Enock Chilewa
New Member
- Oct 14, 2019
- 3
- 0
Write your reply...Mpige kura, msipige kura bado bado JPM atashinda tu, wala si kwa ujanja ujanja kama mnavyowalisha watu sumu ya kwamba ushindi huwa sio wa halali. Wewe wa mjini usimpe kura lakini huko vijijini watampa tu kura za ushindi maana huko ndiko wanakoona kazi ya JPM. Tena kama mmefikia uamuzi wa kususia kupiga kura mimi nawapongeza ni afadhari mpumzike msije mkapata presha bure. Wapiga kura wako vijijini, lakini hapa mjini ni wazushi tu, mkitaka kupata ushindi kwenye uchaguzi nawashauri mwende mkaongee na wananchi wa vijijini wakiwaelewa hizo hoja zenu mnazotembea nazo za akina Lisu, za akina Ben saa nane na nyingine nyingi mlizonazo,basi wanavijiji wakiwaelewa ya kwamba ni sababu tosha za kuwapa kura za kuishinda serikari iliyoko madarakani basi nanyinyi mtaitawala Tanzania, lakini vinginevyo mtaendelea tu kuteseka hapa mjini.Mnatembea jua lenu, mvua yenu, eti mnadai watu wasiojulika wakamatwe sasa watakamatwaje wakati hawajulikani?.