Rais Magufuli, tuache tupumzike

Rais Magufuli, tuache tupumzike

usipopiga kura wenzio watapiga,mshindi atatangawa na atakua kiongozi siyo tu kwa walio mchagua hata kwa wewe ambae hukupiga kura so pole sana
Kwa upande wangu ni bora niongozwe na aliyechaguliwa na wengine . Hii huwa naichukulia kama vile nimepiga kura halafu niliyemchagua hakushinda.

Hivyo bora nisipoteze muda wangu kwa mambo ya kuigiza Nina mambo mengi ya msingi ya kufanya kuliko kupanga foleni ya kujiandikisha na kupiga kura.
 
Kipenzi cha wanyonge, wanyonge ni wengi sana watajiandikisha na kumpigia kura
Wanyonge wanaopendwa ni wanyonge wa Chato wamepatiwa International Airport, crdb, uwanja wa mpira, national park ni vingi vyote ndani ya miaka minne.
 
Ujinga wao ndiyo uliopelekea kufikishwa mahakamani mkuu.
Ukisha mpini huwezi tambua maumivu ya aliyeshika makali.

Tabia ya kujimwambafai ndio hii inapelekea watanzania kwa ujumla kuchukia utawala wa chama chenu.

Unadhani kwa nini huko nyuma watu walikuwa hawasiti kwenda kujiandisha kwenye mambo ya uchaguzi kama awamu hii???

Awamu hii imeturudisha nyuma sana kwenye nyanja ya demokrasia ndio maana mwamko umepungua pia.
 
Sababu ni kuwa wananchi wamewachoka wapinzani kwa kuwa ni waongo sana kwa kuwa sasa wanatetea mafisadi wakati walikuwa wanawapinga hapo awali.
 
Wanyonge wanaopendwa ni wanyonge wa Chato wamepatiwa International Airport, crdb, uwanja wa mpira, national park ni vingi vyote ndani ya miaka minne.
Ulitaka wapeleke kwenu Kaskazini? Mlizoea awamu zilizopita kila kitu kaskazini. Tulieni awamu hii na wengine wapate acheni ubaguzi
 
Mungu amejibu maombi yako, na haja ya moyo wako, ni nani asiyejua kuwa wewe hutaki kabisa upinzani Tanzania?
Hujifichi kuonyesha chuki yako hadharani dhidi ya upinzani.
Naomba nikuulize Tafadhali mheshimiwa Rais, Kama nitakukosea nisamehe bure .
Risasi alizomiminiwa Tundu Lissu na watu wanaoitwa "wasiojulikana ". ingekuwa risasi hizo kwa mfano kamiminiwa mkuu wa mkoa au waziri yoyote, hao wahalifu wangekuwa hawajapatikana?
Tuna makovu ya mateso mengi, kuwa mpinzani hapa Tanzania ni kuchagua kifo, bado tunamwomboleza mawazo, Ben Saanane, Kanguye, Azori Gwanda na wengine wengi.
Mheshimiwa Rais, hatutaki kupiga kura ili tukipishe chama chako kitawale milele Kama wewe unavyotaka sasa wakuu wa mikoa na wilaya watatufanyaje?
Tumeamua kupumzika ili nyie mnaopendwa sana muendelee kupendwa na kutawala milele, ajabu tena imekuwa kero.
Na 2020 pia hatutapiga kura, tuache tupumzike, Tafadhali Tumechoka.
Wana CCM wapo wengi watapiga kura na kujipatia ushindi mnono.
Tumeshajua hata tukipiga kura hatushindi kwa sababu CCM huwa inashinda hata kabla ya kupiga kura sasa tunapiga kura za nini?
Tuache tupumzike.
KWA NINI WANANCHI HAWATAKI KUJIANDIKISHA?

Na Thadei Ole Mushi.

Mawazo yangu binafsi!!

Mwaka Jana mwezi wa kumi Katibu mkuu ccm Dr Bashiru alilalamika wapiga kura kupungua kwenye chaguzi za marudio, Dr Bashiru alinukuliwa akisema wapiga kura wanaojitokeza kupiga kura walikuwa chini ya asilimia Hamsini ya waliojiandikisha.

Namuona Mh Jafo naye akiingia kwenye issue ile ile kuwa zoezi la kujiandikisha kupiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa nao unasua sua. Hapa ndipo watafiti wanapotakiwa kufanya utafiti kwa nn wananchi hawataki kushiriki uchaguzi?

Ninapredict factor NNE hapa.

1.Chaguzi za marudio za mradi wa jiuzulu, unga mkono, gombea tena, shinda kwa lazima ni factor mojawapo ya wananchi kuchoshwa na chaguzi. Wananchi wa naona hata wakipiga kura kuna watu wapo mahali wanamatokeo yao tayari.

