Rais Magufuli, Punguza confrontation na Wazungu

Tazama yaliyowakuta Saddam wa Iraq na Ghaddafi wa Libya.

Unafikiri kwanini wameangushwa wakati Saudi Arabia ambayo tuliambiwa ndiyo magaidi wote waliobomowa twin towers kwa madege haijaguswa wala kulaumiwa.
Uko sahii kabisa, international diplomacy is very important. Hawa watu hawana marafiki wa kudumu bali wana interests za kudumu. Unaweza ukafanya lolote for as longer as you don't conflict their interests. Mfano ni Yoweri Museveni, Paul Kagame na watu wa aina hii, wako madarakani muda mrefu na nyimbo za demokrasia haziwagusi. Ila kinyume chake hautafanikiwa kwa lolote ikiwa una conflict interests zao. Muheshimiwa raisi inabidi aliangalie hili jambo kwa jicho pevu na kulishugulikia kwa uweledi ili kutunusuru na madhaha ya hawa wakoloni.
 
Mh Rais Magufuli, ktk mambo mengi upo sahihi na kama ni makosa basi ni ya kibinadamu. Ila nafikiri kuna kitu ambacho wenda hujakipatia sawa sawa ama bado hujapata habari kwa usahihi wake.

Mosi, lazima tukubaliane na ukweli kabisa kwamba kutokana na mazingira halisi ya ulaya hawawezi kuishi kwa amani wasiponyonya kwa nguvu nchi za afrika na Karebean na uarabuni. Na hivyo, hakuna fair trade ktk vitu ambavyo wanavyovihitaji kuendesha maisha yao na kizazi chao, na ya kwamba ni lazima wachukue vitu kwa bure ama bei inayokaribia na hapo.

Cha mhimu kujiuliza je tuna nguvu za kuwasimamisha kivita ama ktk ku control financial system? Sasa tukipata majibu inabidi kuchukua tahadhari sahihi hasa tunapo deal na yalipo masilahi yao. Siyo kwamba naandika haya kwa sababu tunawaogopa ila hali halisi yenyewe inanisukuma kuandika haya. Wazungu wao wanasema "wako radhi kufanya kazi na shetani palipo na masilahi yao".

IMF, UN, World bank, mahakama za dunia na vyombo vya habari ni mali za wazungu. Na wazungu ni wamoja sana kupita kipimo. Hivyo ukizuia mali za wazungu, tuseme dhahabu, umezuia mali ya IMF ama World bank.Na hivyo hawa (IMF, World bank, UN, court zote)hawatakuja kufurahia hata kidogo, watakufanyia hujuma na kukwamisha karibu ktk kila kitu.

Maoni yangu, we have to know our place. Ya kwamba tu deal na mafisadi wetu, hawa mafisadi wa dunia jaribu ku negotiate nao objectively na wakati huohuo tukiangalia maeneo mengine yatoyotunyanyua ktk maendeleo. Kukwaruzana nao hasa ktk madini, wanaweza turudisha ktk nyakati za ujima. Hawa jamaa kwa hujuma wame qualify kwa kiwango cha juu sana.

Ushauri, kaa nao mezani mkubaliane nao amicably the way forward. Hiyo kamati uliounda hata wakikuta dhahabu wazungu wanaiba, na imejaa kwenye macontena, naamini kwenye vyombo vyao hawataandika wala kuonesha kwamba wazungu wanaiba africa. Wao watachokifanya ni ku potray wewe, wao wanavyotaka uonekane ktk jamii ya dunia. Again, chochote kamati uliyoiunda itakachokuta kwenye makontena kaa nao ukubaliane kwa mazungumzo mezani.
Sioni kama ushauri wako wa kulamba miguu ya Wazungu ni sahihi sana kwa vile tu wana nguvu ya kiuchumi na kijeshi. Kujiamini na kujitetea kwanguvu zote ndilo jambo muhimu zaidi kuliko vyote. JPM aendelee kukaza uzi na sisi tumuunge mkono.
 
