Uchaguzi 2020 Rais Magufuli, ukishindwa uchaguzi uko tayari kukabidhi Ikulu?

Sema kutangazwa lazima...
Ila angalau atakua ameelewa ni nini cha kufanya baada ya watu wengi kumkataa
Kiongozi imara ni yule anayesimamia anachokiamini kuwa ni sahihi kwa mustakabali mzuri wa nchi bila kujali idadi ya wachumia tumbo na wapiga dili watakaomkataa kwenye sanduku la kura.

Magufuli ni kiongozi imara sana nyie mkimkataa sisi wazalendo wa kweli tutamchagua kwa wingi wetu.
 
Hayo jisemee wewe. Uimara wake sio kukandamiza watu
 
"Jazba" na "matusi" hapo yako wapi?
Nani katusiwa?
"Angalia hizi bangi zinavyofanya kazi" nikikuuliza lini mimi na wewe tulikaa pamoja ukaniona navuta bangi utakuwa na la kunijibu?

Hilo kwangu ni tusi, hebu tuheshimiane tu mkuu kama ni kutukana mbona kila mmoja anajua.
 
Rais Magufuli kama mgombea wa Chama tawala, anatakiwa kutoa tamko la kukubali matokeo kwa namna yoyote yatakavyokuwa. Itakuwa jambo la hekima kujitokeza hadharani na kuonesha msimamo wake.

Mpinzani wake mkuu, Lissu, ameshasema kuwa akishinda au kushindwa kwa haki, yupo tayari kukubali matokeo.

Wote hawa wanaamini watashinda, lakini je Magufuli ukishindwa utakubali?

TUNAOMBA MSIMAMO WAKO KWA HILI
Apende asipende atakabidhi hata kama ni kwa mawe.
 
Sawa kama sisi wa fao la kujitoa ni wapiga dili...
Au wale wafanyakazi ambao hawajaongezewa mishahara nao ni wapiga dili
Ndio maana nimekwambia kwa mustakabali mzuri wa taifa yaliyotendeka yalipaswa kutendeka
 
Ndio maana nimekwambia kwa mustakabali mzuri wa taifa yaliyotendeka yalipaswa kutendeka
Huwezi ukawakandamiza wanyonge alafu useme yalipaswa kutendeka kwa hisia tu bila makubaliano kama ilivyo ainishwa kwenye katiba.
Msijifiche kwenye kichaka cha maendeleo kuwakandamiza raia mkadhani mtabaki salama..

Maendeleo sio ya vitu...huambatana pamoja na maendeleo ya watu.

Mnawakanyaga watu alafu mnasema ilipaswa kuwa hivyo
 
Tarehe 28 wenye nchi wanaenda kumtumbua mwajiriwa wao aliyejiona yuko juu yao na akasahau wao ndio maboss wake.
 
JPM kushindwa u Rais , ni sawa na jua lianze kutoka magharibi kwenda mashariki, au mvua ianze kunyesha kutokea ardhini kwenda mawinguni au mwezi uanze kuangaza mchana na jua usiku.

Epukeni kujipa matumaini hewa ambayo hapo baadae yatawaacha na simanzi kubwa huku mioyo imejaa machozi kwa kutokuamini kile kilichotokea
Nadhani hukuelewa swali sikiliza swali akishinda au kushindwa kwa haki atayakubali matokeo yaani kukalia kiti akishinda na kutokikalia kiti akishindwa sasa hapo sijui ndoto yanatoka wapi hayo
Nb huu niushindani lolote linaweza tokea naukilinganisha mwanaadam hana mipango yeye mwanaadam anafikra tu ilamwenyemipango akiamua liwe litakuwa ambae nimungu tu
 
"Angalia hizi bangi zinavyofanya kazi" nikikuuliza lini mimi na wewe tulikaa pamoja ukaniona navuta bangi utakuwa na la kunijibu?

Hilo kwangu ni tusi, hebu tuheshimiane tu mkuu kama ni kutukana mbona kila mmoja anajua.
Mimi nilijibu bandiko nililoliona kuwa la kibangibangi. Mwandishi wake simjui.
 
Rais Magufuli kama mgombea wa Chama tawala, anatakiwa kutoa tamko la kukubali matokeo kwa namna yoyote yatakavyokuwa. Itakuwa jambo la hekima kujitokeza hadharani na kuonesha msimamo wake.

Mpinzani wake mkuu, Lissu, ameshasema kuwa akishinda au kushindwa kwa haki, yupo tayari kukubali matokeo.

Wote hawa wanaamini watashinda, lakini je Magufuli ukishindwa utakubali?

TUNAOMBA MSIMAMO WAKO KWA HILI
Atakabidhi apende asipende
 
Hawezi kukubaali hata ssiku moja.
Ccm ni kama wakoloni lazima watolewe kwa mtutu wa bunduki
 
Mleta mada anataka tamko la mheshimiwa Dr. John Pombe M. Na sikingine. Ameona upande hasimu ushatoa tamko bado yeye. Japo makamu wake Mama samia ashatoa mtazamo hatujui ni mtazamo wake binafsi ama ni mtazamo wa chama alisema hata Wakishinda akimaanisha upinzani ila wao ccm ndio wenye mamlaka ya kuunda Serikali
 
Magufuli hata akishindwa uchaguzi na figisu zake zote ni king'ang'anizi hivyo ni ngumu sana kuwa tayari kuachia madaraka.

Kwa kipindi chake tu hiki cha kwanza cha miaka 5 ameonyesha kila dalili za kutaka kuwa Rais asiye na ukomo wa madaraka.

Watanzania tuamke Magufuli anaharibu nchi.
He will bow down gentlemanly; otherwise will be forced out of the presidential office.
 
Back
Top Bottom