2. Hakuna Elimu iliyotolewa ya kutosha kati ya uandikishaji wa daftri la kudumu kwa ajili ya uchaguzi mkuu 2020 na daftari hili la ukaazi kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa. Zoezi lilianza kabla ya Elimu hii ya kutofautisha kutolewa.

3. Mikutano ya vyama vya siasa kuwa na zuio za hapa na pale kumeshusha morali ya Demokrasia nchini. Mwanachama wa Chadema wa kawaida was Mbinga kwa miaka minne hajawahi kukutana na mwenyekuti wake wa chama kwenye mkutano. Mwenyekiti hana ruhusa ya kufanya mikutano akienda Mbinga atafanyia mikutano ndani na hapa atakutana tu na viongozi. Kwenye maandishi kikatiba tunatumia mfumo wa vyama vingi ila practically ni kimoja kinaoparete kwa mwavuli wa udola na kukagua utekelezaji wa ilani.

4. Vijana ndio chachu ya chaguzi zote duniani.... Hakuna uhusiano wa moja kwa moja uliopo kati ya vijana wanaosaka ajira usiku na mchana na viongozi wa kuchaguliwa. Mwitikio wa vijana ni mdogo sana, angalia kwenye media utaligundua hili sana.

Tunakoelekea.

Pamoja na population yetu kuobgezeka idadi ya wapiga kura itazidi kupungua. Lazma tulifanyie kazi eneo hili.

Agizo la waziri.

Waziri Jafo amesema atapeleka dokezo kwa Mh Rais kwa mikoa ambayo uandikishaji utadorora ikiwezekana waadhibiwe. Mh Rais naye kashakubali kuwa atawashughulikia. Wakuu wa mikoa wataanza kuhaha kuomba watu wajiandikishe ili wasikutane na rungu la mh Rais.

Wanaweza kujiandikisha lakini je watapiga kura ? Hili ni eneo jingine.

Ole Mushi.
0712702602
 
usipopiga kura wenzio watapiga,mshindi atatangawa na atakua kiongozi siyo tu kwa walio mchagua hata kwa wewe ambae hukupiga kura so pole sana
Wengi wanamchagua mgombea A wachache wanamchagua mgombea B, mgombea B anatangazwa mshindi. Ina maana gani kwa wale wengi kwenda kupiga kura. Tafakari
 
Nimeongea na mtendaji mmoja jambo hili la upendeleo wa wazi ni maagizo mahususi kutoka juu!!!!itakapo bidi lazima atangazwe mgombea chama tawala.Asipofanya hivyo itamgarimu yeye kibarua na maisha yake. Kwamba uchaguzi ni kukakamilisha taratibu za kisheria tu! Ndio maana tunadai katiba iboreshwe.
 
Mungu amejibu maombi yako, na haja ya moyo wako, ni nani asiyejua kuwa wewe hutaki kabisa upinzani Tanzania?
Hujifichi kuonyesha chuki yako hadharani dhidi ya upinzani.
Naomba nikuulize Tafadhali mheshimiwa Rais, Kama nitakukosea nisamehe bure .
Risasi alizomiminiwa Tundu Lissu na watu wanaoitwa "wasiojulikana ". ingekuwa risasi hizo kwa mfano kamiminiwa mkuu wa mkoa au waziri yoyote, hao wahalifu wangekuwa hawajapatikana?
Tuna makovu ya mateso mengi, kuwa mpinzani hapa Tanzania ni kuchagua kifo, bado tunamwomboleza mawazo, Ben Saanane, Kanguye, Azori Gwanda na wengine wengi.
Mheshimiwa Rais, hatutaki kupiga kura ili tukipishe chama chako kitawale milele Kama wewe unavyotaka sasa wakuu wa mikoa na wilaya watatufanyaje?
Tumeamua kupumzika ili nyie mnaopendwa sana muendelee kupendwa na kutawala milele, ajabu tena imekuwa kero.
Na 2020 pia hatutapiga kura, tuache tupumzike, Tafadhali Tumechoka.
Wana CCM wapo wengi watapiga kura na kujipatia ushindi mnono.
Tumeshajua hata tukipiga kura hatushindi kwa sababu CCM huwa inashinda hata kabla ya kupiga kura sasa tunapiga kura za nini?
Tuache tupumzike.
All those atrocities were committed by his agents sponsored by taxpayers' money!
 
Hata waongeze wiki, siendi ng'o. Mie kituo cha kujiandikisha kiko jirani tu hapa dk moja tu......lkn napita kama sipaoni
Wala hatukuhitaji kaa ndani upikie wanaume wewe dada!
 
.
tapatalk_1569556822242.jpeg
 
usipopiga kura wenzio watapiga,mshindi atatangawa na atakua kiongozi siyo tu kwa walio mchagua hata kwa wewe ambae hukupiga kura so pole sana
Acha kupiga kelele, wenye hekima hukaa kimya na wapumbavu hupayuka, mmeachiwa mjitangazie ushindi tatizo lenu ni nini hasa?
 
Back
Top Bottom