beleza
JF-Expert Member
- Sep 18, 2014
- 397
- 144
Haki sawa kwa wote.
Vp mrembo umerejesha kadi ya kijani au nimapenzi yako tu kwa iyo kauli?hongera sana
Haki sawa kwa wote.
Hakika.Sheria ikate kuwili
Hivo hivo, anapopigia chapuo "hela ya kubrush viatu" ya trafik hatuwasikii waimbaji wa Wimbo wa "ni mtukufu ,ni mtukufu" mkinukuu hayo.
"Amlipaye mpuliza zumari,ndiye ........" - by unknown
Vp mrembo umerejesha kadi ya kijani au nimapenzi yako tu kwa iyo kauli?hongera sana
Rais huwa "anachomekea" vibwagizo...ukitaka kujua kama yuko serious au la, ngoja uwekewe camera udakwe unachukua hiyo buku 5 uone kama atakupigia makofi au atakupiga makofiHivo hivo, anapopigia chapuo "hela ya kubrush viatu" ya trafik hatuwasikii waimbaji wa Wimbo wa "ni mtukufu ,ni mtukufu" mkinukuu hayo.
"Amlipaye mpuliza zumari,ndiye ........" - by unknown
Hatutegemei mizaha kwenye mambo mazito kama rushwa. Mizaha yao ndiyo mauti yetu.Rais huwa "anachomekea" vibwagizo...ukitaka kujua kama yuko serious au la, ngoja uwekewe camera udakwe unachukua hiyo buku 5 uone kama atakupigia makofi au atakupiga makofi
Nalipwa na bosi wake anayekulipa wewe.Ulikuwa unawasikia waimbaji wa wimbo gani?
Wewe unalipwa na nani kupuliza zumari?
Siku hizi ujinga unageuzwa kuwa uelewa wenye hekima na busara!Nalipwa na bosi wake anayekulipa wewe.
Hivi kila mwanamke ni mrembo?Vp mrembo umerejesha kadi ya kijani au nimapenzi yako tu kwa iyo kauli?hongera sana
Umeamka na kiranga gani asubuhi yote hii.Wamiliki wana majina, yako pale ambapo majina hayo huwepo!.
Pasco
Ni wapi huko ambapo "siku hizi ujinga anageuzwa kuwa uelewa wenye hekima na busara"?Siku hizi ujinga anageuzwa kuwa uelewa wenye hekima na busara.
ShalomHaki sawa kwa wote.
Nenda BRELA!Kina nani? Hawana majina?
Hata madikteta yapo wanayofanya ambayo ni mazuri kwa wengine,muuaji kuhudhuria mazishi ya aliyemuua haimuondolei ukweli kuwa ni muuaji.Waimbaji wimbo wa "ni Dikteta, ni Dikteta" hutawasikia wakinukuu haya. Hawatasema Dikteta anataka watu watendewe kwa mujibu wa sheria. It doesn't fit their twisted narrative.