jonas kwigeza
Member
- Oct 12, 2016
- 96
- 134
Marehemu Castro alimwambia kiongozi Wa nchi moja amerika kusini kuwa wazungu sasa hiviwana utaalamu Wa kupandikiza cancer ugonjwa kwa viongozi wazalendo kwa nchi zao .Na muongo uliopita viongozi 6 waamerika kusini waliugua cancer na wrote walikuwa kosa lao ilikuwa kutetea maslahi ya nchi zao. George Bush aliwaambia waarabu wasidhani mafuta ni Mali yao Bali ni mali ya ulimwengu na wakijaribu kutumia silaha ya mafuta Marekani iko tayari kuingia vitani kuyachimba .Leo Sadam naGhadafi kilichowapata ni kwa sababu yauzalendo wao. Sisi ni wadogo mno . Silaha yetu watatumia kunyima misaada na kucteate civil unrest maana vibaraka Wa kutumika ndani watawpata kwa sababu tutakuwahoi kiuchumi Watu wanachukulia kuwa tunatishana, hapa tunatafakari kwa pamoja ili tujue adui yetu yukoje. Mzungu hana resources za kuishi bila kunyonya mataifa dhaifu. Tudeal na kwa tahadhari. EPA tumewagomea hill lipo kichwani . Madini tukiwanyima nalolitakuwa kichwani mwao. Ni mengi watawka kichwani maana wanatuumiza kila nyanja, Mwaka 1967 Tanzniania ilikuwa nauchumi unaokua haraka kuliko nchi zote za E .Afrika lakini Leo Kenya ana uchumi wakuendesha bajeti take bila misaada. Sisi tunategemea misaada ni kwa sababu wali tu hivi muda na baada ya Azimio.Kila Nina imani mheshimiwa rais anataka ajueu ukweli ili makubaliano mazuri kea maslahi ya taifa yawepo.Na ACACI A wamesemawako tayari kwa mazungumzo maana hats wao wanajua hats serikali zao wanajua huwa hazipendi kumfanya mnyonywaji Stoke damu afe . Kanuni ya Parasite haui h.Host maana na yeye atakufa KUNA NADHARIA KUWA BARALA AFRIKA LINGEKUWA NA MAZINGIRA KAMA AMERIKA MZUNGU ANGETUFANYA KAMA WAHINDI WEKUNDU AMBAO SASA WAEBAKIA NI ENDANGERED SPECIES. TUJADILI.