Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,263
- 16,293
Serikali yenyewe itahama basi?!Azikopeshe kwa watu wenye vipato vya chini na kati ili angalau na siye walala hoi tuambulie kuishi along the beach.
Serikali yenyewe itahama basi?!Azikopeshe kwa watu wenye vipato vya chini na kati ili angalau na siye walala hoi tuambulie kuishi along the beach.
Ili upate umbea wa kwenye group za wozapAcheni uongo wekeni clip hapa
NHC wezi kabisa hao. aifumue halafu wakala mwingine apangishe huku mikataba ikiwa wazi. ikishindikana Lukuvi aimamie mwenyewe, awabane haohao NHC awe nao bega kwa bega. hela itakusanywa tuasiziuze, aingie ubia na NHC japo siwakubali ili zipangishwe NHC ipate chake na serikali ipate
Safi sana Mr president mi ntanunua moja
Waliopo kwenye nyumba za serikali ndio wanaandaa kujiuzia.Sijui nani atanunua ikulu
Thubutu.!Million 50 kila kijiji zimeishia wap
Shikamoo Theophil, hivi hizi nyumba ni za kwake au ndo mahesabu yake? maana hawa wanasiasa ni wezi.Ataziuza kwani nimali yake?
Kwi kwi kwi kwi kwi kwi mwaka huu tutasikia misamiati mipya mingi.Gojaga Nize said:Ukiemba dukani
Tena jinsia yenyewe ni Ile ya.. Ke, coz kila mtu huvutiwa kuishangaaNchi ina vituko hii na ni kama imekaa uchi vile
Mtapata 20na salasini hata hizo nyumba haziuzwiMillion 50 kila kijiji zimeishia wap