Zooxathellae
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 323
- 276
Unaomba chanzo wakati media zote hili kitu kipo. Clip zipooo, hakuna majungu wala nini!Kweli kabisa lete chanzo. sio unajenga majungu hapa
Unaomba chanzo wakati media zote hili kitu kipo. Clip zipooo, hakuna majungu wala nini!Kweli kabisa lete chanzo. sio unajenga majungu hapa
JK yupo very cautious, anajua kinachokuja kutokea mbeleni, alisema mtanikumbuka, miezi nane tu, kila kitu utata mtupuMiezi minane kila akipewa jukwaa ni kauli tata tuu jee miaka mitano? Mugabe anapoteleza tunasema ni uzee na huyu "mpendwa" wetu jee?
Nahisi ndio maana JK juzi kasema asiombwe ushauri wa chama au serikali tena! Hataki kuja kuhusishwa na maajabu
Mapoyoyo tz hawawezi kuishaUnajua bawacha nyie ni vichwa maji hebu twambie hoja yako ya kupinga kuuzwa hayo majengo ya wizara ikiwa wizara zitahamishiwa dodoma?
Sioni tatizo kama majengo ya serikali yaliyopo Dar yakauzwa na hizo fedha zikatumika kujenga zingine Dom.
Sioni tatizo kama majengo ya serikali yaliyopo Dar yakauzwa na hizo fedha zikatumika kujenga zingine Dom.
Hivi wewe kuzuia mtz mwenzako inaunga ulitaka Suzie gabacholiUfisadi mwingine huo. Mbona alishawahi kufanya huko nyuma? Anatukumbusha machungu.
Dar hapawezi kuitwa mkoani ni jiji, dhana ya kuita mkoani ilikuja kwa kuwa wakati huo jiji lilikuwa ni Dar tu, sehumu kama Mwanza haikuwa jiji.kwa hiyo Dar pataanza kuitwa mkoani. aisee!
labda tufanye research ya online kule Nigeria walipohama Lagos kwenda Abuja yale majengo waliyafanya niniLabda tuulizane hili, wewe ungependa Serikali ikihamia Dodoma, nyumba za Dar zifanywe nn?
Yani wewe ndo hata nashindwa nikujibu vipi. Yaani unasahau matatizo yote Tanzania tuliyokuwa nayo kama nchi wakati wa JK? Ikiwemo dola kufika mpaka 2500?JK yupo very cautious, anajua kinachokuja kutokea mbeleni, alisema mtanikumbuka, miezi nane tu, kila kitu utata mtupu
Natamani ningeelewa ulichoandikaHivi wewe kuzuia mtz mwenzako inaunga ulitaka Suzie gabacholi
Nitauza nyumba zote za serikali dsm..
Kasema anaweza kuziuza zote....
Aisee!!
Hili katereza no