Bora wam potray kuliko taifa kunyonywa kiasi hiki.
After all wewe in muoga sana.
Makala yako inaonyesha uko tayari kugawa hata mke wako kwa watu weupe.
Shame on you.
Mwache Raid afanye Nazi sio kupigia debe masatanic
 
Mzungu ni Fundi mahiri mno mno wa Figisu ni lazima tu deal nae kwa akili huku tukitambua kwa sasa yuko mbele yetu kwa karibia nyanja zote, Sio kwamba Tuko duni ni swala la muda tu jamii zetu zikielimika mbeleni huko wanaweza ku battle Nae kwa sasa ni BIG NO
 
Ili upambane lazima ujipange, ninachokiona kwenye serikali yetu ina react zaidi kutokana na matukio, badala ya kujipanga (Hata kama ikibidi kwa muda mrefu) ili kukabiliana na hawa wenzetu ambao wana nguvu, mbinu na uzoefu mkubwa sana katika masuala haya na huwa wanajipanga kwa muda mrefu.
 
Tatizo ambalo serikali ya awamu ya tano iliyorithi ni mikataba mibovu iliyosainiwa na serikali ilizotangulia ambazo inatambuliwa kimataifa.
Vema mkuu,badala ya kuhangaika na mchanga alitakiwa aanze kuhangaika na waliosaini wako hapo hapo dar wala hata hupandi ndege.Nadhani lile somo alilopata kwenye ile meli ya samaki aliyoikamata halikutosha japo nyumbu wa Lumumba walisifia sana hatua hiyo aliishia kushindwa kesi mahakamani na kuamliwa kulipa fidia ya bilioni tatu.
 
Acheni uoga. Huyo mnayemuogopa mtaji wake mkubwa ni kuwatia uoga na mafanikio yake makubwa ni pale mnapomuogopa.

Badala ya kumuambukiza Rais uoga mtieni moyo. Muungeni mkono. Kuweni naye sambamba. Mkifanya hivyo mtafanikiwa, hakuna wa kuzuia mafanikio ya watu jasiri.
Tatizo mlishaingia nao mikataba
 
Mh Rais Magufuli, ktk mambo mengi upo sahihi na kama ni makosa basi ni ya kibinadamu. Ila nafikiri kuna kitu ambacho wenda hujakipatia sawa sawa ama bado hujapata habari kwa usahihi wake.

Mosi, lazima tukubaliane na ukweli kabisa kwamba kutokana na mazingira halisi ya ulaya hawawezi kuishi kwa amani wasiponyonya kwa nguvu nchi za afrika na Karebean na uarabuni. Na hivyo, hakuna fair trade ktk vitu ambavyo wanavyovihitaji kuendesha maisha yao na kizazi chao, na ya kwamba ni lazima wachukue vitu kwa bure ama bei inayokaribia na hapo.

Cha mhimu kujiuliza je tuna nguvu za kuwasimamisha kivita ama ktk ku control financial system? Sasa tukipata majibu inabidi kuchukua tahadhari sahihi hasa tunapo deal na yalipo masilahi yao. Siyo kwamba naandika haya kwa sababu tunawaogopa ila hali halisi yenyewe inanisukuma kuandika haya. Wazungu wao wanasema "wako radhi kufanya kazi na shetani palipo na masilahi yao".

IMF, UN, World bank, mahakama za dunia na vyombo vya habari ni mali za wazungu. Na wazungu ni wamoja sana kupita kipimo. Hivyo ukizuia mali za wazungu, tuseme dhahabu, umezuia mali ya IMF ama World bank.Na hivyo hawa (IMF, World bank, UN, court zote)hawatakuja kufurahia hata kidogo, watakufanyia hujuma na kukwamisha karibu ktk kila kitu.

Maoni yangu, we have to know our place. Ya kwamba tu deal na mafisadi wetu, hawa mafisadi wa dunia jaribu ku negotiate nao objectively na wakati huohuo tukiangalia maeneo mengine yatoyotunyanyua ktk maendeleo. Kukwaruzana nao hasa ktk madini, wanaweza turudisha ktk nyakati za ujima. Hawa jamaa kwa hujuma wame qualify kwa kiwango cha juu sana.

Ushauri, kaa nao mezani mkubaliane nao amicably the way forward. Hiyo kamati uliounda hata wakikuta dhahabu wazungu wanaiba, na imejaa kwenye macontena, naamini kwenye vyombo vyao hawataandika wala kuonesha kwamba wazungu wanaiba africa. Wao watachokifanya ni ku potray wewe, wao wanavyotaka uonekane ktk jamii ya dunia. Again, chochote kamati uliyoiunda itakachokuta kwenye makontena kaa nao ukubaliane kwa mazungumzo mezani.
Umenipa madaraka ya kuleeeevya, O darling...
Nayumba nateleeeeeza!

Yan hapa tunampigia mbuzi gitaa, mbuzi mwenyewe anaamini ana uwezo kupambana na Wazungu!
 
