CDM imekufa baada ya kuondoka kwa Dr Slaa. Katibu Mkuu makini na kipenzi cha wapenda CHADEMA Sera na siyo CDM Maslahi!!akirudi slaa lowasa na mbowe watakimbia
Alishapewa chake na nani?Slaa aende zake alishapewa chake atulie wala hatumwitaji
Hofu yangu ni je akiwa souble Argent?
Upo sahihiCDM imekufa baada ya kuondoka kwa Dr Slaa. Katibu Mkuu makini na kipenzi cha wapenda CHADEMA Sera na siyo CDM Maslahi!!
Mkuu ninoma huyu mtu alikuwa akiongea magogoni wanaanza kutafuta na chadema kiukweli walijichanganya!!Namkumbuka enzi zake huku mishipa ikiwa imemtoka alikuwa anasema "nchi haita tawalika" Sasa hivi anakula zake mihogo Canada
Mkuu upo lytDr. Slaa hawezi kuwa agent. Kumbuka Slaa ni mtu wa misimamo na ana moral consciousness, halafu Slaa sio mnafiki. Kusimama na kuitetea haki kipindi kile na kukubali kupoteza nyadhifa na maslahi yake aliyatolea jasho kwa miaka mpaka kuumia mkono sio rahisi ndugu. Naunga mkono utendaji kazi huu wa magufuli, Dr. Slaa atamfaa sana. Ampe tu taasisis iliyoshindikana atainyoosha
Mweshimiwa Rais Dr: Magufuli ningependa kama utapangua safu yako ya uongozi mlete Dr slaa huyu anaweza kuwa kiungo mzuri wa kwendana na kasi yako!
Ni mtu mwadilifu !!
Mtu mtiifu Mwenye pia hofu ya mungu!!
Dr slaa naamini kabisa bado ana uwezi wa kulitumikia taifa kutoka na misimamo yake thabiti wengi mtakuwa mashaidi jinsi alivyokuwa ameijenga chadema kufanya kuwa taasisi imara huko nyuma misimamo yake juu ya mustakabari wa nchi hii anazo sifa zote za kufanikisha ndoto yake ya kulitumikia taifa kwa njia nyingine!!
Rais wetu naamini wewe ni msikivu. Tafathari lifanyie kazi jambo hili
Huyu mtu anakufaa sio lazima awe waziri hapana ilimladi aweze kulisaidia taifa!!
Ni vema sana kama angeungana na kufanya kazi na wewe kwani ni makini sana kama walivyo baadhi ya mawaziri wako walio makini kama
Hussein Mwinyi
Makame Mbarawa na
Joyce Ndalichako
Rais magufuli mlete Dr slaa!!
Angalau umekiri kuwa kuna mawaziri mizigo!Ni vema sana kama angeungana na kufanya kazi na wewe kwani ni makini sana kama walivyo baadhi ya mawaziri wako walio makini kama
Hussein Mwinyi
Makame Mbarawa na
Joyce Ndalichako
souble agent ndo nini mkuu??Hofu yangu ni je akiwa souble Argent?
Mweshimiwa Rais Dr: Magufuli ningependa kama utapangua safu yako ya uongozi mlete Dr slaa huyu anaweza kuwa kiungo mzuri wa kwendana na kasi yako!
Ni mtu mwadilifu !!
Mtu mtiifu Mwenye pia hofu ya mungu!!
Dr slaa naamini kabisa bado ana uwezi wa kulitumikia taifa kutoka na misimamo yake thabiti wengi mtakuwa mashaidi jinsi alivyokuwa ameijenga chadema kufanya kuwa taasisi imara huko nyuma misimamo yake juu ya mustakabari wa nchi hii anazo sifa zote za kufanikisha ndoto yake ya kulitumikia taifa kwa njia nyingine!!
Rais wetu naamini wewe ni msikivu. Tafathari lifanyie kazi jambo hili
Huyu mtu anakufaa sio lazima awe waziri hapana ilimladi aweze kulisaidia taifa!!
Ni vema sana kama angeungana na kufanya kazi na wewe kwani ni makini sana kama walivyo baadhi ya mawaziri wako walio makini kama
Hussein Mwinyi
Makame Mbarawa na
Joyce Ndalichako
Rais magufuli mlete Dr slaa!!
Si huyu aliyetukanwa sana na ccm?Asante mkuu yaani huyu mtu ni muhimu sana tukiweka pembeni unafiki
You mean double agent?!Hofu yangu ni je akiwa souble Argent?
Hivi mzalendo wa kweli nchi hii ni nani?We kama umtaki niwewe but wazalendo wa kweli katika nchi hii najua wanamkubali!!
Watu wasio wanafikiHivi mzalendo wa kweli nchi hii ni nani?
kama akina nani ambao siyo wanafiki?Watu wasio wanafiki
AmekusikiaMweshimiwa Rais Dr: Magufuli ningependa kama utapangua safu yako ya uongozi mlete Dr slaa huyu anaweza kuwa kiungo mzuri wa kwendana na kasi yako!