Positive thinkingWatu wangapi miaka yote hiyo wamepata elimu duni toka kwa mtu ambae hana sifa? Sio ajabu kuna watu wamefeli mtihani na wanateseka kwa ajili ya udanganyifu wa huyu mama na nduguze wana ukoo.
Chuki na ushabiki unafunga FIKRA za wengi
Mbona watu hawataki kufikiria madhara ya kuwa na mtumishi wa aina hiyo?
Kama ameweza kudanganya kwenye cheti na jina basi ni rahisi kudanganya kwenye ufaulu na kupata AJIRA
Ukiwa na Mwalimu kihiyo unajua madhara yake? Wangapi wameathirika?
Leo najiuliza kule kwetu kijijini shule ya msingi ilikaa zaidi ya miaka 20 kabla haijafaulisha mwanafunzi wa kwanza....!!!!
Sasa naanza kuamini pale shule kulikuwepo mama zetu watoto wasiopungua watatu hivi
USHUHUDA:
Nilihama shule hiyo nilipofika darasa la 3. kwa Terminals 5 pale sebuleni nilikuwa nashika namba 2, nikitanguliwa na MWAMBA mmoja
Nilkohamia nilishika namba 1 tu mpaka nikaenda special School. Ajabu yule mwamba wa kule kijijini KWETU aliangukia pua naamini ulikuwa mkono wa mama yetu mdogo ndio maana ndoto zake yule MWAMBA wangu zimekufa na Leo hii ni mkulima asiye na tija akiishi maisha ya dhalili.