WaTz kinachotusumbua ni unafki , tunalia na wazungu wakati tuliopaswa kuanza nao tunao humu humu ndani. Wazungu si wadhambi katika hili, tunaye Mkapa na Kikwete pia waliokuwa mawaziri wao wa madini, wana sheria wao wakuu, makamishina wao wa madini etc . Hawa watu bado wapo hai wote , tuanzie nao, waperekwe Mahakamani kama tunataka kuwa wakweli ktk suala hili.

Na bunge letu chama kimeking'oa meno na hapo ndipo penye shida, hebu angalia 2015 bunge hapa liliperekeshwa mpaka usiku wa manane ili tu wapitishe sheria ya hovyo ya Mafuta na Gesi ili Kikwete atoke amesaini. Hawa watu(Kikwete na Mkapa) tunawaona ni mashujaa tunawalaumu wazungu kweli ?!!. Huu ni unafki wa mTz.
Tena unafiki wa kiwango cha Lami
 
Mleta mada upo sahihi kwaasilimia nyingi ila kwabahat mbaya dereva wahili gari hatujajua hesabu zake nizipi, Ila mimi nachoona kukipigania kizazi hiki chetu tumechelewa ila tunaweza kukipigania kizazi kijacho endapo kama tutakuwa wazalendo wataifa letu lamiaka 50 ijayo iwapo kama hatutakuwa wabinafsi kwavizazi vyetu, kinachotuangusha waafrika (TZ) niubinafsi hata kwavizaz vyetu wenyewe. Ushaur wangu tuanze kujitoa kidogo kidogo kwenye hiyo mikataba pindi mkataba unapoisha natunapoingia mikataba mipya basi isiwe yakutuumiza bali iwe kwafaida yapande zote mbili, yaan tujifananishe nateja anapotaka kuacha madawa hawez kuacha gafla ujue atakufa nasisi tunapotaka kuvunja mikataba gafla ambayo ilisainiwa nawatangulizi wetu tutajiumiza bure. Tunataka kukimbia nahatuna breki!!!
 
Mh Rais Magufuli, ktk mambo mengi upo sahihi na kama ni makosa basi ni ya kibinadamu. Ila nafikiri kuna kitu ambacho wenda hujakipatia sawa sawa ama bado hujapata habari kwa usahihi wake.

Mosi, lazima tukubaliane na ukweli kabisa kwamba kutokana na mazingira halisi ya ulaya hawawezi kuishi kwa amani wasiponyonya kwa nguvu nchi za afrika na Karebean na uarabuni. Na hivyo, hakuna fair trade ktk vitu ambavyo wanavyovihitaji kuendesha maisha yao na kizazi chao, na ya kwamba ni lazima wachukue vitu kwa bure ama bei inayokaribia na hapo.

Cha mhimu kujiuliza je tuna nguvu za kuwasimamisha kivita ama ktk ku control financial system? Sasa tukipata majibu inabidi kuchukua tahadhari sahihi hasa tunapo deal na yalipo masilahi yao. Siyo kwamba naandika haya kwa sababu tunawaogopa ila hali halisi yenyewe inanisukuma kuandika haya. Wazungu wao wanasema "wako radhi kufanya kazi na shetani palipo na masilahi yao".

IMF, UN, World bank, mahakama za dunia na vyombo vya habari ni mali za wazungu. Na wazungu ni wamoja sana kupita kipimo. Hivyo ukizuia mali za wazungu, tuseme dhahabu, umezuia mali ya IMF ama World bank.Na hivyo hawa (IMF, World bank, UN, court zote)hawatakuja kufurahia hata kidogo, watakufanyia hujuma na kukwamisha karibu ktk kila kitu.

Maoni yangu, we have to know our place. Ya kwamba tu deal na mafisadi wetu, hawa mafisadi wa dunia jaribu ku negotiate nao objectively na wakati huohuo tukiangalia maeneo mengine yatoyotunyanyua ktk maendeleo. Kukwaruzana nao hasa ktk madini, wanaweza turudisha ktk nyakati za ujima. Hawa jamaa kwa hujuma wame qualify kwa kiwango cha juu sana.

