Rais Magufuli: Niliwahi kuwa dereva wa teksi bubu

Rais Magufuli ametoa siri hiyo leo wakati akizindua daraja la la Ubungo lililopewa jina la Kijazi Interchange.

Rais Magufuli amedai kuwa alipokuwa mwanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es Salaam alikuwa akipiga kibarua cha kuendesha teksi bubu ili ajipatie chochote kitu. Na kituo alichokuwa anapaki ni jirani na lilipojengwa daraja hilo la juu mahsusi kupunguza foleni.

Rais Magufuli amesema kazi ya urais ni ngumu sana maana pamoja na kuwa na hamu ya kuendesha gari lakini huwa anakatazwa na kuzuiliwa.

Mbali ya hayo rais wa JMT amesema kuwa maendeleo huwa wakati mwingine yanakuja na vikwazo sababu wakazi wa maeneo ya Ubungo mpaka Mbezi mwisho walichukia kubomolewa nyumba zao pamoja na kuwa zilikuwa ndani ya hifadhi ya barabara.

Rais Magufuli amesema sheria ni Msumeno ndio maana hata jengo la Serikali ambalo ni mali ya Tanesco lilivunjwa japokuwa aliyekuwa waziri mkuu kipindi cha awamu ya nne ndugu Mizengo Pinda hakuamini kama litakuja kuvunjwa.

My take: Wakazi wa Dar es Salaam waambieni watoto wenu wasichague kazi. Kutwa wanashinda vijiweni wanajadili habari za Simba na Yanga,Diamond na Zari huku wakibweteka. Miaka ya nyuma mtu unapiga deiwaka ya udereva teksi huku unasoma.

Hizo ni porojo za jizi la kura.
 
A lot of things make sense now.... kutokana na partime job aliyofanya.
 
Habari kuwa uliibiwa kura kaongee na mke wako na watoto wako. Watu wapo busy na maendeleo ya taifa. Wanakuona kama punguani.

Maendeleo hata weupe wa kusini mwa Afrika walileta, kwanini Nyerere hakumshauri Mandela aongelee maendeleo, badala ya alichokuwa anakifanya kupambana na waleta maendeleo?
 
Hii post inadhihirisha kuwa kichwani ni mweupe, umekariri upuuzi wa Lissu. Kaa kimya. Ngoja nikasage udaga wa kula ugali saa tano kuliko kubishana na mweupe kama wewe.

Logoff
 
Bora ukasage udaga ujaze choo, kuliko kujaza utetezi kwa majizi ya kura kwenye server za jf.
 
Rais Magufuli ametoa siri hiyo leo wakati akizindua daraja la la Ubungo lililopewa jina la Kijazi Interchange.

Rais Magufuli amedai kuwa alipokuwa mwanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es Salaam alikuwa akipiga kibarua cha kuendesha teksi bubu ili ajipatie chochote kitu. Na kituo alichokuwa anapaki ni jirani na lilipojengwa daraja hilo la juu mahsusi kupunguza foleni.

Rais Magufuli amesema kazi ya urais ni ngumu sana maana pamoja na kuwa na hamu ya kuendesha gari lakini huwa anakatazwa na kuzuiliwa.

Mbali ya hayo rais wa JMT amesema kuwa maendeleo huwa wakati mwingine yanakuja na vikwazo sababu wakazi wa maeneo ya Ubungo mpaka Mbezi mwisho walichukia kubomolewa nyumba zao pamoja na kuwa zilikuwa ndani ya hifadhi ya barabara.

Rais Magufuli amesema sheria ni Msumeno ndio maana hata jengo la Serikali ambalo ni mali ya Tanesco lilivunjwa japokuwa aliyekuwa waziri mkuu kipindi cha awamu ya nne ndugu Mizengo Pinda hakuamini kama litakuja kuvunjwa.

My take: Wakazi wa Dar es Salaam waambieni watoto wenu wasichague kazi. Kutwa wanashinda vijiweni wanajadili habari za Simba na Yanga,Diamond na Zari huku wakibweteka. Miaka ya nyuma mtu unapiga deiwaka ya udereva teksi huku unasoma.
Big freaking deal!

Mimi ni mwalimu wa chuo kikuu but nilishauza hadi maandazi na mkaa ujajani mwangu. Ushamba na ulimbukeni ni shida sana aisee!!
 
Kazi ya Urais ngumu!!!
Unavuta fomu kugombea awamu ya 2 huku ukiwanyima fomu wanaCCM wenzako fomu.
Huyu atajiongezea muda kwa mtindo huu huu wa kujifanya kuwa kazi ya Urais ngumu.
 
Back
Top Bottom