Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 18,832
- 29,490
hamna ugali wa bure duniani.Kaona kwa maisha haya ya bongo ntafanyaje na kazi hana? Kaona bora aende kula ugali wa bure kwa beberus

Rais Magufuli ametoa siri hiyo leo wakati akizindua daraja la la Ubungo lililopewa jina la Kijazi Interchange.
Rais Magufuli amedai kuwa alipokuwa mwanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es Salaam alikuwa akipiga kibarua cha kuendesha teksi bubu ili ajipatie chochote kitu. Na kituo alichokuwa anapaki ni jirani na lilipojengwa daraja hilo la juu mahsusi kupunguza foleni.
Rais Magufuli amesema kazi ya urais ni ngumu sana maana pamoja na kuwa na hamu ya kuendesha gari lakini huwa anakatazwa na kuzuiliwa.
Mbali ya hayo rais wa JMT amesema kuwa maendeleo huwa wakati mwingine yanakuja na vikwazo sababu wakazi wa maeneo ya Ubungo mpaka Mbezi mwisho walichukia kubomolewa nyumba zao pamoja na kuwa zilikuwa ndani ya hifadhi ya barabara.
Rais Magufuli amesema sheria ni Msumeno ndio maana hata jengo la Serikali ambalo ni mali ya Tanesco lilivunjwa japokuwa aliyekuwa waziri mkuu kipindi cha awamu ya nne ndugu Mizengo Pinda hakuamini kama litakuja kuvunjwa.
My take: Wakazi wa Dar es Salaam waambieni watoto wenu wasichague kazi. Kutwa wanashinda vijiweni wanajadili habari za Simba na Yanga,Diamond na Zari huku wakibweteka. Miaka ya nyuma mtu unapiga deiwaka ya udereva teksi huku unasoma.
Una kithibitisho anataka kutawala milele au wewe ni nyumbu roporopo.roporopo bhn, kazi ngumu huku anaipigia misele atawale milele?!
A lot of things make sense now.... kutokana na partime job aliyofanya.Rais Magufuli ametoa siri hiyo leo wakati akizindua daraja la la Ubungo lililopewa jina la Kijazi Interchange.
Rais Magufuli amedai kuwa alipokuwa mwanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es Salaam alikuwa akipiga kibarua cha kuendesha teksi bubu ili ajipatie chochote kitu. Na kituo alichokuwa anapaki ni jirani na lilipojengwa daraja hilo la juu mahsusi kupunguza foleni.
Rais Magufuli amesema kazi ya urais ni ngumu sana maana pamoja na kuwa na hamu ya kuendesha gari lakini huwa anakatazwa na kuzuiliwa.
Mbali ya hayo rais wa JMT amesema kuwa maendeleo huwa wakati mwingine yanakuja na vikwazo sababu wakazi wa maeneo ya Ubungo mpaka Mbezi mwisho walichukia kubomolewa nyumba zao pamoja na kuwa zilikuwa ndani ya hifadhi ya barabara.
Rais Magufuli amesema sheria ni Msumeno ndio maana hata jengo la Serikali ambalo ni mali ya Tanesco lilivunjwa japokuwa aliyekuwa waziri mkuu kipindi cha awamu ya nne ndugu Mizengo Pinda hakuamini kama litakuja kuvunjwa.
My take: Wakazi wa Dar es Salaam waambieni watoto wenu wasichague kazi. Kutwa wanashinda vijiweni wanajadili habari za Simba na Yanga,Diamond na Zari huku wakibweteka. Miaka ya nyuma mtu unapiga deiwaka ya udereva teksi huku unasoma.
Alafu wael MATANGA wanashangiliaMe simuamini tangu aseme aliongea na marehemu Dr Kigoda akiwa ICU hospitali huko India sina hamu na stori zake.
Habari kuwa uliibiwa kura kaongee na mke wako na watoto wako. Watu wapo busy na maendeleo ya taifa. Wanakuona kama punguani.
Hii post inadhihirisha kuwa kichwani ni mweupe, umekariri upuuzi wa Lissu. Kaa kimya. Ngoja nikasage udaga wa kula ugali saa tano kuliko kubishana na mweupe kama wewe.Maendeleo hata weupe wa kusini mwa Afrika walileta, kwanini Nyerere hakumshauri Mandela aongelee maendeleo, badala ya alichokuwa anakifanya kupambana na waleta maendeleo?
Hii post inadhihirisha kuwa kichwani ni mweupe, umekariri upuuzi wa Lissu. Kaa kimya. Ngoja nikasage udaga wa kula ugali saa tano kuliko kubishana na mweupe kama wewe.
Logoff
Big freaking deal!Rais Magufuli ametoa siri hiyo leo wakati akizindua daraja la la Ubungo lililopewa jina la Kijazi Interchange.
Rais Magufuli amedai kuwa alipokuwa mwanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es Salaam alikuwa akipiga kibarua cha kuendesha teksi bubu ili ajipatie chochote kitu. Na kituo alichokuwa anapaki ni jirani na lilipojengwa daraja hilo la juu mahsusi kupunguza foleni.
Rais Magufuli amesema kazi ya urais ni ngumu sana maana pamoja na kuwa na hamu ya kuendesha gari lakini huwa anakatazwa na kuzuiliwa.
Mbali ya hayo rais wa JMT amesema kuwa maendeleo huwa wakati mwingine yanakuja na vikwazo sababu wakazi wa maeneo ya Ubungo mpaka Mbezi mwisho walichukia kubomolewa nyumba zao pamoja na kuwa zilikuwa ndani ya hifadhi ya barabara.
Rais Magufuli amesema sheria ni Msumeno ndio maana hata jengo la Serikali ambalo ni mali ya Tanesco lilivunjwa japokuwa aliyekuwa waziri mkuu kipindi cha awamu ya nne ndugu Mizengo Pinda hakuamini kama litakuja kuvunjwa.
My take: Wakazi wa Dar es Salaam waambieni watoto wenu wasichague kazi. Kutwa wanashinda vijiweni wanajadili habari za Simba na Yanga,Diamond na Zari huku wakibweteka. Miaka ya nyuma mtu unapiga deiwaka ya udereva teksi huku unasoma.
Ahaa, ok tufanye uliibiwa. Mbona hukuenda mahakamani?
HahahHizo ni porojo za jizi la kura.
Umeoga dada?