Ushauri, kaa nao mezani mkubaliane nao amicably the way forward. Hiyo kamati uliounda hata wakikuta dhahabu wazungu wanaiba, na imejaa kwenye macontena, naamini kwenye vyombo vyao hawataandika wala kuonesha kwamba wazungu wanaiba africa. Wao watachokifanya ni ku potray wewe, wao wanavyotaka uonekane ktk jamii ya dunia. Again, chochote kamati uliyoiunda itakachokuta kwenye makontena kaa nao ukubaliane kwa mazungumzo mezani.
IF YOU HAPPEN TO WORSHIP YOUR ' WAZUNGU' JPM DOES NOT ! EVEN MWALIMU DIDN'T !
 
Tatizo unayepinga ukweli huelewi, ss tupo eneo la tukio na tunapiga Kazi serikali hawawezi kushinda ktk hili. Cha msingi ni kukubaliana katika mambo mengine ambayo serikali itapata Mapato tena zaidi Kama kusafirisha MIZIGO yote inayoingia na kutoka Mgodini kwa kutumia Reli. Hapo kuna hela ya kutosha kuliko hapo wanapokomalia.
 
mzungu ni binadamu tu kama wewe, hupaswi kumuogopa binadamu mwenye akili na nguvu za kibinadamu.
Face reality mkuu,wala sio issue ya inferiority complex huo ndio ukweli wenyewe ikilijua hilo utakuwa huru, hebu kwanza nikuulize unajilinganisha na wazungu katika nini hasa tuanzie hapo maana mleta post hii ameeleza vizuri sana,(kula,kulala na malazi tupa kule)
 
Wewe mleta mada ni hambwe ambaye huna hata robo ya UZALENDO.
Mambo ya uzalendo unayajua wewe? Kama wewe mzalendo mbona unatumia vitu vya wazungu na mtandao wako wa TTCL autumii
 
Kama tungekuwa tunathamini UTU WETU toka mwanzo TUSINGEINGIA HII MIKATABA TATA

Rais WETU alikuwa MBUNGE NA WAZIRI kipindi cha mswada hadi SHERIA iliyotumika kusaini MIKATABA
Na wakina Mbowe walikuwa makatibu tarafa au!?
 
Hizi ni habari ambazo wengi hawapendi kuzisikia na haziandikwi hapakwetu kama historia ya uongozo wa awau ya kwanza ili zitusaidie kwenye maamuzi ya hivi sasa. Tuliokuwepo tunazifahamu na ukizitafuta kwenye tovuti ya "Tanzania events" utazikuta kwa uchache.

Kwa ufupi, Nyerere alimnyang'anya (taifisha) mali zake Tiny Rowlands zilizokuwa hapa kwa jina LONRHO, yakiwepo mashamba na kampuni ya kuunda (assembly) matrekta. Sababu zikiwa Nyerere alimfukuza Tiny kwa kuwa eti anai "support" Rhodesia (ya wazungu) wakati Waafrika walikuwa wanadai uhuru.

Tiny akamwambia "rudisha bwana", Nyerere akatangaza hadharani kuwa "akigeuka nyuma atageuka jiwe" akimaanisha harudishi chochote. Na tukafanyishwa aandamo kumlaani Tiny na kusifia hatua aliyochukuwa Nyerere.

Tiny Rowlands akaanza kampeni kupitia familia kubwa zinazoongoza dunia zilizo nje na ndani ya serikali za kimaharabi, matokeo? Tukabaniwa kila kitu kimya kimya, tukawa hohe-hahe. Haikupita muda marehemu Nyerere akageuka nyuma, bahati nzuri hakugeuka jiwe. Akakubali kulipa (kimya kimya) kila hasara aliyomtia Tiny.

Wazungu wanawekeza kwako kwa maslahi yao, ukiwakorofisha basi serikali zao zinawa-support. Hapo sasa!

TANZANIA ANTI-LONRHO DEMONSTRATION | AP Archive

The Nationalization of Lonrho’s Business Interests in Postcolonial Tanzania | Itinerario | Cambridge Core
Asante kwa taarifa hii, ni kweli kama ulivyoeleza ukienda tofauti na maslahi ya hao mabwana lazima uwekewe vikwazo sasa Nyerere naye kwa misimamo yake ni lazima hayo kumkuta tu.
Na hili pia ni tatizo sababu viongozi wengi wazalendo wa Afrika, Amerika ya kusini, nchi za kiarabu na hata Asia hukumbana na kama hayo yaliyomkuta Nyerere, lakini hii isiwe sababu ya kuwaachia hao mabwana wafanye wanavyotaka.

Kuna njia za kujilinda dhidi ya hao wanyonyaji.
 
Ukitaka usitake utafata ya kwao tu, ni heri kutumia diplomasia kupunguza makali.
 
Back
Top Bottom