwa na wezi wengi kumbe tatizo ni IQ kuwa ndogo,wizi wizi wizi mpaka inajiibia mwenyewe foolish indeed,halafu jitu linakuja na kusema huruma,huruma ndio shirika gani hilo.
 
Hili la vyeti ni gumu angeacha tu maana huko asikotaka kugusa polisi na jeshi kwa sababu za kisiasa ndio kumeoza awaache na hao walimu maana ni unafki kuwagusa wengine na kuwaacha wengine.
 
Jamaa hana mama wala nini

Lakini kaileta hoja hii kimtindo tu kwa kuwa ni kweli watu wa namna hii wako wengi sana na wengine ndiyo kweli wanastaafu kesho tu!

Tena wengine wakubwa sana wakiwa ktk nafasi nyeti na kubwa sana ktk utumishi wa umma. Tena wengine wako humohumo ndani ya jumba jeupe!!

Back to the topic;

Sasa mliopokaa ukoo woote na kumpa mwenzenu cheti cha ndugu yenu mlilishana yamini kwamba haitakuja kutokea huko mbeleni mwenzenu mmoja akatoa siri hii?

Na kwa kukubaliana kwenu huko ina maana kila anachokipata ukoo utakuwa unapiga pasu, au?

Anyway, this matter is very complicated kuanzia kwa wahusika wenyewe na watekelezaji wenyewe wa zoezi hili kwa maana ya serikali. Moja ya changamoto ni kesi kama hii (kama kweli ipo).

Just look. Mtu yuko ktk utumishi wa umma for over 30yrs akilipwa na kufanya kazi yake vyema na serikali hiihii. Iweje leo ktk sleeping times mnasema huyu ni mwizi ama hewa ama hastahili?

Hakika by any means it's unfair. Mtu wa namna hii hastahili kutendewa kinyume zaidi ya kupewa haki yake.

After all, kwa miaka yote 30 ama zaidi ina maana serikali haijawahi kufanya uhakiki wa watumishi wake wa umma? Au vigezo vilivyokuwa vinatumika ni tofauti na leo?

Akinyimwa kwa kisingizio hiki, serikali nayo kwa kutong'amua hili kwa zaidi ya miaka 30, basi inastahili kuchukuliwa hatua za kisheria kwa uzembe!!
 
Huyo ndiyo awe fundisho kwa wengine.

Huruma ya nini na yeye ameishi kwa uongo miaka yote hiyo.

Hao ndiyo wanafundisha ujinga mashuleni.
 
Hivi hizi pesa za wastaafu si zipo NSSF/PPF ina maana jamaa ataziibukia huko huko ?
 
Mbona yeye amepokea mshahara usio mstahili kwa miaka 25 au zaidi ambayo angelipwa MTU mwenyevigezo!...... Kwahili mh Rais asilaumiwe,ukila vya dhuruma ipo siku nawewe utadhurumiwa tu
 
Huyu mama umeambiwa kuwa ana zaidi ya miaka 25 kazini chini ya utendaji wake ni vijana wengi sana wamepata elimu kupitia kwake,si ajabu ukakuta wengine waliopata elimu chini ya huyu mama ni hawa hawa wanaowaita wenzao watumishi hewa au wanaweza wakawa ni ndugu zao au wanaweza wakawa ni watumishi katika serekali hihi ya kuwaita wenzao watumishi hewa,sasa je kama huyu mwalimu ana itwa mtumishi hewa na wale waliopata mafanikio kwa kupitia elimu yake waitwe akina nani?.
je kwa nini alifodge.meaning hakufaulu.sawaalifundisha je tunajua performance yake.
 
Inawezekana mother mwenyewe ni yule aliyekuwa anavaa dira la njano.
 
Tena anatakiwa alipe pesa na posho zoote alizo pata kwa miaka hiyo 25,ukihitaji mabadiliko nilazima wawepo watakao umia tu hakuna namna
 
Hii ni kweli jamani ni story imemkuta mama mdogo

Mamdogo ni mwalimu wa msingi na anatarajia kustaafu mwakani hivyo kwenye akili yake alishajiandaa kustaafu

Kitu ambacho hatukujua ni kuwa muda wote aliofanya kazi hakuwa akitumia cheti chake halisi( shangazi alifariki zaman sana hivyo ukoo ukakubaliana kumpa mama mdogo cheti cha shangazi akaingilia chuo cha ualimu miaka hiyo ya sabini na..
Mpk akaajiriwa)

Sasa kwa hesabu ya haraka mwakani anapaswa astaafu!! Ila ukaguzi huu wa Magufuli umemkumba

Mama anateseka presure inapanda asubuhi na jioni, vyeti vimehangaikiwa mpaka viapo vya kubadilisha jina ila wapi? Baraza wamekaba kooo!

Tunajua yawezekana ni kweli amekosea kutumia cheti cha mtu kazini lakini tutumie ubinadamu mama huyu kafanya kazi miaka zaidi ya 25 na alikuwa anategemea mafao yake karibia million 100 mwakani halaf leo hii ziyeyuke kirahisi hivi??

Rais Magufuli watu wa aina hii ya mama waonee huruma jamani mama atakufa hivi hivi tunamuona!

Pole sana mkuu! Mwenyezi Mungu atamfanyia wepesi....
 
poleni sana. hapo subirini tu huruma ya Magufuli.
 
Wamejuaje mbona watu wa zamani vyeti vilikuwa havina picha..pia kama n muajiriwa wa zamani angepeleka tu cheti cha la saba mbona wengi walipeleka vya la saba
 
Kama ni milion mia kwa magufuli asahau kabisa. Anzeni kumwandaa kisaikorojia mama yenu tutawalaumu nyie sio magufuli.
 
Back
Top Bottom