Rais Magufuli: Polisi kamateni hata gari la Rais

Wakati akizungumza na Maafisa wa Jeshi la polisi aliowapandisha vyeo vya Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) na Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Ikulu jijini Dar es Salaam, Rais Magufuli alisema kipindi cha nyuma jeshi la polisi lilikuwa linaweka historia mbaya.

Kuna baadhi ya polisi waliowahi kuumizwa siku za nyuma kutokana na kusimamia sheria. Kuna magari au mabasi ya wakubwa ndani ya polisi ambayo ilikuwa ukiyakamata unapata msukosuko.

Rais akatolea mfano akisema kulikuwa na mabasi yanayoitwa Buffalo, Happy Nation au Happy Tanzania ambayo ukiyagusa lazima utaondolewa kwenye cheo ulichopo.

Rais akawaomba Makamishna kwenda kufanya kazi bila woga na wahakikishe pia hawawabughudhi Maaskari walio chini yao wakati wanatimiza majukumu yao ndani ya sheria na Kanuni za utumishi wao.

‘’Hata kama askari atakamata gari la IGP, RPC, Waziri au Rais, mwacheni atimize majukumu yake ili wahusika wa hayo magari wakajieleze wenyewe mbele ya sheria. Sheria ni msumeno’’. Rais alisema.

Rais aliendelea kusema, ‘’tunawanyima nguvu hawa Maaskari wa chini wanapotimiza wajibu wao kwa mujibu wa sheria halafu tunawaambia liachie hilo gari. Akishatoka pale yule aliyekuwa amekamatwa huanza kutamba kweli kweli huku askari akiwa amevunjika moyo na nguvu katika kusimamia sheria. Niwaombe sana, Vyeo vyetu tuweke pembeni na sheria tuziweke pembeni’’.

hapo mwisho kama umekosea vilee!! Sheria zifuatwe au ziwekwe pembeni?
 
ivi huyu Magufuli anawajua police walivyo wapuu......? ivi anajua madhara ya kuwapa police kiburi namna hiyo?
atakuja kujuta. hakuna siku police wamewahi kutenda haki.
 
Ukiwa kiongozi unapaswa kuchunga ndimi usitamke kitu kama huna uhakika nacho unaweza kuleta chuki miongoni mwa unawaongoza. Hivyo ni vyema awe na uhakika kama mabasi haya yanamilikiwa na viongoz fulan. Na ukiongezea kwa será yake ya kutumbua walioiibia serikali angekuwa na uhakika wamilik ni kina fulani angewaacha? au nao ni lugumi namba mbili
 
hhahaa vijana wa Lumumba bana wameanzisha thread hii ili kuecolize na thread ya jana kuhusu magu kuwapa rungu trafiki la kupokea buku tano za kubrash viatu
 
Wakati akizungumza na Maafisa wa Jeshi la polisi aliowapandisha vyeo vya Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) na Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Ikulu jijini Dar es Salaam, Rais Magufuli alisema kipindi cha nyuma jeshi la polisi lilikuwa linaweka historia mbaya.

Kuna baadhi ya polisi waliowahi kuumizwa siku za nyuma kutokana na kusimamia sheria. Kuna magari au mabasi ya wakubwa ndani ya polisi ambayo ilikuwa ukiyakamata unapata msukosuko.

Rais akatolea mfano akisema kulikuwa na mabasi yanayoitwa Buffalo, Happy Nation au Happy Tanzania ambayo ukiyagusa lazima utaondolewa kwenye cheo ulichopo.

Rais akawaomba Makamishna kwenda kufanya kazi bila woga na wahakikishe pia hawawabughudhi Maaskari walio chini yao wakati wanatimiza majukumu yao ndani ya sheria na Kanuni za utumishi wao.

‘’Hata kama askari atakamata gari la IGP, RPC, Waziri au Rais, mwacheni atimize majukumu yake ili wahusika wa hayo magari wakajieleze wenyewe mbele ya sheria. Sheria ni msumeno’’. Rais alisema.

Rais aliendelea kusema, ‘’tunawanyima nguvu hawa Maaskari wa chini wanapotimiza wajibu wao kwa mujibu wa sheria halafu tunawaambia liachie hilo gari. Akishatoka pale yule aliyekuwa amekamatwa huanza kutamba kweli kweli huku askari akiwa amevunjika moyo na nguvu katika kusimamia sheria. Niwaombe sana, Vyeo vyetu tuweke pembeni na sheria tuziweke pembeni’’.
Nimemkumbuka askari wa serander bridge na gari la waziri mmoja
 
Elfu 5000/ ya kubrushia viatu!!
Nikikamata gari 10 kwa siku na kupata 5000 kwa kila gari nitakuwa na 50,000/= kwa Sikh.
Kwa wiki nitakuwa na 350,000/= kwa mwezi nitajikusanyia kama 1050,000/=( millioni moja +)
Ama kweli viatu vyangu vitang' aa mwezi mzima!!!
Acheni kujaza maneno kwa Rais wetu ambaye ni chaguo LA mungu
 
Sikurudisha kadi wakati wa dhiki na shida na foleni za chakula kila kukicha, ntarudisha leo? Mimi ni CCM wa asili, toka haijaundwa CCM nilikuwa TANU na wazee wangu walikuwa AA kabla ya TAA na Taa kabla ya TANU, mimi ni zao la Al Jamiatul Islamiya fi Tanganyika, hunitowi CCM.

Hiyo kauli ya CUF ndicho anachomaanisha Rais. Simply put.

Upinzani ulianzishwa ili kuwe na wigo na fikra pana na si kila la upinzani ni baya, halikadhalika kwa chama tawala.
Huwa nakufuatilia sana unajibu kwa umakini
 
Wakati akizungumza na Maafisa wa Jeshi la polisi aliowapandisha vyeo vya Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) na Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Ikulu jijini Dar es Salaam, Rais Magufuli alisema kipindi cha nyuma jeshi la polisi lilikuwa linaweka historia mbaya.

Kuna baadhi ya polisi waliowahi kuumizwa siku za nyuma kutokana na kusimamia sheria. Kuna magari au mabasi ya wakubwa ndani ya polisi ambayo ilikuwa ukiyakamata unapata msukosuko.

Rais akatolea mfano akisema kulikuwa na mabasi yanayoitwa Buffalo, Happy Nation au Happy Tanzania ambayo ukiyagusa lazima utaondolewa kwenye cheo ulichopo.

Rais akawaomba Makamishna kwenda kufanya kazi bila woga na wahakikishe pia hawawabughudhi Maaskari walio chini yao wakati wanatimiza majukumu yao ndani ya sheria na Kanuni za utumishi wao.

‘’Hata kama askari atakamata gari la IGP, RPC, Waziri au Rais, mwacheni atimize majukumu yake ili wahusika wa hayo magari wakajieleze wenyewe mbele ya sheria. Sheria ni msumeno’’. Rais alisema.

Rais aliendelea kusema, ‘’tunawanyima nguvu hawa Maaskari wa chini wanapotimiza wajibu wao kwa mujibu wa sheria halafu tunawaambia liachie hilo gari. Akishatoka pale yule aliyekuwa amekamatwa huanza kutamba kweli kweli huku askari akiwa amevunjika moyo na nguvu katika kusimamia sheria. Niwaombe sana, Vyeo vyetu tuweke pembeni na sheria tuziweke pembeni’’.
Maafisa wa jeshi au makada wa CCM
 
Gari ya Rais unaweza kuikamataje jamani.
 
Back
Top Bottom