Rais Magufuli: Nikihamia Dodoma nitauza nyumba zote za Serikali Dar es Salaam

asiziuze, aingie ubia na NHC japo siwakubali ili zipangishwe NHC ipate chake na serikali ipate
NHC wezi kabisa hao. aifumue halafu wakala mwingine apangishe huku mikataba ikiwa wazi. ikishindikana Lukuvi aimamie mwenyewe, awabane haohao NHC awe nao bega kwa bega. hela itakusanywa tu
 
Sifa ya kununua hizo nyumba ni lazima uwe mwanachama wa chama cha majipu. Kama huamini subiri tukijaaliwa kufika huko.
 
Kuuliza sio ujinga, kutouliza ndio ujinga, laiti tungeuliza tusingekuwa hapa tulipo.
 
Kwani kuwa rais,ndiyo unakuwa km mmiliki wa milele wa nchi?

Uza baba,wizara ya fedha na jengo lile la maliasili na utalii aka mkuki house vinanihusu mkuu..
 
Back
Top Bottom