Rais Magufuli: Nikihamia Dodoma nitauza nyumba zote za Serikali Dar es Salaam

Maskini Dar..... Kama angekuwa na uwezo., basi na yale majengo makubwa makubwa angeyabeba na kuyapeleka Dodoma
 
Nyumba ni zetu sio zake, zipangishwe swala la kuuza haliwezekani wananchi hatutamuunga mkono.
 
Kuna watu wengine destiny zao ni kuwa madalali wa nyumba MF. Dalali mkombozi, Dalali mwanamke na wanatoboa kweli kweli, wamesomea vitu vingine ila wanapenda kupangisha na kuuza nyumba
 
All in all serikali ihamie Dodoma majengo yake tupangishwe, kiukweli wakihama hali DSM itakaa vizuri Nyumba na ofisi zitakuwa za kutosha na kwa being nafuu
 
cdm mshaambiwa hataki kujaribiwa utabomolewa ooh

Me nishaanza kuzichanga ikulu nitainunua na wizara ya Mambo ya Ndani pia

Heeeheee,
Kufa Kufaana sio, Safi sana Boss.
Kweli Vita ya Panzi, Neema ya Kunguru.
Futa kauli yako, sina Chama, I hate Siasa, iwapo Siasa ndizo zinaongoza Dunia. Napenda kufuatilia Siasa nijue kinachoendelea kwenye Dunia. Kuwa mwanachama wa Chama cha Siasa inabidi ujitoe Ufahamu, Sometimes ni Headache.
Uzuri hajasema anauza, Amesema Anaweza.
Ila mimi namshauri Asiziuze. Ya kuhamia Dodoma nampa Tano iwapo wamechelewa sana.
 
Back
Top Bottom